Rule No: 1: The boss is always right.
Rule No. 2: The boss is always right
Rule no. 3: if you are not sure of rule no. 2, refer to rule no. 1.
Jana Mh. JPM "amemtumbua" Kaka yangu Mafuru na akatanabaisha kwamba atampangia kazi nyingine.
Sababu ya Mafuru kutumbuliwa haikutajwa lakini it is an open secret kwamba ni kauli yake tata iliyopingana na uamuzi wa Mh. Rais kuhakikisha kwamba hela ya walipa kodi wa Tanzania haiendi kwenye Fixed Deposit account.
Kwangu mimi niliposoma ile kauli ya Gov. Ndullu na Msajili Mafuru a week or so ago, ikipingana wazi wazi na maelekezo ya Rais, Kiukweli nilijua wamekuwa misquoted. Sikutaka kuamini kwamba kwa uelewa wa wasomi kama Prof. Ndullu na Mafuru hawakujua implications za kauli zao (contradicting the President in public). Kwa hiyo kutumbuliwa kwa Mafuru to me, it was matter of time. Ingawa Gov. Ndullu hajatumbuliwa, lakini I BELIEVE it is a matter of WHEN not IF. Wenyewe wanasema : His position is no longer tenable! He should be wise to know that.
1. WaTanzania wote tunajua kabisa JPM ameamua ku-invest mtaji wake wote wa kisiasa kwenye swala la ubadhirifu na ufisadi wa mali ya umma. And that's why wananchi wengi wanam-support (na wengine hawam-support). Now Kaka yangu Mafuru wewe ni nani mpaka uamue ku-challenge signature commitment ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania? kwa Raia wake?? Tena asubuhi kwenye media? My brother, you got it wrong. Leo ukiuliza hata humu JF I can bet my last dollar less than 1% ya wachangiaji wanajua majukumu ya Msajili wa Hazina! Sasa hiyo legitimacy ya kum-contradict Rais umeitoa wapi??
2. Wengi hapa tusichanganye mambo. Raisi anaweza kupingwa kabisa in public kwenye sera zake au utekelezaji wa hizo sera. Indeed ndo kazi ya wapinzani bungeni akina Zitto Kabwe, Mbowe nk. Wanampinga Rais and they get paid for that. Hata humu JF tunampinga (na kumtukana) kila siku. Lakini mwajiriwa wa serikali ya Magufuli hana legitimacy kumpinga Rais. I mean Gov. Ndullu, Mafuru nk. Nyinyi ni watendaji. Mwisho wa siku atakayewajibishwa kwenye sanduku la Kura ni Magufuli na si Gov. Ndullu wala Mafuru.
3. Lesson for the future. Si kwamba kuwa na mawazo tofauti ni kosa. Lakini, as long as umeamua kuwa mtumishi kwenye serikali ya JPM. Please you either implement policies za JPM (chama chake) or jump out of the ship.
4. Ndullu na Mafuru kwa kuongea vile mlitaka wananchi wamuelewe vipi Raisi wao? One would say ni uchonganishi!
5. Hata humu JF kuna kaka zangu na wakongwe wenzangu kwenye hili jukwaa...walitumia kauli za Mafuru na Gov. Ndullu..ku-confirm kwamba JPM ni Mchumi uchwara, hana elimu ya uchumi, hashauriki, anaua uchumi, ana wivu..simply because they felt that they arguments were supported by statements za Mafuru na Gov. Ndullu.
6. Kama wewe ni mtumishi wa umma. Please, stick to what you are doing. LEAVE politics to politicians. Kuna watu wenye specialization kumkosoa Magufuli and they get paid for that-from our tax shilling. I repeat by ALL means, Gov. Ndullu na Mafuru mlikosea na mlimkosea Magufuli personally. nyinyi kama watalaam wake you should have done better.
Hivi mfano: Gov. Ndullu na Mafuru mngesema something like: "Mh. Rais ameshaliongelea hili swala la FD mara nyingi......ingawa kisheria kuweka hela FD siyo kosa, lakini, kama alivyotanabaisha Mh. Rais, watendaji wengi wakubwa serikalini wame-abuse hii process. wametumia huu mwanya kujipatia pesa kwa udanganyifu huku huduma za jamii zikizidi kudorora. Ndo maana sisi kama watendaji tulio chini yake tunaunga mkono juhudi za Rais kuhakikisha kwamba hela zote za walipa kodi wa nchi hii..zinatumika kwa matumizi sahihi.....wananchi wapate value for money"...na bla blah nyingine! Doing this you would have supported the President in public while making it clear that FD account is something legal!
