ooohhhhhhhhhhhhhh u have made my day,tulimuita hivyo baada ya kuimbia wali ule wimbo wa mtoto idd kazua balaaaaa............ Anyway mpe hi sana jamaa nadhani sasani mtu mzima anasoma ualimu pale mlimani, Thom npm ukiwa online maana nataka tuchatOooh! Great thinker from Dung'unyi, we used 2 call rice "mtoto iddi".Hili jina lilifananishwa na jina la mshikaji moja wa class kwenu. By Thom