MENEMENE TEKERI NA PERESI
JF-Expert Member
- Mar 11, 2022
- 9,316
- 25,453
Sasa kaGPA kako kanagoma kutueleza uhalisia wa hayo maakili yako kaka😂😂😂mkuu me na akili nyingi ila me mwenyewe sikuamini kilichotokea
Sasa kaGPA kako kanagoma kutueleza uhalisia wa hayo maakili yako kaka😂😂😂mkuu me na akili nyingi ila me mwenyewe sikuamini kilichotokea
mkuu masters nataka nsome vitu vyepesi vyepesi kidogo kwa online tu kichwa kimechokaHela yako tu nenda pale SUA Morogoro.
Online huwezi kwahio GPA yakomkuu masters nataka nsome vitu vyepesi vyepesi kidogo kwa online tu kichwa kimechoka
Vigezo vya vyuo vyote kusoma Masters ni GPA ya 2.7 na kuendelea..Kajaribu Open University aka kimbilio la wanasiasa
Haya mtaalamu.... PHD mpaka Jaffo kapewaVigezo vya vyuo vyote kusoma Masters ni GPA ya 2.7 na kuendelea..
Huyo akasome Open University Postgraduate Diploma Ili aweze kupata sifa za kusoma Masters..
Halafu sio wanasiasa wote wanasoma Open university,acha kuropoka kwenye keyboard,Mimi ni mwanafunzi wa Open na sio mwanasiasa,huku kama husomi kufeli nje nje
Itabidi usome postgraduate diploma kwanza, upate GPA ya nne, ndo uitumie kusoma masters baadae.Habarini wakuu
kama heading inavouliza hapo, je unaweza kusoma masters wapi kama ulipata gpa ya 2.3 degree?
maaana naona vyuo vyote minimum ni 2.7 GPA, je kuna chuo popote au namna yoyote mtu anaweza kafanya kujiendeleza?
Mbona kama umetudanganya mwalimu asome Postagraduate ya law. kwa hiyo engineer nae anaweza kusomea postgraduate ya law? au kuna kitu kimekukakanganya hapa?ndio mkuu postgraduate haijalishi umesoma kozi gan mfano umesoma ualimu unaweza soma pgd ya law halafu masters ukasoma law kigezo pekee ni uwe na degree halafu uwe genius uwe na gpa above 2.0
Inawezekana kabisaMbona kama umetudanganya mwalimu asome Postagraduate ya law. kwa hiyo engineer nae anaweza kusomea postgraduate ya law? au kuna kitu kimekukakanganya hapa?
Ulishafanikiwa kuanza kusoma mzee?Inawezekana kabisa
Bado ila ipo open universityUlishafanikiwa kuanza kusoma mzee?
Gentlemen gpa hiyo mkuuHivi 2.3 nayo GPA 😅
Nini ipo OUT ?Bado ila ipo open university