GPA 2.3 unaweza kusoma masters wapi?

GPA 2.3 unaweza kusoma masters wapi?

Habarini wakuu

kama heading inavouliza hapo, je unaweza kusoma masters wapi kama ulipata gpa ya 2.3 degree?

maaana naona vyuo vyote minimum ni 2.7 GPA, je kuna chuo popote au namna yoyote mtu anaweza kafanya kujiendeleza?
Vipo chuo unapata but hiyo 2.3 ipo kwenye scale gani ?

Scale ya 5.0 au 4.0

Mfano university za huku nyingi minimum. G.PA ni 2.7 kwa scale ya 5.0
Others ni 2.2 kwa scale ya 4.0

Kwa Tanzania hope GPA Zao ni scale ya 5.0 kwa minimum ya 2.7/6.0 kwa Mitaala ya U K system based

Huku vipo Vyuo vina chukua wanafunzi below minimum requirement especially vile ambayo ni skills and social Science based

Wewe fanya application kwa course unayoitaka , mengine waachie selection panel , as long as you are not seeking for a scholarship
 
Labda uende the Amazon College, kwanza utuambie ilikuaje ukapata 2.3 yaan sielewi elewi imekuakuaje ukapata 2.3 yaan umeshindwa hata kufika 3.0?
Kasome medicine au Pharmacy ujue ni kiasi gani ngumu kupata GPA ya 2.5

Mfano chuo kama MUHAS watu wanakuwa graduated na GPA za 2.8 ni kawaida sana and they become best professional
GPA ni aina nyingine ya upumbavu

chukua GPA YA 2.7 ya MUHAS na GPA ya 4.5 ya IMTU
HIYO ya IMTU 4.5 unakuta hajui hata kuchukua patient history

Vipo Vyuo hasa vya private wana massage GPA za wanafunzi ili wafanye biashara zaidi
Hapo TZ vipo vingi sana ndio maana tuna proffesioanal makarai wengi

Hata Chalamila na Samia wana masters pia

Get your mind right
 
mkuu masters nataka nsome vitu vyepesi vyepesi kidogo kwa online tu kichwa kimechoka
Tatizo kubwa hata hao wanaosomea masters hawajui maana ya masters

Masters unakwenda ku master nini ?

Unakuta mtu ni IT bachelor ila maaters anaenda kusomea MBA , sasa hapo ume master nini? Hayo ni makolokocho

Hilo ni Tatizo la Afya ya akili kama la yule jamaa anaejiita Kiranga Kiranga
 
Habarini wakuu

kama heading inavouliza hapo, je unaweza kusoma masters wapi kama ulipata gpa ya 2.3 degree?

maaana naona vyuo vyote minimum ni 2.7 GPA, je kuna chuo popote au namna yoyote mtu anaweza kafanya kujiendeleza?
Soma postgraduet diploma upate sifa za kusoma masters! Kila la kheri
 
Hivi vyuo vinakukubali bila shida:
1. Jalalani university
2. Vyuo vya kata: State University of Alabama (SUA)na Montana University (MU)
 
Mkuu uwezo wako ulikua hapa na pale ? Kafanye postgraduate kwanza
 
Kasome medicine au Pharmacy ujue ni kiasi gani ngumu kupata GPA ya 2.5

Mfano chuo kama MUHAS watu wanakuwa graduated na GPA za 2.8 ni kawaida sana and they become best professional
GPA ni aina nyingine ya upumbavu

chukua GPA YA 2.7 ya MUHAS na GPA ya 4.5 ya IMTU
HIYO ya IMTU 4.5 unakuta hajui hata kuchukua patient history

Vipo Vyuo hasa vya private wana massage GPA za wanafunzi ili wafanye biashara zaidi
Hapo TZ vipo vingi sana ndio maana tuna proffesioanal makarai wengi

Hata Chalamila na Samia wana masters pia

Get your mind right
MUHAS kupata GPA ndogo kwa udaktari wa binadamu ilikuwa zamani, sikuhizi nasikia wamelegeza, currently katafute G.PA ya 2.5 UDSM au UDOM uone kama utapata.
 
Watu wanavyomshukia mleta mada baasi wananikumbusha nilivyokuwa wa mwisho darasa la sita ,mzee aliwaita maunt wote wa buza ,keko na kisiju acha nichambwe na hao ndugu zangu ilihali wengine hata form one hawakufika 😀😀
Anyway wewe lijamaa hata mimi nakuzidi akili wewe fanya issue zingine shule imekukataa mshikaji usiforce mahusiano nayo
Wewe limjamaa la Buza mkorofi sana aisee..
 
MUHAS kupata GPA ndogo kwa udaktari wa binadamu ilikuwa zamani, sikuhizi nasikia wamelegeza, currently katafute G.PA ya 2.5 UDSM au UDOM uone kama utapata.
Mitoto ya sasa hivi inakuja na GPA kali kama wametengeneza tena vyuo hivyo hivyo ulivyosema na kwa kuonesha hawajabahatisha paper za bodi kama uhasibu wana seat mara mbili tu mnabaki kuangaliana..
 
Mitoto ya sasa hivi inakuja na GPA kali kama wametengeneza tena vyuo hivyo hivyo ulivyosema na kwa kuonesha hawajabahatisha paper za bodi kama uhasibu wana seat mara mbili tu mnabaki kuangaliana..
Nazungumzia fani ya udaktari wa binadamu siyo uhasibu
 
Tatizo kubwa hata hao wanaosomea masters hawajui maana ya masters

Masters unakwenda ku master nini ?

Unakuta mtu ni IT bachelor ila maaters anaenda kusomea MBA , sasa hapo ume master nini? Hayo ni makolokocho

Hilo ni Tatizo la Afya ya akili kama la yule jamaa anaejiita Kiranga Kiranga
Umekremu mkuu masters ni masters haijalishi umesoma kitu gani
 
Habarini wakuu

kama heading inavouliza hapo, je unaweza kusoma masters wapi kama ulipata gpa ya 2.3 degree?

maaana naona vyuo vyote minimum ni 2.7 GPA, je kuna chuo popote au namna yoyote mtu anaweza kafanya kujiendeleza?
Kwa hii GPA ya 2.3 unataka kusema Lecturers wote walikuchukia kwa sababu una damu ya kunguni? Kha!!

Wewe lazima usome Postgraduate kwa mwaka mmoja whether you like or not, ok?
 
Umekremu mkuu masters ni masters haijalishi umesoma kitu gani
You are very wrong

Define what is Masters ?

Huku kwetu majuu kama ukiwa umesoma MD , then masters ukaenda kusoma MBA , wewe Huna masters Bali una added advantage !

Yani usome degree ya ICT , ukasome MBA , ume masters nini hapo

Ndio maaanq hata utumishi siku hizi hawakuiti bingwa kama masters yako ime deviate from your bachelor degree
Maana utumishi ili masters yako waitambue kama mbobezi na ulipwe tofauti na mtu wa bachelor ni lazima uwe umeendeleza field uliyosomea degree
Mbona huko bongo hata Serikali yenu ndio inataka hivyo

Haiwezekani ujiite masters wakati huna muendelezo. Hizo ni added advantage

Mtu aliesomea MARKETING au BCOM akipiga MBA , huyo ndio ame masters

Otherwise unakuwa unesoma kachumbari
 
Kareseat yale nasomo yote ulliyokuwa na Makarai Mkuu
 
Back
Top Bottom