GPA 2.3 unaweza kusoma masters wapi?

GPA 2.3 unaweza kusoma masters wapi?

Kama hutaki wa kununua vipi umeishajipanga kuwa serious na masomo. Ili usijetumia muda mwingi kurudiarudia mara supervisor anakurekebisha.

Ukikosa Master's direct kasome Postgraduate kwanza ili upate sifa. Na kwanini unasoma Master's, kama ni kwa ajili yako binafsi basi soma unayotaka na unayopata, kama unataka uongeze CV kazini usisome nje ya kazi yako au fani yako maana itakosa kukubeba.
napenda tu sifa mkuu nataka niwazidi watu shule na hela, nataka nisome pgd ya business au law
 
Hapo hakuna master's labda urudi diploma..
naona kuna faculty open university unasoma postgraduate diploma hyo hata kama masters unataka uswitch usome kitu kingine unaanza na hiyo halafu ndo master
 
naona kuna faculty open university unasoma postgraduate diploma hyo hata kama masters unataka uswitch usome kitu kingine unaanza na hiyo halafu ndo master
Ndio maana nikakwambia urudie diploma ndio uende masters tena ukachukulie UK km FA kufupisha muda..
 
Open University,Mipango,CBE,kile chui cha kiislamu morogoro, TIA, Arusha University
 
Guys guys listen guys GPA ya 2.3 utasoma wapi masters guys labda kile ile college aliyosoma Wanu Diploma labda labda ukiwapelekea GPA ya 2.3 wanaweza wakakupa masters..
postgraduate diploma unasoma mwaka tu unaanza masters gpa 2.0 uwe na pass tu mengine watafunika kikombe mwanaharam apite hyo hata kama ulisoma md unahamia master za biashara au law unakuja kuchukua masters ya law
 
Guys guys listen guys GPA ya 2.3 utasoma wapi masters guys labda kile ile college aliyosoma Wanu Diploma labda labda ukiwapelekea GPA ya 2.3 wanaweza wakakupa masters..
mkuu mbona umenikamia sana 2.3 ndio gentlemen gpa
 
postgraduate diploma unasoma mwaka tu unaanza masters gpa 2.0 uwe na pass tu mengine watafunika kikombe mwanaharam apite hyo hata kama ulisoma md unahamia master za biashara au law unakuja kuchukua masters ya law
Huko PGD ndio tobo la kupitia kwenda masters kwa wasio na qualifications za kusoma masters?
 
Huko PGD ndio tobo la kupitia kwenda masters kwa wasio na qualifications za kusoma masters?
ndio mkuu postgraduate haijalishi umesoma kozi gan mfano umesoma ualimu unaweza soma pgd ya law halafu masters ukasoma law kigezo pekee ni uwe na degree halafu uwe genius uwe na gpa above 2.0
 
Watu wanavyomshukia mleta mada baasi wananikumbusha nilivyokuwa wa mwisho darasa la sita ,mzee aliwaita maunt wote wa buza ,keko na kisiju acha nichambwe na hao ndugu zangu ilihali wengine hata form one hawakufika 😀😀
Anyway wewe lijamaa hata mimi nakuzidi akili wewe fanya issue zingine shule imekukataa mshikaji usiforce mahusiano nayo
 
Nakumbuka 2009 nimeenda pale udsm na ka one kangu komaa mwanzo mwisho. Mpaka namaliza sijawahi kuonja A yoyote, nikaishia GPA ya 3.0....

Nafika huku job watu wa vyuo vingine wana GPA kali mpaka nachoka, siku moja nimeona mafaili kwa secretary pamoja na kwamba wana GPA kali vyeti vyao vya form six mwenye two ni mmoja the rest ni three tupu. Ile hali huwa inanifikirisha sana kuhusu hizi academic performance.
 
Watu wanavyomshukia mleta mada baasi wananikumbusha nilivyokuwa wa mwisho darasa la sita ,mzee aliwaita maunt wote wa buza ,keko na kisiju acha nichambwe na hao ndugu zangu ilihali wengine hata form one hawakufika 😀😀
Anyway wewe lijamaa hata mimi nakuzidi akili wewe fanya issue zingine shule imekukataa mshikaji usiforce mahusiano nayo
😂😂😂mkuu me na akili nyingi ila me mwenyewe sikuamini kilichotokea
 
Back
Top Bottom