Green Guard na Polisi Arusha yakamata wana-CHADEMA 17

kawadanganye wajinga wenzako, huu uzushi.

1.green guard sio kazi yao kukamata watu wala kukusanya ushuru
2. green guard hawana ushirikiano wwte na polisi
3. udaku udaku udaku ndio mana
uchaguzi ukija mnaangukia pua

Hapa unawasema Chama Cha Mabwepande, maana Mbeya wamepigwa kipigo cha mbwa mwizi, Sengerema wamegarazwa kama kama magogo ya kupasua mbao usisahau Pemba walivyotimuliwa vumbi hawa wavuta bangi na mahanithi wakubwa.
 
[h=5]Baada ya saa za maandamano

hivi ndivyo CDM Inavyowajali makamnada wake

karibun kuungana nasi katika mapambano siku hizi hamtaandamana bure ujira viroba 10 hadi 20 bure kabisa Pipoz pawaaaaaaa pipoz pawah

IMETOLEWA NA BAVICHA[/h]
 
kiwewe cha kushindwa uchaguzi na mwendelezo wa ugaidi wa CCM na mbinu za kuhairisha uchaguzi jijini Arusha leo zimeendelea baada ya wafanyabiasha wa malori ya mizigo na baadhi ya wafanyabiashara wa soko la Kilombero leo wamekamatwa na green guard wakishirikiana na jeshi la polisi baada ya kukataa kutozwa ushuru na vijana wa CCM wakitaka waje kampuni iliyopitishwa na halmashauri ya jiji la Arusha kama sheria na kanunu zinavyotaka.2??.ndipo jeshi na vijana wa CCM ambao wengi wao ni majambazi walio samehewa kwenye mazingira ya kutatanisha wakaanza kuwakamata lakini baada ya uchunguzi wa CHADEMA kufanyika inaonekana wamefanya hivyo wakijua kuwa kilombero ni ngome ya CHADEMA na unapowakamata ni ili waandamane fujo zitokee uchaguzi uhahirishwe tena...na sababu nyingine ni kuendelea kuwazoofisha CHADEMA kuelekea uchaguzi mhimu sana kwa jiji la Arusha...

===================
Updates
Baada ya mvutano wa kati ya diwani wa kata ya Levelosi mhe. Nanyaro Ephata ambaye soko la kilombero liko kweye kata yake na mkurugezi wa halimashauri ya jiji la Arusha watu wote waliokuwa wamekamatwa wameachiwa bila mashariti yoyote na amekubali kuwa toa Green Guard kwenye soko la Kilombero ndani ya siku mbili kama wakusanya ushuru...
Hongera Mhe Ephata Nanyaro(CHADEMA) kwa kusimamia haki ya wapiga kura wako na watanzania kwa ujumla

hoja yako ya kitoto sana wakumdanganya labda awe chekechea siyo watu wenye akili zao.
 
Baada ya saa za maandamano

hivi ndivyo CDM Inavyowajali makamnada wake

karibun kuungana nasi katika mapambano siku hizi hamtaandamana bure ujira viroba 10 hadi 20 bure kabisa Pipoz pawaaaaaaa pipoz pawah

IMETOLEWA NA BAVICHA

mipango ya lema hii.
 
machadema mmeshaona dalili za kukataliwa arusha mnaanza kuzusha, na bado

weweeeee, arusha ukamsimamisha ng'ombe ukamwambia wewe ng'ombe utakuwa kiongozi wetu vs ccm, ng'ombe anapata kura, hiyo amini tu kwa faida yako
 
Baada ya saa za maandamano

hivi ndivyo CDM Inavyowajali makamnada wake

karibun kuungana nasi katika mapambano siku hizi hamtaandamana bure ujira viroba 10 hadi 20 bure kabisa Pipoz pawaaaaaaa pipoz pawah

IMETOLEWA NA BAVICHA

Hakika huyu atakuwa Mkereketwa wa chama cha mapinduzi!
 
mtabaki kusingizia polisi lakini chama chenu ni kundi a wahuni wasiokuwa na utaifa,
 
