Gov. Ndullu na Msajili Mafuru: Tunajifunza nini?

Masanja

Masanja

JF-Expert Member
Joined
Aug 1, 2007
Messages
4,044
Points
2,000
Masanja

Masanja

JF-Expert Member
Joined Aug 1, 2007
4,044 2,000
Rule No: 1: The boss is always right.
Rule No. 2: The boss is always right
Rule no. 3: if you are not sure of rule no. 2, refer to rule no. 1.

Jana Mh. JPM "amemtumbua" Kaka yangu Mafuru na akatanabaisha kwamba atampangia kazi nyingine.

Sababu ya Mafuru kutumbuliwa haikutajwa lakini it is an open secret kwamba ni kauli yake tata iliyopingana na uamuzi wa Mh. Rais kuhakikisha kwamba hela ya walipa kodi wa Tanzania haiendi kwenye Fixed Deposit account.

Kwangu mimi niliposoma ile kauli ya Gov. Ndullu na Msajili Mafuru a week or so ago, ikipingana wazi wazi na maelekezo ya Rais, Kiukweli nilijua wamekuwa misquoted. Sikutaka kuamini kwamba kwa uelewa wa wasomi kama Prof. Ndullu na Mafuru hawakujua implications za kauli zao (contradicting the President in public). Kwa hiyo kutumbuliwa kwa Mafuru to me, it was matter of time. Ingawa Gov. Ndullu hajatumbuliwa, lakini I BELIEVE it is a matter of WHEN not IF. Wenyewe wanasema : His position is no longer tenable! He should be wise to know that.

1. WaTanzania wote tunajua kabisa JPM ameamua ku-invest mtaji wake wote wa kisiasa kwenye swala la ubadhirifu na ufisadi wa mali ya umma. And that's why wananchi wengi wanam-support (na wengine hawam-support). Now Kaka yangu Mafuru wewe ni nani mpaka uamue ku-challenge signature commitment ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania? kwa Raia wake?? Tena asubuhi kwenye media? My brother, you got it wrong. Leo ukiuliza hata humu JF I can bet my last dollar less than 1% ya wachangiaji wanajua majukumu ya Msajili wa Hazina! Sasa hiyo legitimacy ya kum-contradict Rais umeitoa wapi??

2. Wengi hapa tusichanganye mambo. Raisi anaweza kupingwa kabisa in public kwenye sera zake au utekelezaji wa hizo sera. Indeed ndo kazi ya wapinzani bungeni akina Zitto Kabwe, Mbowe nk. Wanampinga Rais and they get paid for that. Hata humu JF tunampinga (na kumtukana) kila siku. Lakini mwajiriwa wa serikali ya Magufuli hana legitimacy kumpinga Rais. I mean Gov. Ndullu, Mafuru nk. Nyinyi ni watendaji. Mwisho wa siku atakayewajibishwa kwenye sanduku la Kura ni Magufuli na si Gov. Ndullu wala Mafuru.

3. Lesson for the future. Si kwamba kuwa na mawazo tofauti ni kosa. Lakini, as long as umeamua kuwa mtumishi kwenye serikali ya JPM. Please you either implement policies za JPM (chama chake) or jump out of the ship.

4. Ndullu na Mafuru kwa kuongea vile mlitaka wananchi wamuelewe vipi Raisi wao? One would say ni uchonganishi!

5. Hata humu JF kuna kaka zangu na wakongwe wenzangu kwenye hili jukwaa...walitumia kauli za Mafuru na Gov. Ndullu..ku-confirm kwamba JPM ni Mchumi uchwara, hana elimu ya uchumi, hashauriki, anaua uchumi, ana wivu..simply because they felt that they arguments were supported by statements za Mafuru na Gov. Ndullu.

6. Kama wewe ni mtumishi wa umma. Please, stick to what you are doing. LEAVE politics to politicians. Kuna watu wenye specialization kumkosoa Magufuli and they get paid for that-from our tax shilling. I repeat by ALL means, Gov. Ndullu na Mafuru mlikosea na mlimkosea Magufuli personally. nyinyi kama watalaam wake you should have done better.

