Tissaphernes
JF-Expert Member
- Mar 27, 2018
- 2,902
- 3,571
Wanasiasa mmmmh
Hata kama ana kibali kama alikipata kwa njia ya kuhonga na watoa kibali wakavunja sheria hiyo imekula kwake. Hii ni awamu nyingine na rais mwingine. Muulize Manji atakuambia kwani ndiye aliyekuwa na mchezo wa kuhonga ghali ili maafisa wa serikali wapindishe sheria.Kibali cha kujenga wanatoa nemc baada ya kujiridhisha umbali wa ulipojenga,ikiwa inahicho kibali cha nemc atakua ameshinda kesi mchana kweupe
Duuuuu kirahisi namna hiyo?Sio naibu yeye ni kidampa tu,muzee baba anataka akistaafu iwe kasri yake
Hana ubavu wa kujenga hata nusu ya thamani ya hekalu hilo,pamoja na kutupiga 1.5 trillion za kodi zetuDuuuuu kirahisi namna hiyo?
Mbona na yeye ana uwezo wa kujenga lake zaidi ya hilo
Weka picha ya hilo jumbaWale wamiliki wa Home shopping centre Danube na baby shop wanatuhumiwa kujenga nyumba kwenye eneo la bahari
Hahaha super whaaat!Hapo ni enzi za "honeymoon" yake na GSM! Huyu jamaa kama superwoman Joyce KiriaView attachment 742030