I hope hakuna Kiongozi mwandamizi serikalini atakayerudia makosa ya Gov. Ndullu au Mafuru.
NB: Masanja is a private citizen. Doing whatever is legal and within his means to earn a living to support his family and himself.
Masanja
Basi aajiri darasa la 7 tuu, sasa elimu yangu ya juu naitumiaje kwenye kutimiz majukumu yanguu, au wote tuwe waongo waongo tuu wakati mungu anatuonaa....
sasa ndo hapo unaposikia kim jong ill amemlipua na bomu waziri kwa kwa kasisinzia kwe kikao...tuwe tunakubali kukosolewa sometimes...sio mda wote lazima tuwe rightHivi mkuu imagine sehemu Kama jeshini kamanda atoe maelekezo halafu wewe kuruta WA chini uyapinge au uyakanushe.......kutakuwa na usalama kweli? Jibu in moja. Fuata maelekezo. Kama unaona mkuu amechemka basi funga virago tafuta ajira mbadala.
Yaani nimesoma mada nikabaki sina cha kuchangia zaidi tu:KAMA TAIFA TUKO NA SAFARI NDEFU.Kwa hilo swari lako ndo utaona hata mreta mada anatamani taalum ya kitu flani iwekwe uvunguni itumike siasa uchwara kama ile ya chinga juzi... Na yuko so excited waiting tz ya viwanda while anajua kwa siasa tuifanyao it will take us 100 yrs kuifikia tz ya viwanda.
Kiongozi ,hujasoma philosophy, kuna Golden boys,silver boys na iron boys ,golden boy ni mwanasiasa na anawapelekesha silver na iron boys hata kama hana vyeti.Ukiendelea kubisha utafeli peke yako ,la sivyo jiajiri ,mwenzako kasha lamba kitengo njombe jana we endelea kupiga kelele na taaluma yako.Ni bora taaluma yako iongoze cheo chako,kuliko cheo kuongoza taaluma yako.kumbuka cheo ni dhamana tu.
GOOD COMMENT,I LIKE IT.Rule No: 1: The boss is always right.
Rule No. 2: The boss is always right
Rule no. 3: if you are not sure of rule no. 2, refer to rule no. 1.
Jana Mh. JPM "amemtumbua" Kaka yangu Mafuru na akatanabaisha kwamba atampangia kazi nyingine.
Sababu ya Mafuru kutumbuliwa haikutajwa lakini it is an open secret kwamba ni kauli yake tata iliyopingana na uamuzi wa Mh. Rais kuhakikisha kwamba hela ya walipa kodi wa Tanzania haiendi kwenye Fixed Deposit account.
Kwangu mimi niliposoma ile kauli ya Gov. Ndullu na Msajili Mafuru a week or so ago, ikipingana wazi wazi na maelekezo ya Rais, Kiukweli nilijua wamekuwa misquoted. Sikutaka kuamini kwamba kwa uelewa wa wasomi kama Prof. Ndullu na Mafuru hawakujua implications za kauli zao (contradicting the President in public). Kwa hiyo kutumbuliwa kwa Mafuru to me, it was matter of time. Ingawa Gov. Ndullu hajatumbuliwa, lakini I BELIEVE it is a matter of WHEN not IF. Wenyewe wanasema : His position is no longer tenable! He should be wise to know that.
1. WaTanzania wote tunajua kabisa JPM ameamua ku-invest mtaji wake wote wa kisiasa kwenye swala la ubadhirifu na ufisadi wa mali ya umma. And that's why wananchi wengi wanam-support (na wengine hawam-support). Now Kaka yangu Mafuru wewe ni nani mpaka uamue ku-challenge signature commitment ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania? kwa Raia wake?? Tena asubuhi kwenye media? My brother, you got it wrong. Leo ukiuliza hata humu JF I can bet my last dollar less than 1% ya wachangiaji wanajua majukumu ya Msajili wa Hazina! Sasa hiyo legitimacy ya kum-contradict Rais umeitoa wapi??
