Green Guard na Polisi Arusha yakamata wana-CHADEMA 17

Green Guard na Polisi Arusha yakamata wana-CHADEMA 17

ChaDeMa-Chaga Development Mandatory

Dar kwa wazaramo Goli la doba, Huko kwa wanyakyusa Goli la kisigino, Hapo kwa wahehe Goli la .............. Huko kwa Wanyaturu Goli la ............. Huko kwa Wasukuma Goli la ...... Mpaka Masha katoa machozi, Huko kwa Wahaya Goli la ......... Bado tu kina Toa utu upate kitu mnaendelea kukomaa kuwa chama cha kichaga. Utapata kazi ngumu sana ya kuwazuia mpka wanao kutoonyesha uzalendao ili wasiharibu mlo wako.
 
mbona unaongea kama umebanwa na mlango??? lwakatare alikuwa anapanga mipango ya kulisha waandishi sumu, video ipo..lakini pia tume ya wahariri imethibitisha pasipo shaka uhusika wa chadema katika utesaji wa kibanda..acha kuweweseka.
Akili MFU
 
kawadanganye wajinga wenzako, huu uzushi.

1.green guard sio kazi yao kukamata watu wala kukusanya ushuru
2. green guard hawana ushirikiano wwte na polisi
3. udaku udaku udaku ndio mana uchaguzi ukija mnaangukia pua

Hapa serengeti kwenye kata ya manchira walikamatwa wapiga kura na magreen guard wa ccm wakiongozwa na mkuu wa wilaya pamoja mbunge vitu maalumu amina makilagi wakawafungia ofisi za ccm wilaya na kuwatesa sana.tunao ushahidi na mimi nilishindia rockup siku ya uchaguzi.
 
Vibaka na majambazi, magaidi na majangili ni lulu kwa ccm ya sasa
Ni Arusha peke yake ambapo vibaka na majangili kama mbunge wa Arusha na wengineo wamehalalishwa hata kushika nafasi kubwa katika jamii. M
 
Nimemwona Jumanne Mjusi kibaka aliyeshindikana hapa mjini maeneo ya kilombero kwa kazi hiyo pamoja na polisi waaminifu kwa ccm wakifanya uhalifu wa kuwakamata vijana wanaofanya biashara yao.

Hatuandamani ng'o kama mipango yao ndiyo hiyo.

Tutadai haki yetu na kuwatetea wote wanaoonewa kwa njia inayofaa.

Baada ya uchaguzi tutawapekelekea watawala ujumbe muhimu wa haki na utu wa mtanzania

Huyo Jumanne very soon watamuua wenzake ktk mgao wa mafao ya CCM..walioamua kufanya Arusha kuwa lowless zone.Wajinga km hao huuwawa kirahisi sana na raia .
 
CHADEMA wamesomea wapi na kufanyia wapi mafunzo ya upelelezi mpaka wewe uwe na imani nao?

Hizo ni story za vijiweni tu na hazina uthibitisho unao ridhisha.

hivi avatar yako na akili yako vinatofautiana kweli wewe?
 
Sunday, September 11, 2011

MFUASI WA CCM AMWAGIWA TINDIKALI NA WAFUASI WA CHADEMA IGUNGA










[TABLE="class: tr-caption-container, align: center"]
[TR]
[TD] [/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="class: tr-caption"]Mfuasi wa CCM, Mussa Tesha (24) akiwa katika hospitali ya wilaya ya Igunga mkoani Tabora, leo. Tesha ameungua usoni na sehemu kadhaa mwilini baada ya kumwagiwa tindikali usiku wa kuamkia leo na watu wanaodaiwa kuwa ni wafausi wa CHADEMA, ambapo inaelezwa kuwa walimwagia tindikali hiyo alipokuwa katika harakati za kubandika mitaani mabango ya mgombea wa Ubunge jimbo lgunga kwa tiketi ya CCM. Tesha alitarajiwa kuhamishiwa katika hospitali ya Taifa ya Muhimbili Dar es Salaam leo kwa gharama za CCM. Anayemtazama ni Daktari wa hospitali hiyo, Selemani Masinga. (Na Mpigapicha Wetu)[/TD]
[/TR]
[/TABLE]








Usiwe mvivu wa kutafuta ukweli sasa ngoja nikuwekea hapa ili usipate shida..

