Green Guard na Polisi Arusha yakamata wana-CHADEMA 17

Green Guard na Polisi Arusha yakamata wana-CHADEMA 17

Something is very wrong in Arusha politics.

Don't you feel pooped with samey politics.

tatizo ni halmashauri ya jiji la Arusha ccm hawataki liingozwe na chama cha upunzani kwasababu kipato chake ni kikubwa, na biashara za mafisadi wengi hasa Lowasa ziko Arusha na hazilipi kodi...mfano arusha haijawahi kuwa na hati safi kutokana na mkaguzi mkuu wa serikali mwaka uliopita bil 15 zimetafunwa na hakuna hata sisimizi aliwshitakiwa...ccm imeoza na kiama cha ni jiji kuongozwa na chadema
 
Nimemwona Jumanne Mjusi kibaka aliyeshindikana hapa mjini maeneo ya kilombero kwa kazi hiyo pamoja na polisi waaminifu kwa ccm wakifanya uhalifu wa kuwakamata vijana wanaofanya biashara yao.

Hatuandamani ng'o kama mipango yao ndiyo hiyo.

Tutadai haki yetu na kuwatetea wote wanaoonewa kwa njia inayofaa.

Baada ya uchaguzi tutawapekelekea watawala ujumbe muhimu wa haki na utu wa mtanzania

Uyo Jumanne Mjusi ni jambazi alaiyempiga shoka kamanda wa chadema elerai ila polisi na ccm wanamlinda.
He s a most wanted criminal lakini anapewa impunity na polisi kwa maslahi ya CCM, sasa kwa maslahi ya umma Mungu atafanya kazi yake soon.

Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
 
mbona unaongea kama umebanwa na mlango??? lwakatare alikuwa anapanga mipango ya kulisha waandishi sumu, video ipo..lakini pia tume ya wahariri imethibitisha pasipo shaka uhusika wa chadema katika utesaji wa kibanda..acha kuweweseka.

mbona polisi wa ccm wameshindwa kuwakamata?unasema uongo mchana kweupe!!!!!!!!cdm ni chama bora zaidi afrika.
 
Baada ya mvutano wa kati ya diwani wakata ya Levelosi mhe. Nanyaro Ephata na mkurugezi wa jiji la Arusha watu wote waliokuwa wamekamatwa wameachiwa bila mashariti yoyote na amekubali kuwa toa Green Guard kwenye soko la Kilombero kama wakusanya ushuru...
Hongera Mhe Ephata Nanyaro(CHADEMA) kwa kusimamia haki ya wapiga kura wako na watanzania kwa ujumla
 
Something is very wrong in Arusha politics.

Don't you feel pooped with samey politics.

Hey, kwa kifupi hapa Arusha ndo kitovu cha siasa za mabadiliko zenye kuzaa ushindi wa kila mwenye nia njema na Taifa hili.
Usizungumzie siasa za hapa Arusha kama mjuaji ukiwa dar kama Janauary makamba anavyohudumia wanabumbuli kwa twitter akiwa dar, take a time and consult books utagundua kuwa eveything good comes from North.
Watu wa Arusha tutakua wa kwanza kusimama na kutetea haki za watoto wako hata kama wewe utapinga.
Watu wa Arusha tutakua wa kwanza kufa kwa mabomu kutetea haki ya bibi na babu zako walioko usha'ghoo hata kama wewe utapinga.
Watu wa Arusha tutakua wa kwanza kushinikiza serikali dhaifu ikataliwe hata kwa gharama za risasi za moto mtakazotupiga kama juzi hapa SOWETO.

Go and consult your inner party of thinking capacity utagundukua siasa za Arusha zinaenda kuongoza TZ nzima kuizika ccm na kuiondosha serikali hii katili.

NB:
Its too late kugundua kuwa Mulongo Magesa is in wrong place at wrong time for the benefits of mtetea haki yeyote duniani.

Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
 
Baada ya mvutano wa kati ya diwani wakata ya Levelosi mhe. Nanyaro Ephata na mkurugezi wa jiji la Arusha watu wote waliokuwa wamekamatwa wameachiwa bila mashariti yoyote na amekubali kuwa toa Green Guard kwenye soko la Kilombero kama wakusanya ushuru...
Hongera Mhe Ephata Nanyaro(CHADEMA) kwa kusimamia haki ya wapiga kura wako na watanzania kwa ujumla
Namkubali sana Nanyaro, huyu jamaa ni mfano wa viongozi wa front line sana hapa Arusha.
Tunahitaji Ephata Nanyaro kama 500 hivi tuzidi kuongeza speed za kuwafundisha adabu hawa n'gombe.

Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
 
Last edited by a moderator:
Nimemwona Jumanne Mjusi kibaka aliyeshindikana hapa mjini maeneo ya kilombero kwa kazi hiyo pamoja na polisi waaminifu kwa ccm wakifanya uhalifu wa kuwakamata vijana wanaofanya biashara yao.

Hatuandamani ng'o kama mipango yao ndiyo hiyo.

Tutadai haki yetu na kuwatetea wote wanaoonewa kwa njia inayofaa.

Baada ya uchaguzi tutawapekelekea watawala ujumbe muhimu wa haki na utu wa mtanzania
Mkuu unamfahamu Gerald Emanuel?
 
Wafanyabiashara wameruhusiwa na sasa wapo sokoni ndani wanaendelea na biashara.Kuwa Mkurugenzi anawaondoa wale watu wa DC na kuwa wafanyabiashara watalipa tu kwa mtu au wakala aliyepitishwa na Halmashauri kwa mujibu wa sheria kanuni na Kuwa ifikapo Jumatano Jumanne Mjusi atakuwa ameshaondolewa.. na Soko litakuwa linaendeshwa kwa mujibu wa sheria,na DC hataruhusiwa tena kuingilia Halimashauri,pia Mkurugenzi atapeleka barua ya malalamiko dhidi ya Dc kwenye ngazi za juu
 
Namkubali sana Nanyaro, huyu jamaa ni mfano wa viongozi wa front line sana hapa Arusha.
Tunahitaji Ephata Nanyaro kama 500 hivi tuzidi kuongeza speed za kuwafundisha adabu hawa n'gombe.

Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums

ni vichwa vilivyoko Arusha ambacho magamba wanakesha wakiwaza namna ya kuwa maliza, huwezi kuirodhesha silaha za chadema ukamuweka pembeni kamanda huyu..
 
Last edited by a moderator:
Baada ya mvutano wa kati ya diwani wakata ya Levelosi mhe. Nanyaro Ephata na mkurugezi wa jiji la Arusha watu wote waliokuwa wamekamatwa wameachiwa bila mashariti yoyote na amekubali kuwa toa Green Guard kwenye soko la Kilombero kama wakusanya ushuru...
Hongera Mhe Ephata Nanyaro(CHADEMA) kwa kusimamia haki ya wapiga kura wako na watanzania kwa ujumla

Huyu Mkurugenzi wa sasa anaonekana kama ana muelekeo................ anaonekana mtu wa haki. Urembo wake unaendana na roho yake!

Kamanda Nanyaro Ephata aliipiga vita sana hili suala la green guard waliowekwa soko la kilombero na Mulongo kukusanya ushuru soko la Kilombero. Tumeona juhudi yake..................
 
Last edited by a moderator:
Baada ya ziara ya Obama tumerudi kumaalizia season 2.
Chezezeya Chadema na Matukio ya kuunga unga wewe!
Na bado hizi sinema zimeandaliwa za kutosha mpaka mtakubali.
 
mbona unaongea kama umebanwa na mlango??? lwakatare alikuwa anapanga mipango ya kulisha waandishi sumu, video ipo..lakini pia tume ya wahariri imethibitisha pasipo shaka uhusika wa chadema katika utesaji wa kibanda..acha kuweweseka.

Wewe lazima utakuwa ndio Mwigulu Nchemba!
 
Last edited by a moderator:
kawadanganye wajinga wenzako, huu uzushi.

