GSM kumbe walijenga kwenye eneo la bahari

GSM kumbe walijenga kwenye eneo la bahari

Inawezakana uko sahihi. Hawa watu enzi za Kikwete waliiba sana na nilishangaa waliponaje kwenye makucha ya Magufuli. Huenda walifanya mkataba wa siri wa kurudisha kiasi cha walichofisadi. Nakumbuka kuna siku Magufuli alikuwa anazungumzia juu ya ufisadi akawa anasema (bila kumtaja mtu) hata kama mlifisadi basi rudisheni sehemu kwa wananchi.
Home shopping Center walishaifunga kabla Kikwete hajaachia madaraka.

Wao kuanzisha GSM Foundation hawakuwa wajinga, Jakaya Kikwete naye kazinduwa yake jana ili rushwa alizokula kwa miaka 10 apate channel ya kupitishia na kujifanya anatowa misaada shwain kabisa hawa.
 
Wakati Mako anavamia Clouds media na bunduki ilipaswa Kuwa tahadhari tosha kwa marafiki wake wooote. Ukiangalia urafik wa Ruge na mchango wake kwa makonda then na namna RC alivyofanya, ilitosha tu kwa kila alie karibu nae kujitathmin.
Zamu ya Lemutuz, Jerry na Msando itafika tu.

Kwa tamaa ya Mali na umaarufu, anaweza Fanya chochote na kwa yeyote!!
 
Home shopping Center walishaifunga kabla Kikwete hajaachia madaraka.

Wao kuanzisha GSM Foundation hawakuwa wajinga, Jakaya Kikwete naye kazinduwa yake jana ili rushwa alizokula kwa miaka 10 apate channel ya kupitishia na kujifanya anatowa misaada shwain kabisa hawa.
Hawa jamaa yule mzee wa le tumboz kubwaz le akiliz kubwaz alikuwa anawapost sana. Ni siku nyingi naona amewalia pini. Nadhani ni baada ya kukosana na le Bashitez
 
Watanzania hawajifunzi , historia iko wazi kwa DAB ,

Kama alifukuzwa kwa Mzee kamese -Meya Wa zamani Wa jiji la Mwanza , sembuse huyo GSM
 
Alafu jamaa wanatuona mafala wanauza makochi yao bei kubwa pale Mlimani City kochi safi la dola mia saba kama ukinunua pale dubai na kuleta tz hardly unaweza kutoa mil 2.5 plus kodi wao kochi kama hilo wanauza mil 7 dunia kijiji siku hizi najua ni wafanyabiashara but dont aim at a super normal profit
 
Cha kuchekesha ni kwamba nyumba imejengwa ufukweni mwa bahari, ila mkuu wa wilaya kasema, aende na hati na kwanini kajenga ndani ya bahari hahahaha. Maneno ya kulishwa toka juu hayajawahi muacha mtu salama. Maana hajui hata anachoongea masikini.

Yajayo yanafurahisha...
Kibali cha kujenga wanatoa nemc baada ya kujiridhisha umbali wa ulipojenga,ikiwa inahicho kibali cha nemc atakua ameshinda kesi mchana kweupe
 
The falcon can no longer hear the falconer. Things fall apart the centre can no longer hold.
Mpaka Mwakaluka anaondoka kila mtu atakuwa kakomeshwa
 
Wale wamiliki wa Home shopping centre Danube na baby shop wanatuhumiwa kujenga nyumba kwenye eneo la bahari
Kwa nini usingesubiri kupata uthibitisho kabla ya kunena hadharani? au una chuki binafsi na GSM?
 
Bahari kubwa sana, tena ikiwezekana wafanye kabisa land reclamtion kama uholanzi wanavyofanya
 
Back
Top Bottom