2. Wengi hapa tusichanganye mambo. Raisi anaweza kupingwa kabisa in public kwenye sera zake au utekelezaji wa hizo sera. Indeed ndo kazi ya wapinzani bungeni akina Zitto Kabwe, Mbowe nk. Wanampinga Rais and they get paid for that. Hata humu JF tunampinga (na kumtukana) kila siku. Lakini mwajiriwa wa serikali ya Magufuli hana legitimacy kumpinga Rais. I mean Gov. Ndullu, Mafuru nk. Nyinyi ni watendaji. Mwisho wa siku atakayewajibishwa kwenye sanduku la Kura ni Magufuli na si Gov. Ndullu wala Mafuru.
3. Lesson for the future. Si kwamba kuwa na mawazo tofauti ni kosa. Lakini, as long as umeamua kuwa mtumishi kwenye serikali ya JPM. Please you either implement policies za JPM (chama chake) or jump out of the ship.
4. Ndullu na Mafuru kwa kuongea vile mlitaka wananchi wamuelewe vipi Raisi wao? One would say ni uchonganishi!
5. Hata humu JF kuna kaka zangu na wakongwe wenzangu kwenye hili jukwaa...walitumia kauli za Mafuru na Gov. Ndullu..ku-confirm kwamba JPM ni Mchumi uchwara, hana elimu ya uchumi, hashauriki, anaua uchumi, ana wivu..simply because they felt that they arguments were supported by statements za Mafuru na Gov. Ndullu.
6. Kama wewe ni mtumishi wa umma. Please, stick to what you are doing. LEAVE politics to politicians. Kuna watu wenye specialization kumkosoa Magufuli and they get paid for that-from our tax shilling. I repeat by ALL means, Gov. Ndullu na Mafuru mlikosea na mlimkosea Magufuli personally. nyinyi kama watalaam wake you should have done better.
Hivi mfano: Gov. Ndullu na Mafuru mngesema something like: "Mh. Rais ameshaliongelea hili swala la FD mara nyingi......ingawa kisheria kuweka hela FD siyo kosa, lakini, kama alivyotanabaisha Mh. Rais, watendaji wengi wakubwa serikalini wame-abuse hii process. wametumia huu mwanya kujipatia pesa kwa udanganyifu huku huduma za jamii zikizidi kudorora. Ndo maana sisi kama watendaji tulio chini yake tunaunga mkono juhudi za Rais kuhakikisha kwamba hela zote za walipa kodi wa nchi hii..zinatumika kwa matumizi sahihi.....wananchi wapate value for money"...na bla blah nyingine! Doing this you would have supported the President in public while making it clear that FD account is something legal!
I hope hakuna Kiongozi mwandamizi serikalini atakayerudia makosa ya Gov. Ndullu au Mafuru.
NB: Masanja is a private citizen. Doing whatever is legal and within his means to earn a living to support his family and himself.
Masanja
Haki ya Mh. Marufu ni kukubali kufanyakazi hivyohivyo ilivyo chini ya JPM au kujiuzulu kazi kama hakubaliani na BOSS wake, lakini sio kumkosoa bosi. KUFANYA HIVYO INAFANANA KABISA NA KUKATA TAWI ULILOKALIA. hii inaonyesha kwamba elimu yetu haiko sawa sawa, maana hata wale watu ambao unadhani ndio wanaofahamu kumbe hawafahamu. Hivi kuna ugumu gani wa kuandika barua ya kuacha kazi wewe mwenyewe hadi usubiri kufedheheshwa hadharani? ni njaa gani hiyo uliyokuwa nayo? HOW comes mtumishi unamkosoa Rais hadharani mchani kweupe? na rais mwenyewe ni JPM aliyeamua kuwanyorosha walafi? Ushauri wangu wa bure kwako wewe kiongozi, sikiliza sana ushauri anaowapa Rais wa kuwa kama wewe huridhishwi na maagizo yake ni heri ujiuzulu mwenyewe. Kwani mnadhani anawatania?Rule No: 1: The boss is always right.
Rule No. 2: The boss is always right
Rule no. 3: if you are not sure of rule no. 2, refer to rule no. 1.
Jana Mh. JPM "amemtumbua" Kaka yangu Mafuru na akatanabaisha kwamba atampangia kazi nyingine.
Sababu ya Mafuru kutumbuliwa haikutajwa lakini it is an open secret kwamba ni kauli yake tata iliyopingana na uamuzi wa Mh. Rais kuhakikisha kwamba hela ya walipa kodi wa Tanzania haiendi kwenye Fixed Deposit account.