Hivi mfano: Gov. Ndullu na Mafuru mngesema something like: "Mh. Rais ameshaliongelea hili swala la FD mara nyingi......ingawa kisheria kuweka hela FD siyo kosa, lakini, kama alivyotanabaisha Mh. Rais, watendaji wengi wakubwa serikalini wame-abuse hii process. wametumia huu mwanya kujipatia pesa kwa udanganyifu huku huduma za jamii zikizidi kudorora. Ndo maana sisi kama watendaji tulio chini yake tunaunga mkono juhudi za Rais kuhakikisha kwamba hela zote za walipa kodi wa nchi hii..zinatumika kwa matumizi sahihi.....wananchi wapate value for money"...na bla blah nyingine! Doing this you would have supported the President in public while making it clear that FD account is something legal!

I hope hakuna Kiongozi mwandamizi serikalini atakayerudia makosa ya Gov. Ndullu au Mafuru.

NB: Masanja is a private citizen. Doing whatever is legal and within his means to earn a living to support his family and himself.

Masanja
 
M

Mazindu Msambule

JF-Expert Member
Joined
Feb 22, 2012
Messages
5,650
Points
2,000
M

Mazindu Msambule

JF-Expert Member
Joined Feb 22, 2012
5,650 2,000
even myself I knew it kwamba Mafuru na Gov Ndulu wanaweza tumbuliwa and may be case yao ikawa 1 but najiuliza, hivi gov. Ndullu yeye ni moja kati ya watu walioidhinisha pesa ile kuwekwa kwenye hiyo FDA, rais akagoma and then akiwa na wachumi wenzie Arusha (bankers) mwandishi anakuuliza hilo swali ukiwa na wachumi wenzio, hivi alipaswa ajibuje!?
 
B

Brigedia Chan-ocha

JF-Expert Member
Joined
Mar 7, 2014
Messages
1,209
Points
2,000
B

Brigedia Chan-ocha

JF-Expert Member
Joined Mar 7, 2014
1,209 2,000
Ni Kweli Mafuru alikosea sana kutamka maneno yale mbele ya public, Kwenye Uongozi kama hukubaliani na jambo lolote ni vizuri ukajiuzulu kwanza ndo upinge siyo kuropoka tu utadhani hakuna utaratibu nchi.

Ila Prof. Ndullu alikuwa mjanja sana wakati anajibu hilo swali, yeye alitamka kwamba, " Ni kweli hakuna kosa lolote kuweka pesa kwenye FDA Isipokuwa Hilo Swala Lilikuwa Na Hali Nyingine"....hapo angalau huyu Prof. Ndullu alijiongeza na kupunguza ukakasi wa statement yake ambapo statement hiyo ilikuwa inampa msomaji au msikilizaji tafakuri Zaidi na kutofanya final decision ya kwamba Rais hakuwa anaelewa maswala hayo.

Ila huyu Mafuru ndiye kabisaaaa alikosea na kukosa maneno ya kumfichia Rais Staha mbele ya Jamii.
 
Yamakagashi

Yamakagashi

JF-Expert Member
Joined
Sep 19, 2016
Messages
7,365
Points
2,000
Yamakagashi

Yamakagashi

JF-Expert Member
Joined Sep 19, 2016
7,365 2,000
Kwa hiyo atatumbua watu wote wasio na mawazo sawa na yake ?
"Its the diference of opinion that makes a horse races"

Halafu mtu kama unaona unachokiamini sio sawa na Boss wako si ujiuzulu tu kulinda heshima yako ? Unasuburi nini kudhalilishana kwa kutumbuliwa ?
 
MKWEPA KODI

MKWEPA KODI

JF-Expert Member
Joined
Nov 28, 2015
Messages
24,655
Points
2,000
MKWEPA KODI

MKWEPA KODI

JF-Expert Member
Joined Nov 28, 2015
24,655 2,000
Ni Kweli Mafuru alikosea sana kutamka maneno yale mbele ya public, Kwenye Uongozi kama hukubaliani na jambo lolote ni vizuri ukajiuzulu kwanza ndo upinge siyo kuropoka tu utadhani hakuna utaratibu nchi.

