GSM kumbe walijenga kwenye eneo la bahari

Cha kuchekesha ni kwamba nyumba imejengwa ufukweni mwa bahari, ila mkuu wa wilaya kasema, aende na hati na kwanini kajenga ndani ya bahari hahahaha. Maneno ya kulishwa toka juu hayajawahi muacha mtu salama. Maana hajui hata anachoongea masikini.

Yajayo yanafurahisha...
 
Ndo nilikua najiuliza na mie. Wakienda na hati ndo itakua haipo tena baharini au?
 
Back
Top Bottom