Kwangu mimi niliposoma ile kauli ya Gov. Ndullu na Msajili Mafuru a week or so ago, ikipingana wazi wazi na maelekezo ya Rais, Kiukweli nilijua wamekuwa misquoted. Sikutaka kuamini kwamba kwa uelewa wa wasomi kama Prof. Ndullu na Mafuru hawakujua implications za kauli zao (contradicting the President in public). Kwa hiyo kutumbuliwa kwa Mafuru to me, it was matter of time. Ingawa Gov. Ndullu hajatumbuliwa, lakini I BELIEVE it is a matter of WHEN not IF. Wenyewe wanasema : His position is no longer tenable! He should be wise to know that.
1. WaTanzania wote tunajua kabisa JPM ameamua ku-invest mtaji wake wote wa kisiasa kwenye swala la ubadhirifu na ufisadi wa mali ya umma. And that's why wananchi wengi wanam-support (na wengine hawam-support). Now Kaka yangu Mafuru wewe ni nani mpaka uamue ku-challenge signature commitment ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania? kwa Raia wake?? Tena asubuhi kwenye media? My brother, you got it wrong. Leo ukiuliza hata humu JF I can bet my last dollar less than 1% ya wachangiaji wanajua majukumu ya Msajili wa Hazina! Sasa hiyo legitimacy ya kum-contradict Rais umeitoa wapi??
2. Wengi hapa tusichanganye mambo. Raisi anaweza kupingwa kabisa in public kwenye sera zake au utekelezaji wa hizo sera. Indeed ndo kazi ya wapinzani bungeni akina Zitto Kabwe, Mbowe nk. Wanampinga Rais and they get paid for that. Hata humu JF tunampinga (na kumtukana) kila siku. Lakini mwajiriwa wa serikali ya Magufuli hana legitimacy kumpinga Rais. I mean Gov. Ndullu, Mafuru nk. Nyinyi ni watendaji. Mwisho wa siku atakayewajibishwa kwenye sanduku la Kura ni Magufuli na si Gov. Ndullu wala Mafuru.
3. Lesson for the future. Si kwamba kuwa na mawazo tofauti ni kosa. Lakini, as long as umeamua kuwa mtumishi kwenye serikali ya JPM. Please you either implement policies za JPM (chama chake) or jump out of the ship.
4. Ndullu na Mafuru kwa kuongea vile mlitaka wananchi wamuelewe vipi Raisi wao? One would say ni uchonganishi!
5. Hata humu JF kuna kaka zangu na wakongwe wenzangu kwenye hili jukwaa...walitumia kauli za Mafuru na Gov. Ndullu..ku-confirm kwamba JPM ni Mchumi uchwara, hana elimu ya uchumi, hashauriki, anaua uchumi, ana wivu..simply because they felt that they arguments were supported by statements za Mafuru na Gov. Ndullu.
6. Kama wewe ni mtumishi wa umma. Please, stick to what you are doing. LEAVE politics to politicians. Kuna watu wenye specialization kumkosoa Magufuli and they get paid for that-from our tax shilling. I repeat by ALL means, Gov. Ndullu na Mafuru mlikosea na mlimkosea Magufuli personally. nyinyi kama watalaam wake you should have done better.
Hivi mfano: Gov. Ndullu na Mafuru mngesema something like: "Mh. Rais ameshaliongelea hili swala la FD mara nyingi......ingawa kisheria kuweka hela FD siyo kosa, lakini, kama alivyotanabaisha Mh. Rais, watendaji wengi wakubwa serikalini wame-abuse hii process. wametumia huu mwanya kujipatia pesa kwa udanganyifu huku huduma za jamii zikizidi kudorora. Ndo maana sisi kama watendaji tulio chini yake tunaunga mkono juhudi za Rais kuhakikisha kwamba hela zote za walipa kodi wa nchi hii..zinatumika kwa matumizi sahihi.....wananchi wapate value for money"...na bla blah nyingine! Doing this you would have supported the President in public while making it clear that FD account is something legal!
I hope hakuna Kiongozi mwandamizi serikalini atakayerudia makosa ya Gov. Ndullu au Mafuru.
NB: Masanja is a private citizen. Doing whatever is legal and within his means to earn a living to support his family and himself.
Masanja
mkuu hii kitu ya "ubosi" imenikumbusha hii joke hapa...
When the body was first made, all the parts wanted to be Boss.
The brain said, "I should be Boss because I control the whole body's responses and
functions."
The feet said, " We should be Boss as we carry the brain about and get him to where he wants to go."
The hands said, "We should be the Boss because we do all the work and earn all the
money".