Ila Prof. Ndullu alikuwa mjanja sana wakati anajibu hilo swali, yeye alitamka kwamba, " Ni kweli hakuna kosa lolote kuweka pesa kwenye FDA Isipokuwa Hilo Swala Lilikuwa Na Hali Nyingine"....hapo angalau huyu Prof. Ndullu alijiongeza na kupunguza ukakasi wa statement yake ambapo statement hiyo ilikuwa inampa msomaji au msikilizaji tafakuri Zaidi na kutofanya final decision ya kwamba Rais hakuwa anaelewa maswala hayo.

Ila huyu Mafuru ndiye kabisaaaa alikosea na kukosa maneno ya kumfichia Rais Staha mbele ya Jamii.
Mkuu usisahau kuwa ndullu alishiriki kwenye Yale maamuzi ya kuweka pesa kwenye fixed deposit, kwa hiyo akae mkao wa kutumbuliwa
 
The Invincible

The Invincible

JF-Expert Member
Joined
May 6, 2006
Messages
5,431
Points
2,000
The Invincible

The Invincible

JF-Expert Member
Joined May 6, 2006
5,431 2,000
Rule No: 1: The boss is always right.
Rule No. 2: The boss is always right
Rule no. 3: if you are not sure of rule no. 2, refer to rule no. 1.

Jana Mh. JPM "amemtumbua" Kaka yangu Mafuru na akatanabaisha kwamba atampangia kazi nyingine.

Sababu ya Mafuru kutumbuliwa haikutajwa lakini it is an open secret kwamba ni kauli yake tata iliyopingana na uamuzi wa Mh. Rais kuhakikisha kwamba hela ya walipa kodi wa Tanzania haiendi kwenye Fixed Deposit account.

Kwangu mimi niliposoma ile kauli ya Gov. Ndullu na Msajili Mafuru a week or so ago, ikipingana wazi wazi na maelekezo ya Rais, Kiukweli nilijua wamekuwa misquoted. Sikutaka kuamini kwamba kwa uelewa wa wasomi kama Prof. Ndullu na Mafuru hawakujua implications za kauli zao (contradicting the President in public). Kwa hiyo kutumbuliwa kwa Mafuru to me, it was matter of time. Ingawa Gov. Ndullu hajatumbuliwa, lakini I BELIEVE it is a matter of WHEN not IF. Wenyewe wanasema : His position is no longer tenable! He should be wise to know that.

1. WaTanzania wote tunajua kabisa JPM ameamua ku-invest mtaji wake wote wa kisiasa kwenye swala la ubadhirifu na ufisadi wa mali ya umma. And that's why wananchi wengi wanam-support (na wengine hawam-support). Now Kaka yangu Mafuru wewe ni nani mpaka uamue ku-challenge signature commitment ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania? kwa Raia wake?? Tena asubuhi kwenye media? My brother, you got it wrong. Leo ukiuliza hata humu JF I can bet my last dollar less than 1% ya wachangiaji wanajua majukumu ya Msajili wa Hazina! Sasa hiyo legitimacy ya kum-contradict Rais umeitoa wapi??

2. Wengi hapa tusichanganye mambo. Raisi anaweza kupingwa kabisa in public kwenye sera zake au utekelezaji wa hizo sera. Indeed ndo kazi ya wapinzani bungeni akina Zitto Kabwe, Mbowe nk. Wanampinga Rais and they get paid for that. Hata humu JF tunampinga (na kumtukana) kila siku. Lakini mwajiriwa wa serikali ya Magufuli hana legitimacy kumpinga Rais. I mean Gov. Ndullu, Mafuru nk. Nyinyi ni watendaji. Mwisho wa siku atakayewajibishwa kwenye sanduku la Kura ni Magufuli na si Gov. Ndullu wala Mafuru.

3. Lesson for the future. Si kwamba kuwa na mawazo tofauti ni kosa. Lakini, as long as umeamua kuwa mtumishi kwenye serikali ya JPM. Please you either implement policies za JPM (chama chake) or jump out of the ship.

