Green Guard na Polisi Arusha yakamata wana-CHADEMA 17

KADA WA CCM ALIYEMWAGIWA TINDIKALI IGUNGA AREJEA NCHINI KUTOKA INDIA BAADA YA MATIBABU

1.jpg

MKAZI wa Igunga, Kada wa CCM, Mussa Tesha aliyekuwa nchini India kwa matibabu baada ya kumwagiwa tindikali usoni na watu wanaodaiwa kuwa ni wafuasi wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADAEMA), kwa uroho wa madaraka wakati wa kampeni za uchaguzi mdogo jimboni humo (Igunga) mwaka jana, akizungumza na waandishi wa habari, jijini Dar es Salaam, baada ya kurejea nchini. Kulia ni Katibu wa NEC, Uchumi na Fedha Mwigulu Nchemba ambaye alikuwa Meneja wa Kampeni za CCM jimboni humo.
 
kiwewe cha kushindwa uchaguzi na mwendelezo wa ugaidi wa CCM na mbinu za kuhairisha uchaguzi jijini Arusha leo zimeendelea baada ya wafanyabiasha wa malori ya mizigo na baadhi ya wafanyabiashara wa soko la Kilombero leo wamekamatwa na green guard wakishirikiana na jeshi la polisi baada ya kukataa kutozwa ushuru na vijana wa CCM wakitaka waje kampuni iliyopitishwa na halmashauri ya jiji la Arusha kama sheria na kanunu zinavyotaka.2??.ndipo jeshi na vijana wa CCM ambao wengi wao ni majambazi walio samehewa kwenye mazingira ya kutatanisha wakaanza kuwakamata lakini baada ya uchunguzi wa CHADEMA kufanyika inaonekana wamefanya hivyo wakijua kuwa kilombero ni ngome ya CHADEMA na unapowakamata ni ili waandamane fujo zitokee uchaguzi uhahirishwe tena...na sababu nyingine ni kuendelea kuwazoofisha CHADEMA kuelekea uchaguzi mhimu sana kwa jiji la Arusha...

===================
Updates
Baada ya mvutano wa kati ya diwani wa kata ya Levelosi mhe. Nanyaro Ephata ambaye soko la kilombero liko kweye kata yake na mkurugezi wa halimashauri ya jiji la Arusha watu wote waliokuwa wamekamatwa wameachiwa bila mashariti yoyote na amekubali kuwa toa Green Guard kwenye soko la Kilombero ndani ya siku mbili kama wakusanya ushuru...
Hongera Mhe Ephata Nanyaro(CHADEMA) kwa kusimamia haki ya wapiga kura wako na watanzania kwa ujumla
[h=2]Sunday, September 11, 2011[/h][h=3]MFUASI WA CCM AMWAGIWA TINDIKALI NA WAFUASI WA CHADEMA IGUNGA[/h]

[h=2][/h][h=3]
[/h]

[TABLE="class: tr-caption-container, align: center"]
[TR]
[TD] [/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="class: tr-caption"]Mfuasi wa CCM, Mussa Tesha (24) akiwa katika hospitali ya wilaya ya Igunga mkoani Tabora, leo. Tesha ameungua usoni na sehemu kadhaa mwilini baada ya kumwagiwa tindikali usiku wa kuamkia leo na watu wanaodaiwa kuwa ni wafausi wa CHADEMA, ambapo inaelezwa kuwa walimwagia tindikali hiyo alipokuwa katika harakati za kubandika mitaani mabango ya mgombea wa Ubunge jimbo lgunga kwa tiketi ya CCM. Tesha alitarajiwa kuhamishiwa katika hospitali ya Taifa ya Muhimbili Dar es Salaam leo kwa gharama za CCM. Anayemtazama ni Daktari wa hospitali hiyo, Selemani Masinga. (Na Mpigapicha Wetu)
[/TD]
[/TR]
[/TABLE]

Mkuu mimi imani yangu ni kwamba Arusha yote ni ngome ya CHADEMA imekuwaje unasema Soko la Kilombero ndipo ngome ya CHADEMA?
 
Nimemwona Jumanne Mjusi kibaka aliyeshindikana hapa mjini maeneo ya kilombero kwa kazi hiyo pamoja na polisi waaminifu kwa ccm wakifanya uhalifu wa kuwakamata vijana wanaofanya biashara yao.