And so it went on and on with the heart, the lungs and the eyes until finally the asshole spoke up. All the parts laughed at the idea of the asshole being the Boss.
So the asshole went on strike, blocked itself up and refused to work.
Within a short time the eyes became crossed, the hands clenched, the feet twitched, the heart and lungs began to panic and the brain fevered.
Eventually they all decided that the asshole should be the Boss, so the motion was passed. All the other parts did all the work while the Boss just sat and passed out the shit!
Management Lesson: You don't need brains to be a Boss - any asshole will do.
Haki ya Mh. Marufu ni kukubali kufanyakazi hivyohivyo ilivyo chini ya JPM au kujiuzulu kazi kama hakubaliani na BOSS wake, lakini sio kumkosoa bosi. KUFANYA HIVYO INAFANANA KABISA NA KUKATA TAWI ULILOKALIA. hii inaonyesha kwamba elimu yetu haiko sawa sawa, maana hata wale watu ambao unadhani ndio wanaofahamu kumbe hawafahamu. Hivi kuna ugumu gani wa kuandika barua ya kuacha kazi wewe mwenyewe hadi usubiri kufedheheshwa hadharani? ni njaa gani hiyo uliyokuwa nayo? HOW comes mtumishi unamkosoa Rais hadharani mchani kweupe? na rais mwenyewe ni JPM aliyeamua kuwanyorosha walafi? Ushauri wangu wa bure kwako wewe kiongozi, sikiliza sana ushauri anaowapa Rais wa kuwa kama wewe huridhishwi na maagizo yake ni heri ujiuzulu mwenyewe. Kwani mnadhani anawatania?
Magu anapenda watu "NDIO MZEE" kama Simbachawene.Hawezu kumwambia hatua ya kujaza machinga kariakoo hizo EFD. sasa ni vimwanasesere tuu
Hakuna kodi itakayotoka Kariakoo kwa hali hii sababu sycophant mmoja hawezi sema lolote mbele ya Rais
Rule No: 1: The boss is always right.
Rule No. 2: The boss is always right
Rule no. 3: if you are not sure of rule no. 2, refer to rule no. 1.
Jana Mh. JPM "amemtumbua" Kaka yangu Mafuru na akatanabaisha kwamba atampangia kazi nyingine.
Sababu ya Mafuru kutumbuliwa haikutajwa lakini it is an open secret kwamba ni kauli yake tata iliyopingana na uamuzi wa Mh. Rais kuhakikisha kwamba hela ya walipa kodi wa Tanzania haiendi kwenye Fixed Deposit account.
Kwangu mimi niliposoma ile kauli ya Gov. Ndullu na Msajili Mafuru a week or so ago, ikipingana wazi wazi na maelekezo ya Rais, Kiukweli nilijua wamekuwa misquoted. Sikutaka kuamini kwamba kwa uelewa wa wasomi kama Prof. Ndullu na Mafuru hawakujua implications za kauli zao (contradicting the President in public). Kwa hiyo kutumbuliwa kwa Mafuru to me, it was matter of time. Ingawa Gov. Ndullu hajatumbuliwa, lakini I BELIEVE it is a matter of WHEN not IF. Wenyewe wanasema : His position is no longer tenable! He should be wise to know that.
1. WaTanzania wote tunajua kabisa JPM ameamua ku-invest mtaji wake wote wa kisiasa kwenye swala la ubadhirifu na ufisadi wa mali ya umma. And that's why wananchi wengi wanam-support (na wengine hawam-support). Now Kaka yangu Mafuru wewe ni nani mpaka uamue ku-challenge signature commitment ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania? kwa Raia wake?? Tena asubuhi kwenye media? My brother, you got it wrong. Leo ukiuliza hata humu JF I can bet my last dollar less than 1% ya wachangiaji wanajua majukumu ya Msajili wa Hazina! Sasa hiyo legitimacy ya kum-contradict Rais umeitoa wapi??
2. Wengi hapa tusichanganye mambo. Raisi anaweza kupingwa kabisa in public kwenye sera zake au utekelezaji wa hizo sera. Indeed ndo kazi ya wapinzani bungeni akina Zitto Kabwe, Mbowe nk. Wanampinga Rais and they get paid for that. Hata humu JF tunampinga (na kumtukana) kila siku. Lakini mwajiriwa wa serikali ya Magufuli hana legitimacy kumpinga Rais. I mean Gov. Ndullu, Mafuru nk. Nyinyi ni watendaji. Mwisho wa siku atakayewajibishwa kwenye sanduku la Kura ni Magufuli na si Gov. Ndullu wala Mafuru.