4. Ndullu na Mafuru kwa kuongea vile mlitaka wananchi wamuelewe vipi Raisi wao? One would say ni uchonganishi!

5. Hata humu JF kuna kaka zangu na wakongwe wenzangu kwenye hili jukwaa...walitumia kauli za Mafuru na Gov. Ndullu..ku-confirm kwamba JPM ni Mchumi uchwara, hana elimu ya uchumi, hashauriki, anaua uchumi, ana wivu..simply because they felt that they arguments were supported by statements za Mafuru na Gov. Ndullu.

6. Kama wewe ni mtumishi wa umma. Please, stick to what you are doing. LEAVE politics to politicians. Kuna watu wenye specialization kumkosoa Magufuli and they get paid for that-from our tax shilling. I repeat by ALL means, Gov. Ndullu na Mafuru mlikosea na mlimkosea Magufuli personally. nyinyi kama watalaam wake you should have done better.

Hivi mfano: Gov. Ndullu na Mafuru mngesema something like: "Mh. Rais ameshaliongelea hili swala la FD mara nyingi......ingawa kisheria kuweka hela FD siyo kosa, lakini, kama alivyotanabaisha Mh. Rais, watendaji wengi wakubwa serikalini wame-abuse hii process. wametumia huu mwanya kujipatia pesa kwa udanganyifu huku huduma za jamii zikizidi kudorora. Ndo maana sisi kama watendaji tulio chini yake tunaunga mkono juhudi za Rais kuhakikisha kwamba hela zote za walipa kodi wa nchi hii..zinatumika kwa matumizi sahihi.....wananchi wapate value for money"...na bla blah nyingine! Doing this you would have supported the President in public while making it clear that FD account is something legal!

I hope hakuna Kiongozi mwandamizi serikalini atakayerudia makosa ya Gov. Ndullu au Mafuru.

NB: Masanja is a private citizen. Doing whatever is legal and within his means to earn a living to support his family and himself.

Masanja
You show passion boy!
Interesting
 
M

Mapya Yaja

JF-Expert Member
Joined
Feb 8, 2013
Messages
562
Points
500
M

Mapya Yaja

JF-Expert Member
Joined Feb 8, 2013
562 500
Mafuru na Ndullu ni watu wenye akili huru ya kujitegemea ndio maana hawana unafiki katika kauli zao. Ukiwa msomi mnafiki na mchumia tumbo huwezi kusema ukweli unaojua utamuudhi bosi wako. Isitoshe naamini hawa wote hawana njaa kama ulizo nazo wewe mleta mada kiasi cha kudhani kutumbuliwa kwao kutawafanya wawe maskini.
 
samora10

samora10

JF-Expert Member
Joined
Jul 21, 2010
Messages
7,390
Points
2,000
samora10

samora10

JF-Expert Member
Joined Jul 21, 2010
7,390 2,000

Ukiwa Professional na unajielewa huwezi kuendekeza unafiki kisa tu Yohana mbatizaji kapita akipaza sauti nyikani.... Ndio maana watu kama Ndullu na Mafuru hawawezi kuendeshwa na mihemko na siasa.... Wanajitambua na hawana shida na hizo kazi zenu, they can easily get a job in hours! wote ni maguru katika fani zao. Heko Ndulu na Mafuru kwa kuhoji mahubiri ya yule apazaye sauti nyikani! Siku zote ukweli hujiweka huru.... Na sasa tuna hili la wamachinga kuna watu watafunga maduka na kukabidhi bidhaa kwa wamachinga namgoja watu wenye uthubutu nao waliongelee
 
Masanja

Masanja

JF-Expert Member
Joined
Aug 1, 2007
Messages
4,044
Points
2,000
Masanja

Masanja

JF-Expert Member
Joined Aug 1, 2007
4,044 2,000
You show passion boy!
Interesting
hahahahaha.....hapana Mkuu. Ni kustate the obvious! Katika hii miaka mwenyezi Mungu ambayo amenijalia..nimeshayaona mengi. Nimeshafanya kazi na maboss 'wakorofi' tena kwenye politically and diplomatically sensitive positions. I know what I am talking abut.
 
samora10

samora10

JF-Expert Member
Joined
Jul 21, 2010
Messages
7,390
Points
2,000
samora10

samora10

JF-Expert Member
Joined Jul 21, 2010
7,390 2,000
Ni Kweli Mafuru alikosea sana kutamka maneno yale mbele ya public, Kwenye Uongozi kama hukubaliani na jambo lolote ni vizuri ukajiuzulu kwanza ndo upinge siyo kuropoka tu utadhani hakuna utaratibu nchi.