Hatuandamani ng'o kama mipango yao ndiyo hiyo.

Tutadai haki yetu na kuwatetea wote wanaoonewa kwa njia inayofaa.

Baada ya uchaguzi tutawapekelekea watawala ujumbe muhimu wa haki na utu wa mtanzania
Mungi, katika vitu mnaniudhi Arusha ni kusikia kila siku mnamtaja hilo li Mjusi kama kibaka anayetumika na CCM kama gaidi wao. Hivi mmeshindwa kutafuta namna ya kumfanya asisumbue tena? Mbona vibaka wengine mnawashughulikia ipasavyo? Kwa sifa mbaya ninazozisikia kuhusu huyo mtu,basi anastahili adhabu ile ya juu kabisa kupitia "wananchi wenye hasira"
 
Last edited by a moderator:
[h=2]Sunday, September 11, 2011[/h][h=3]MFUASI WA CCM AMWAGIWA TINDIKALI NA WAFUASI WA CHADEMA IGUNGA[/h]

[h=2][/h][h=3]
[/h]

[TABLE="class: tr-caption-container, align: center"]
[TR]
[TD] [/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="class: tr-caption"]Mfuasi wa CCM, Mussa Tesha (24) akiwa katika hospitali ya wilaya ya Igunga mkoani Tabora, leo. Tesha ameungua usoni na sehemu kadhaa mwilini baada ya kumwagiwa tindikali usiku wa kuamkia leo na watu wanaodaiwa kuwa ni wafausi wa CHADEMA, ambapo inaelezwa kuwa walimwagia tindikali hiyo alipokuwa katika harakati za kubandika mitaani mabango ya mgombea wa Ubunge jimbo lgunga kwa tiketi ya CCM. Tesha alitarajiwa kuhamishiwa katika hospitali ya Taifa ya Muhimbili Dar es Salaam leo kwa gharama za CCM. Anayemtazama ni Daktari wa hospitali hiyo, Selemani Masinga. (Na Mpigapicha Wetu)
[/TD]
[/TR]
[/TABLE]

Ulipaswa kuonyesha kabisa kuwa habari hii ni kwa mujibu wa gazeti la Uhuru.
 
kiwewe cha kushindwa uchaguzi na mwendelezo wa ugaidi wa CCM na mbinu za kuhairisha uchaguzi jijini Arusha leo zimeendelea baada ya wafanyabiasha wa malori ya mizigo na baadhi ya wafanyabiashara wa soko la Kilombero leo wamekamatwa na green guard wakishirikiana na jeshi la polisi baada ya kukataa kutozwa ushuru na vijana wa CCM wakitaka waje kampuni iliyopitishwa na halmashauri ya jiji la Arusha kama sheria na kanunu zinavyotaka.2??.ndipo jeshi na vijana wa CCM ambao wengi wao ni majambazi walio samehewa kwenye mazingira ya kutatanisha wakaanza kuwakamata lakini baada ya uchunguzi wa CHADEMA kufanyika inaonekana wamefanya hivyo wakijua kuwa kilombero ni ngome ya CHADEMA na unapowakamata ni ili waandamane fujo zitokee uchaguzi uhahirishwe tena...na sababu nyingine ni kuendelea kuwazoofisha CHADEMA kuelekea uchaguzi mhimu sana kwa jiji la Arusha...

===================
Updates
Baada ya mvutano wa kati ya diwani wa kata ya Levelosi mhe. Nanyaro Ephata ambaye soko la kilombero liko kweye kata yake na mkurugezi wa halimashauri ya jiji la Arusha watu wote waliokuwa wamekamatwa wameachiwa bila mashariti yoyote na amekubali kuwa toa Green Guard kwenye soko la Kilombero ndani ya siku mbili kama wakusanya ushuru...
Hongera Mhe Ephata Nanyaro(CHADEMA) kwa kusimamia haki ya wapiga kura wako na watanzania kwa ujumla

hivi haya mambo yanayofanywa na hii serikali ya tz yanafanyika hata nchi za wenzetu (mfano Misri) ?
 
CHADEMA wamesomea wapi na kufanyia wapi mafunzo ya upelelezi mpaka wewe uwe na imani nao?

Hizo ni story za vijiweni tu na hazina uthibitisho unao ridhisha.

CDM wamefanya nini mh.?
Mgodi wa shelui pale vipi hawaitaji wadau?
 