3. Lesson for the future. Si kwamba kuwa na mawazo tofauti ni kosa. Lakini, as long as umeamua kuwa mtumishi kwenye serikali ya JPM. Please you either implement policies za JPM (chama chake) or jump out of the ship.
4. Ndullu na Mafuru kwa kuongea vile mlitaka wananchi wamuelewe vipi Raisi wao? One would say ni uchonganishi!
5. Hata humu JF kuna kaka zangu na wakongwe wenzangu kwenye hili jukwaa...walitumia kauli za Mafuru na Gov. Ndullu..ku-confirm kwamba JPM ni Mchumi uchwara, hana elimu ya uchumi, hashauriki, anaua uchumi, ana wivu..simply because they felt that they arguments were supported by statements za Mafuru na Gov. Ndullu.
6. Kama wewe ni mtumishi wa umma. Please, stick to what you are doing. LEAVE politics to politicians. Kuna watu wenye specialization kumkosoa Magufuli and they get paid for that-from our tax shilling. I repeat by ALL means, Gov. Ndullu na Mafuru mlikosea na mlimkosea Magufuli personally. nyinyi kama watalaam wake you should have done better.
Hivi mfano: Gov. Ndullu na Mafuru mngesema something like: "Mh. Rais ameshaliongelea hili swala la FD mara nyingi......ingawa kisheria kuweka hela FD siyo kosa, lakini, kama alivyotanabaisha Mh. Rais, watendaji wengi wakubwa serikalini wame-abuse hii process. wametumia huu mwanya kujipatia pesa kwa udanganyifu huku huduma za jamii zikizidi kudorora. Ndo maana sisi kama watendaji tulio chini yake tunaunga mkono juhudi za Rais kuhakikisha kwamba hela zote za walipa kodi wa nchi hii..zinatumika kwa matumizi sahihi.....wananchi wapate value for money"...na bla blah nyingine! Doing this you would have supported the President in public while making it clear that FD account is something legal!
I hope hakuna Kiongozi mwandamizi serikalini atakayerudia makosa ya Gov. Ndullu au Mafuru.
NB: Masanja is a private citizen. Doing whatever is legal and within his means to earn a living to support his family and himself.
Masanja
Hakuna cha kisa hapo mkuu.Duniani kote mambo yako hivyo hivi kama kiongozi wako hamwelewani mtafanyaje kazi pamoja.Kama hukubaliani na kiongozui wako unakaa pembeni.Mfano kama huamini kule unakotaka kwenda ndiko anakokupeleka dereva unapaswa kushuka tu.Hii inanikumbusha kisa cha MFALME aliyeshonewa nguo ya miujiza. Mfalme anapita juu ya farasi akiwa uchi, kila mtu anaogopa kusema mfalme yuko uchi. Nilazima watokee watu kama Dr Ndullu na Mafuru wa kusema "MFALME" yupo uchi, vinginevyo mfalme wetu ataendelea kuumbuka.
Heko Mafuru, heko Ndullu. Nina imani Mafuru alijua matokeo ya kauli yake, lakini kwa umahili alionao aliamua hata hivyo.
Mmh, sina hakika kama nimekuelewa mkuu!KwavGavana Mkuu wa Bank,sheria haimpi mamlaka Rais kumtumbua.
Kiongozi ,hujasoma philosophy, kuna Golden boys,silver boys na iron boys ,golden boy ni mwanasiasa na anawapelekesha silver na iron boys hata kama hana vyeti.Ukiendelea kubisha utafeli peke yako ,la sivyo jiajiri ,mwenzako kasha lamba kitengo njombe jana we endelea kupiga kelele na taaluma yako.
Tatizo ni pale unapokuwa na washauri ila hutaki wakushauri we ndo unawashauriKosa kubwa kumwambia mfalme yuko uchi!!!!hahaaaa watanzania bana ni wanafiki duniani hakuna tena,ni dikteta tu ndie atafanya hayo, alitakiwa kuwaadhibu wale waliompa ushauri potofu juu ya hizo FDA na sio mchumi anaekupa facts sio ninyi huwa mnasema NITASEMA KWELI DAIMA FITINA KWANGU MWIKO???HALAFU MNASEMA ''MSEMA KWELI NI MPENZI WA MUNGU"hapa ndipo unafiki unapoanzia,demokrasia kwenye nchi za kiafrika ina safari ndefu sana.