Ila Prof. Ndullu alikuwa mjanja sana wakati anajibu hilo swali, yeye alitamka kwamba, " Ni kweli hakuna kosa lolote kuweka pesa kwenye FDA Isipokuwa Hilo Swala Lilikuwa Na Hali Nyingine"....hapo angalau huyu Prof. Ndullu alijiongeza na kupunguza ukakasi wa statement yake ambapo statement hiyo ilikuwa inampa msomaji au msikilizaji tafakuri Zaidi na kutofanya final decision ya kwamba Rais hakuwa anaelewa maswala hayo.

Ila huyu Mafuru ndiye kabisaaaa alikosea na kukosa maneno ya kumfichia Rais Staha mbele ya Jamii.
Jambo linapopotoshwa kwa kuropoka hadharani njia nzuri ni kulitolea ufafanuzi kwa njia ile ile! Impact matters..
 
sagai532

sagai532

JF-Expert Member
Joined
Nov 5, 2015
Messages
1,151
Points
2,000
Age
46
sagai532

sagai532

JF-Expert Member
Joined Nov 5, 2015
1,151 2,000
Kwa hiyo ukiwa mtumishi wa uma hutakiwi kusema in public kama mambo hayaendi sawa? Basi tuta wanafiki wa kutupwa
 
iparamasa

iparamasa

JF-Expert Member
Joined
Nov 14, 2013
Messages
13,457
Points
2,000
iparamasa

iparamasa

JF-Expert Member
Joined Nov 14, 2013
13,457 2,000
kama mkuu anapenda akae na wasema kweli,ambao mungu anawapenda,na sio wanafiki ambao wanamficha,basi akae na mafuru na ndulu,na awape wigo mpana wa kumshauri.

ningekuwa mimi ningewasogeza karibu kabisa wakawa wananifanyia uchambuzi pale ninapoletewa masuala mazito ya kiuchumi niyatolee kauli,awe hata msgauri wa rais kuhusu sekta ya mabenki,ni mtu aliyeiva.

Hii tabia ya kumkusanyia "ndiyo mzee" team rais,haimpi changamoto ya ubongo,akae na critical thinkers ambao,kama wanajadili zao la pamba,korosho,wachimbaji wadogo,makazi holela,elimu ya juu,viwanda vidogo,hakika wawe na uelewa wa nchi mikononi mwao,na rais aibuke na uamuzi makini.

wasaka tonge,team "ndio mzee" wakae mbali
 
Masanja

Masanja

JF-Expert Member
Joined
Aug 1, 2007
Messages
4,044
Points
2,000
Masanja

Masanja

JF-Expert Member
Joined Aug 1, 2007
4,044 2,000
Mafuru na Ndullu ni watu wenye akili huru ya kujitegemea ndio maana hawana unafiki katika kauli zao. Ukiwa msomi mnafiki na mchumia tumbo huwezi kusema ukweli unaojua utamuudhi bosi wako. Isitoshe naamini hawa wote hawana njaa kama ulizo nazo wewe mleta mada kiasi cha kudhani kutumbuliwa kwao kutawafanya wawe maskini.
The underlined shows the kind of a person you are. Do you know me? do you know what I do for my living? Anyway I should not dignify your assumptions with a response. Well, possibly naweza kuwa na njaa (in your thinking). But all I can assure you, I honorably earn my living. I don't steal any shilling from anybody. And I am happy with what I do.
 
Forum statistics

Threads 1,283,910
Members 493,869
Posts 30,805,795
Top