Gwamahala
JF-Expert Member
- Jul 29, 2009
- 3,925
- 2,321
FACT!Mkuu, ni vizuri tukajifunza kutenganisha siasa na facts.. tukiendekeza hawa wanasiasa tutalishwa matango pori kila kukicha nao wakipata political mileage zisizokua na msingi, Kwa mfano kuvunjwa kwa ile bodi ya TRA kuna tija gani kama wale wajumbe wanaoingia kwa nafasi zao wako pale pale? Unawezaje kutuaminisha watu wanagawana interest ya fixed deposits wakati transaction za mabenki yote zinaangaliwa na serikali hiyo hiyo kupitia BOT? Kwangu mimi Mafuru ni shujaa