Baada ya saa za maandamano

hivi ndivyo CDM Inavyowajali makamnada wake

karibun kuungana nasi katika mapambano siku hizi hamtaandamana bure ujira viroba 10 hadi 20 bure kabisa Pipoz pawaaaaaaa pipoz pawah

IMETOLEWA NA BAVICHA

In contrast:

images
 
Kwa taarifa yako kwenye vilevi ndio serekali yako ya chama cha mapinduzi inapojisifia kwa kukusanya kodi. Wasifu chadema kwa kuwapa wananchi hivyo viroba kwani wanaongeza kodi ambayo EL anaigawa makanisani na misikitini.Unadhani unawamaliza chadema kumbe ndio unajipaka shombo na chama chenu kikongwe.
 
kiwewe cha kushindwa uchaguzi na mwendelezo wa ugaidi wa CCM na mbinu za kuhairisha uchaguzi jijini Arusha leo zimeendelea baada ya wafanyabiasha wa malori ya mizigo na baadhi ya wafanyabiashara wa soko la Kilombero leo wamekamatwa na green guard wakishirikiana na jeshi la polisi baada ya kukataa kutozwa ushuru na vijana wa CCM wakitaka waje kampuni iliyopitishwa na halmashauri ya jiji la Arusha kama sheria na kanunu zinavyotaka.2??.ndipo jeshi na vijana wa CCM ambao wengi wao ni majambazi walio samehewa kwenye mazingira ya kutatanisha wakaanza kuwakamata lakini baada ya uchunguzi wa CHADEMA kufanyika inaonekana wamefanya hivyo wakijua kuwa kilombero ni ngome ya CHADEMA na unapowakamata ni ili waandamane fujo zitokee uchaguzi uhahirishwe tena...na sababu nyingine ni kuendelea kuwazoofisha CHADEMA kuelekea uchaguzi mhimu sana kwa jiji la Arusha...

===================
Updates
Baada ya mvutano wa kati ya diwani wa kata ya Levelosi mhe. Nanyaro Ephata ambaye soko la kilombero liko kweye kata yake na mkurugezi wa halimashauri ya jiji la Arusha watu wote waliokuwa wamekamatwa wameachiwa bila mashariti yoyote na amekubali kuwa toa Green Guard kwenye soko la Kilombero ndani ya siku mbili kama wakusanya ushuru...
Hongera Mhe Ephata Nanyaro(CHADEMA) kwa kusimamia haki ya wapiga kura wako na watanzania kwa ujumla

Hivi CHADEMA mnafikiri mnaweza kushinda kupitia propaganda rahisi kama hizi. Waambieni wananchi mtawafanyia nini mpate kura la sivyo mtaendelea kulalamika tu.
 
CHADEMA wamesomea wapi na kufanyia wapi mafunzo ya upelelezi mpaka wewe uwe na imani nao?

Hizo ni story za vijiweni tu na hazina uthibitisho unao ridhisha.

Sijui hapo PPRA unafanya kazi gani?
 
Ushahidi wa wazi kabisa lakini maajabu ya karne macho ta kova na chagonjwa yakakataa na kusema ni fotoshop!!!
Masisiem kweli ni manyanga'au!!!

acha kudhihaki binadamu mwenzako hivyo wewe.
 
Kwa taarifa yako kwenye vilevi ndio serekali yako ya chama cha mapinduzi inapojisifia kwa kukusanya kodi. Wasifu chadema kwa kuwapa wananchi hivyo viroba kwani wanaongeza kodi ambayo EL anaigawa makanisani na misikitini.Unadhani unawamaliza chadema kumbe ndio unajipaka shombo na chama chenu kikongwe.

Hakika unadhalilisha CHADEMA kwa hiyo unaunga mkono upuuzi huu wa makada wake kunywa hadi kujikojolea? ndiyo maana kumbe ni Maliberary, hasa kama mtu anakunywa na kuwa ha hali hii vijana watamuacha kweli.
 
Back
Top Bottom