Gov. Ndullu na Msajili Mafuru: Tunajifunza nini?

Je, ni kweli ni wale tu waliopigiwa kura ndio pekee wanaojua matatizo na mahitaji ya watanzania???
Kama sio kweli then think twice...
theROOM, unapokubari kuteuliwa yakupasa ufuate atakayo bosi wako,nje ya hapo usikubari uteuzi,fanya ukiwa independent ndo unaweza kumchallenge bosi.
 
Just checking Kama Mafuru alishapangiwa kazi nyingine. Au tunasubiri tumalize la Bashite kwanza?
 
Nilichelewa sana kusoma huu uzi...Umekaa kitaalam sana, nimependa umenikumbusha Public Administration yangu, umesema kitaalam sana na waelewa wamekuelewa, nachelea kusema kua watumishi hawa wamesemea mahala sio pake na kukosa the so called Collective respinsibility
 
Back
Top Bottom