GSM kumbe walijenga kwenye eneo la bahari

Wale wamiliki wa Home shopping centre Danube na baby shop wanatuhumiwa kujenga nyumba kwenye eneo la bahari

Nalisema hili kila mara. Kamwe usifanye uswahiba na mwanasiasa! Especially ukaruhusu muingiliano wa biashara zako na urafiki na hawa watu. Daima hawana JEMA! Imagine sasa hivi Bashite kaamua kutumia umasikini na shida za watu (the so called waliotelekezwa) to achieve political mileage. Kwa yeyote mwenye akili timamu anaelewa kabisa ili zoezi ni kudharirishana na nothing good will come out of it! Lakini kwa sababu wengi akili zetu ni zakushikiwa.....tumewaamini.

Mfano mwingine: huu uswahibu ninaouona kati ya Diamond/WASAFI na mwenye mkoa wake....I smell fish! Lazima hautakuwa na mwisho mzuri. Diamond ameshapambana mpaka pale alipo hahitaji urafiki wa kinafiki na wanasiasa! They simply want to use him kwenye migogoro yao ya kimaslahi and will dump him! Kama Diamond ana washauri sijui kama walilifikiria hili. Hizi fitna za akina Ruge/clouds et al aachane nazo kabisa. Hawa ni watoto wa mjini they know how to hustle and survive!

My last word: Unless kama biashara zako ni za magumashi na kukwepa kodi, kaa mbali/weka mbali biashara yako na wanasiasa! matumizi/umuhimu wako ukiisha, watakudhalilisha na utaiona dunia chungu!
 
Naibu hawezi kuwa na rafiki wa kudumu sababu anataka kila kitu
Sielewi kwanini anataka vitu vingi kwa wakati mmoja haraka hivi. Au ana uhakika wa babaye kutawala mpaka mwisho na yeye ataachiwa arithi kiti? Haogopi kabisa ujue
 
Kama walivunja sheria kwa kigezo cha urafiki na bashite walizingua hata wasingetolewa leo bado ingefika wakat angekuja kiongoz mwingine angewatoa..ukipewa previllege furani na mtu wa serikali wakati mwingine unatakiwa ujiulize itakuwa mpaka lini?
Yes,,,angalia LIFE SPAN
 
Inavyoelekea hapa kuna mtu mmoja either amekuwa too much dependant na mwingine ameshindwa ku meet demand za mwenzake kama awali ama kuna mmoja tayari amaeshaona upepo unaeza ukabadilika muda wowote by considering hii code ya 26042018.Lets wait and time will tell
 
Ukiona hivyo hata yeye safari yake inaelekea ukingoni

Doctor unasema kweli ...ila huko ukingoni atafika SAA ngapi.?

na Kwanini usimpelekee huo ukingo sasa.?

'Hakika gsm watakushukuru'
 
Nalisema hili kila mara. Kamwe usifanye uswahiba na mwanasiasa! Especially ukaruhusu muingiliano wa biashara zako na urafiki na hawa watu. Daima hawana JEMA! Imagine sasa hivi Bashite kaamua kutumia umasikini na shida za watu (the so called waliotelekezwa) to achieve political mileage. Kwa yeyote mwenye akili timamu anaelewa kabisa ili zoezi ni kudharirishana na nothing good will come out of it! Lakini kwa sababu wengi akili zetu ni zakushikiwa.....tumewaamini.

Mfano mwingine: huu uswahibu ninaouona kati ya Diamond/WASAFI na mwenye mkoa wake....I smell fish! Lazima hautakuwa na mwisho mzuri. Diamond ameshapambana mpaka pale alipo hahitaji urafiki wa kinafiki na wanasiasa! They simply want to use him kwenye migogoro yao ya kimaslahi and will dump him! Kama Diamond ana washauri sijui kama walilifikiria hili. Hizi fitna za akina Ruge/clouds et al aachane nazo kabisa. Hawa ni watoto wa mjini they know how to hustle and survive!

My last word: Unless kama biashara zako ni za magumashi na kukwepa kodi, kaa mbali/weka mbali biashara yako na wanasiasa! matumizi/umuhimu wako ukiisha, watakudhalilisha na utaiona dunia chungu!
Ushauri mzuri hasa kwa Diamond, sijui kama anaweza kupitia hapa akapata maarifa
 
Nadhan matajiri wana cha kujifunza hapa
Anytime jamaaa anakugeuka usipompa anachotaka

Mkuu wala siyo Bashite tuu. Ni hulka ya wanasiasa na wengineo wanaopenda kutumia madaraka/ofisi zao kujinufaisha. Lakini sasa dunia ni ya ajabu sana. Maana na wao hao hao akina Bashite mda utafika tuu....itabidi wakae upande wa pili wa fence waanze kuona matunda ya udhalimu wao. Wazungu wanasema: Time heals!
 
DAB na babake wamezid na sasa wanafanya waz waz wala hawaogopi....
Wakati wafanyabiashara wengine wanaonewa wanalala selo GSM walikua wanafurahia wakijua kua wamewin na hawataguswa na utawala huu ila kilichowakuta ni somo kwa matajir wengine wanao entertain huu ujinga
 
Jana GSM alikuwa central police kwa masaa nane
 
Kuna watu wana roho mbaya kwa kweli.
Na yeye angejenga tu beach maana nchi za kimasikini wanasiasa hutesa kwa zamu

Sijui Zuma na kesi yake itaendaje na
Gupta family
 
Nadhani haya yote yana mikataba ya siri

I have a dream.
Inawezakana uko sahihi. Hawa watu enzi za Kikwete waliiba sana na nilishangaa waliponaje kwenye makucha ya Magufuli. Huenda walifanya mkataba wa siri wa kurudisha kiasi cha walichofisadi. Nakumbuka kuna siku Magufuli alikuwa anazungumzia juu ya ufisadi akawa anasema (bila kumtaja mtu) hata kama mlifisadi basi rudisheni sehemu kwa wananchi.
 
Back
Top Bottom