Ulimakafu
JF-Expert Member
- Mar 18, 2011
- 31,861
- 13,839
Kapicha basi.Wale wamiliki wa Home shopping centre Danube na baby shop wanatuhumiwa kujenga nyumba kwenye eneo la bahari
Kapicha basi.Wale wamiliki wa Home shopping centre Danube na baby shop wanatuhumiwa kujenga nyumba kwenye eneo la bahari
Wataishikilia hati halafu apewe order ya kuhama.Cha kuchekesha ni kwamba nyumba imejengwa ufukweni mwa bahari, ila mkuu wa wilaya kasema, aende na hati na kwanini kajenga ndani ya bahari hahahaha. Maneno ya kulishwa toka juu hayajawahi muacha mtu salama. Maana hajui hata anachoongea masikini.
Yajayo yanafurahisha...
ni sehemu gani hiyo?Nyumba ivunjwe eneo libations huru
Ni kweli. Na kama ni hati mbona serikali ndiyo watoa hati hivyo watakuwa na kila kitu?Cha kuchekesha ni kwamba nyumba imejengwa ufukweni mwa bahari, ila mkuu wa wilaya kasema, aende na hati na kwanini kajenga ndani ya bahari hahahaha. Maneno ya kulishwa toka juu hayajawahi muacha mtu salama. Maana hajui hata anachoongea masikini.
Yajayo yanafurahisha...
Jana GSM alikuwa central police kwa masaa nane
OK, have never been there!Kigamboni
Jana GSM alikuwa central police kwa masaa nane
Hahahah,, dah hili jamaa bana,,cheki macho yake yalivokaa kimitegoHapo ni enzi za "honeymoon" yake na GSM! Huyu jamaa kama superwoman Joyce KiriaView attachment 742030
Unaweza kutimiza kwa nguvu yako ya pesa.haiingii akilini unawekeza mabilioni kwenye mjengo mkubwa kama ule halafu vibali viwe havijatimia
Wakati wa Kikwete watu walijisahau na kuona wao ndiyo sheria. Hawa walikuwa na watu waliokuwa wanaona Ikulu kama nyumbani kwao.haiingii akilini unawekeza mabilioni kwenye mjengo mkubwa kama ule halafu vibali viwe havijatimia
Ila makonda si mwanasiasa ni mnyonyaji tu wa wafanya biashara wajinga wanaojipendekeza kwakeHahahahaaaa
Ndio nawafundisha wafanyabiashara wapya kila siku,do not mix politics with business!
Faida ni very short term na politicians hua ni vultures,they will always comeback for more out of you!Sasa imagine mwanasiasa mwenyewe awe matamaa kama Makonda,just imagine!
Zee la kuvizia!!!Hahahah,, dah hili jamaa bana,,cheki macho yake yalivokaa kimitego
hahahaa,, af wenye shughul wamevaa kawaida kbs yy ndo kujipgilia makanzu na mixa baraghashia,, mchiz msanii sna aseeZee la kuvizia!!!
SIASAhaiingii akilini unawekeza mabilioni kwenye mjengo mkubwa kama ule halafu vibali viwe havijatimia
Ila makonda si mwanasiasa ni mnyonyaji tu wa wafanya biashara wajinga wanaojipendekeza kwake