genius kipanga
Member
- Nov 30, 2022
- 27
- 18
Wakuu samahani msaada, mwenye uelewa kuhusu hii course ya MEDICAL PHYSICS.. kwasasa naiona inatolewa UDSM kwa level ya master
Hivi mtu ukisoma master unaweza tambulika na serikali hii bila kua na Degree yake...maana nimeona hata kama una bachelor ya physics unaruhusiwa kuisoma
Je, ina impact yoyote kwa mfumo wa ajira wa saiz na maisha yetu..maana naona kama kazi zake nyingi aliesoma radiology na medical imaging anaweza zifanya..
Mwenye uelewa tafadhari naomba anipe chochote..