Walimu wa vyuo vikuu ndo academicians, First degree uwe na GPA ya at least 3.8, Masters uwe na GPA at least 4.0, then uwe umeface competition ya kuajiriwa chuo kikuu.
Lbila shaka we jamaa ni muha maana sio kwa ubishi huo. tangu mwanzo wa thread naona reply zako ni kubisha tu 😂😂😂😂😔
Academicians unamaanisha kada zipi?