1.green guard sio kazi yao kukamata watu wala kukusanya ushuru
2. green guard hawana ushirikiano wwte na polisi
3. udaku udaku udaku ndio mana uchaguzi ukija mnaangukia pua

Huu upuuzi ungewaeleza magamba wenzio maana ndio wanaobariki u.jinga huo
 
Hivi ccm kwann mnanyanyasa WANACHADEMA? Hakika kaburi linawasubiri 2015.
 
[h=5]Chadema hakukaliki,inteligensia ya uhakika imegundua chama kinaweweseka,chama kilikuwa na matarajio makubwa sana katika uchaguzi mkuu wa 2015 kwani kilitarajia kitaendelea kuwa chama kikuu cha upinzani ,hata hivyo baada ya wasomi waliobobea ndani ya chama kufanya utafiti wa uhakika,yafuatayo yamebainika
1.chama kitapoteza viti vingi vya ubunge kwani wabunge wao wamekuwa mzigo kwa wananchi kwani mpaka sasa wabunge wao hawajaacha kumbukumbu yoyote nzuri majimboni huku uchaguzi mkuu ukikaribia
2.baada ya kufadhili machafuko na hata ughaidi katika maeneo mbalimbali hapa nchini hususan mkoa wa arusha,wananchi wengi wameanza kukikimbia,tena kwa spidi ya ajabu,chama kimekosa mvuto kwa wananchi
3.vyombo vingi vya habari vikiwemo vya MENGI vimekihusisha na matukio mabaya,gazeti pekee linalokizungumzia positively ni Tanzania daima ambalo ni gazeti la mbowe
makamanda wamechoka,wameishiwa nguvu mapema sana
[/h]
 
kiwewe cha kushindwa uchaguzi na mwendelezo wa ugaidi wa CCM na mbinu za kuhairisha uchaguzi jijini Arusha leo zimeendelea baada ya wafanyabiasha wa malori ya mizigo na baadhi ya wafanyabiashara wa soko la Kilombero leo wamekamatwa na green guard wakishirikiana na jeshi la polisi baada ya kukataa kutozwa ushuru na vijana wa CCM wakitaka waje kampuni iliyopitishwa na halmashauri ya jiji la Arusha kama sheria na kanunu zinavyotaka.2??.ndipo jeshi na vijana wa CCM ambao wengi wao ni majambazi walio samehewa kwenye mazingira ya kutatanisha wakaanza kuwakamata lakini baada ya uchunguzi wa CHADEMA kufanyika inaonekana wamefanya hivyo wakijua kuwa kilombero ni ngome ya CHADEMA na unapowakamata ni ili waandamane fujo zitokee uchaguzi uhahirishwe tena...na sababu nyingine ni kuendelea kuwazoofisha CHADEMA kuelekea uchaguzi mhimu sana kwa jiji la Arusha...

===================
Updates
Baada ya mvutano wa kati ya diwani wa kata ya Levelosi mhe. Nanyaro Ephata ambaye soko la kilombero liko kweye kata yake na mkurugezi wa halimashauri ya jiji la Arusha watu wote waliokuwa wamekamatwa wameachiwa bila mashariti yoyote na amekubali kuwa toa Green Guard kwenye soko la Kilombero ndani ya siku mbili kama wakusanya ushuru...
Hongera Mhe Ephata Nanyaro(CHADEMA) kwa kusimamia haki ya wapiga kura wako na watanzania kwa ujumla

Inakuwaje CCM wanakuwa na "jeshi" wakati ni chama cha siasa na Sheria ya Vyama Vingi imeharamisha vyama kuwa na vikosi vya kijeshi vya aina yoyote? Hivi Tendwa amelala?
 
Arusha inawafanya vigogo wasipate usingizi! Hukumu yao ni Jumapili kupitia sanduku la kura, hakika CCM hawatapata hata diwani mmoja. Laiti wangejua watu wa Arusha kwa undani, hawangekuwa na haja ya kuwapiga kwa hand grunet, risasi wala ya machozi..!
 
Back
Top Bottom