Sasa angalia kilicho fanywa na serikali ya CCM
wakalacdm.jpg
Huyu Ni Bwana aliekuwa wakala wa chadema huko Igunga aliuwawa kinyama na Green Guard...
View attachment 101415
Huyu ni mwenyekiti wa chadema kata ya usa river aliuliwa na mwenyekiti wa ccm kata hiyo hiyo kwa kushirikiana na jambazi la kukondisha kutoka singida lakini walifanikiwa kutoroka siku chache walipokuwa wanapelekwa wakiwa mahakamani chini ya polisi wasiopungua nane na wanne wakiwa na smg...
View attachment 101416
Dr Ulimboka akiwa hoi baada ya kung'olewa kucha na meno bila gazi tukio hili lilifanywa na wafanya kazi wa ikulu kwa maagizo ya waziri mkuu Pinda
View attachment 101418
Masikini mtoto huyu nae aliuwawa kinyama na jeshi la polisi huko mkoani Mara na hii inasemekna ni maagizo hayo ya pinda kuwa polisi wapige tu maana amechoka...
View attachment 101419
Kijana huyu ambaye alikuwa muuza gazeti mkoani morogoro aliuwawa na polisi baada ya kupigwa risasi huku jeshi la polisi likidai ni kitu kizito chenye ncha kali...
MWANGOSI ANAMCHEKEA RPC.jpg
Daudi Mwangosi aliuwawa kikatili kwa maagizo ya kamhanda RPC wa Iringa na sasa Kamhanda kapandishwa cheo kwa kazi nzuri aliyoifanya ya kuumuua mwandishi wa habari huyu....
salome1.jpg
Huyu ni Salome Mbatia CCM walimmaliza kwani ni mtu alieujua ukweli A - Z juu ya EPA na inasemekena alikuwa akitoa habari kwenye vyama vya upinzani kwa kuchoshwa na ufisadi huo...
View attachment 101422
Huyu ni mmoja wa wahanga wa Polisi CCM licha ya kuwa na kitambaa cheupe uashiria amani lakini polisi walipiga tu na kuuwa watanzania wanne na mkenya mmoja, na majeruhi ambao wameachwa bila miguu, mikono, macho
View attachment 101423
Chadema tuna zika tu siyo kwasababu Mungu kapenda bali ni kwasababu CCM imeamua tuzike maana wao wataishi milele
View attachment 101424
Hawa ndiyo watanzania halisi ambao serikali haiwezi kuwa gusa hata wakitoa uhai wa watanzania wenzao...
View attachment 101425
196459_10201527423173761_1596527095_n.jpg
bomu la arusha.jpg
Baada ya kuona risasi peke yange hazitoshi sasa wameamua kuwa uwa watanzania kwa mabomu kutoka china wakiamini watanzania wata rudi nyuma...
=======================
CCM ina jivunia kuwa na Jeshi la polisi na pesa
View attachment 101436
Chadema ina jivunia watu na Mungu
CIMG6415.JPG
=======================
CCM ina matukio mengi sana ya kinyama ambayo kama mtu ukikaa kuyaandika unaweza kutumia hata mwezi mzima kuya orodhesha....
 
Last edited by a moderator:
acha kudhihaki binadamu mwenzako hivyo wewe.
Dhihaka wapi wewe gamba,kwani ni uongo issue ya Dr Ulimboka kova hajasema rama igondo ni mkenya?Anaona sawa sawa kweli?
chagonjwa nae akasema mauaji ya Mwangosi zile picha ni fotoshop...nawasingizia jamani?Acha unazi masisiem yanakutumia tu kama ile mipira ya kiume...
 
duh!, hzo picha, aiseee inackitisha sana, tatzo la hv vyama kila m2 ana interest zake mwenyewe so unaweza kufia chama bureeeee!!, km n mapnduzi kwel, yafanyike km ya egypt or istanbul, kuliko kuacha wa2 wafe haf still 2nabak u2mwani, ina pain sana.
 
duh!, hzo picha, aiseee inackitisha sana, tatzo la hv vyama kila m2 ana interest zake mwenyewe so unaweza kufia chama bureeeee!!, km n mapnduzi kwel, yafanyike km ya egypt or istanbul, kuliko kuacha wa2 wafe haf still 2nabak u2mwani, ina pain sana.
Kweli mkuu...
 
kawadanganye wajinga wenzako, huu uzushi.

1.green guard sio kazi yao kukamata watu wala kukusanya ushuru
2. green guard hawana ushirikiano wwte na polisi
3. udaku udaku udaku ndio mana uchaguzi ukija mnaangukia pua

Dah! Jamaa kaleta uzushi, wewe umeleta ushuzi jamvini! Chichiem bana!
 
Back
Top Bottom