CHADEMA wamesomea wapi na kufanyia wapi mafunzo ya upelelezi mpaka wewe uwe na imani nao?

Hizo ni story za vijiweni tu na hazina uthibitisho unao ridhisha.

CHADEMA ni watu, tena mamilioni. Unafahamu elimu na ujuzi wa kila mmoja??! Acha kuua akili yako!!
 
Last edited by a moderator:
Mungi, katika vitu mnaniudhi Arusha ni kusikia kila siku mnamtaja hilo li Mjusi kama kibaka anayetumika na CCM kama gaidi wao. Hivi mmeshindwa kutafuta namna ya kumfanya asisumbue tena? Mbona vibaka wengine mnawashughulikia ipasavyo? Kwa sifa mbaya ninazozisikia kuhusu huyo mtu,basi anastahili adhabu ile ya juu kabisa kupitia "wananchi wenye hasira"

Mkuu tambua kwamba chadema hatuna kulipizana visasi kwa hila. power ya chadema ni sanduku la kura, huko ndiyo tunakwenda kuwahukumu ccm na vibaka wao.
 
ChaDeMa-Chaga Development Mandatory

Mbona vibwagizo vyote vimekosa mashiko:

UCHAGA/UKABILA
UKRISTO/UDINI
UKASKAZINI/UKANDA
UGAIDI/MAANDAMANO/FUJO
___________________
___________________
___________________

Ila katika yote CCM inabaki kuwa pango na maficho ya wezi, wahalifu na wahujumu wa rasilimali za Taifa, wala huhitaji mnajimu ama mpiga ramli wa kudurusu juu ya hilo.
 
Mkuu tambua kwamba chadema hatuna kulipizana visasi kwa hila. power ya chadema ni sanduku la kura, huko ndiyo tunakwenda kuwahukumu ccm na vibaka wao.
Mkuu natambua hilo ila hilo limjusi nasikia licha ya ukibaka ni lijambazi linalotoa roho watu na serikali inajua ila kwa vile anatumiwa na lichama lao haguswi.
Mkuu hata sheria za maliasili zinakataza kuua wanyama,lakini kama wanyama hao wakifikia kuhatarisha maisha ya wanadamu basi kuwaua sio jambo la mjadala. Hana tofauti na wanyama hao huyo.
 
mbona unaongea kama umebanwa na mlango??? lwakatare alikuwa anapanga mipango ya kulisha waandishi sumu, video ipo..lakini pia tume ya wahariri imethibitisha pasipo shaka uhusika wa chadema katika utesaji wa kibanda..acha kuweweseka.

unajadili na watu na akili zao hapa,jukwa la wahariri .ilisema wamepata habari za kibanda toka maoni ya watu mbali mbali .hivyo hao watu mbali mbali mmoja wapo ni mwigulu .sasa inashangaza utoe maoni yako chumbani .mwandishi akiyatoa hadharani useme ata mwandishi amesema chadema wanahusika na kibanda .akili ya mbuni kuficha kichwa mgongo huko wazi . Shame on you pupet
 
CHADEMA wamesomea wapi na kufanyia wapi mafunzo ya upelelezi mpaka wewe uwe na imani nao?

Hizo ni story za vijiweni tu na hazina uthibitisho unao ridhisha.

Ndivyo hawajui kupeleleza ila nadhani siri zenu huwa zinawafikia kwa nyie kuwapatia katika vijiwe vya kahawa.
 
KADA WA CCM ALIYEMWAGIWA TINDIKALI IGUNGA AREJEA NCHINI KUTOKA INDIA BAADA YA MATIBABU

1.jpg

MKAZI wa Igunga, Kada wa CCM, Mussa Tesha aliyekuwa nchini India kwa matibabu baada ya kumwagiwa tindikali usoni na watu wanaodaiwa kuwa ni wafuasi wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADAEMA), kwa uroho wa madaraka wakati wa kampeni za uchaguzi mdogo jimboni humo (Igunga) mwaka jana, akizungumza na waandishi wa habari, jijini Dar es Salaam, baada ya kurejea nchini. Kulia ni Katibu wa NEC, Uchumi na Fedha Mwigulu Nchemba ambaye alikuwa Meneja wa Kampeni za CCM jimboni humo.

Poleni sana, Mlienda kwa mgaga kutafuta mali na mkaamua kumtoa mtoto (Kada) kafara.
 
Back
Top Bottom