Teknolojia ni Yetu sote
JF-Expert Member
- Apr 28, 2020
- 1,359
- 2,787
There is an active forum member using the handle secretarybird.π―π―π―π―π―π―π―.
Dah, hii nimeipenda bure π₯.There is an active forum member using the handle secretarybird.
This member is heavily involved in high-profile, viral debates on the forum, most notably an ongoing community dispute regarding the rotation of the Earth on its axis.
This member is heavily involved in high-profile, viral debates on the forum,πͺπΏπ€£Dah, hii nimeipenda bure π₯.
ππ¨.This member is heavily involved in high-profile, viral debates on the forum,πͺπΏπ€£
Bado sijaelewa, ongeza mindful zadiView attachment 3611396
Google imeamua kuwapa Nguvu waandaji maudhui wa mitandaoni π². Kama ulikua unasoma tu profile za watu maarufu ulimwenguni kupitia Wikipedia Sasa ni zamu ya Content creator bhana π.
View attachment 3611399
π Google imezindua rasmi Mfumo mpya unaitwa Creator Search Profiles!, ambapo watengeneza maudhui (Creators) wataweza kuonekana kirahisi zaidi kupitia Google Search.
Jambo ambalo litaweza kurahisisha mashabiki na wadau kuweza kuwafuatilia kwa kuona kazi zao na kupata taarifa Muhimu kupitia matokeo ya utafutaji kwenye Google Search.
View attachment 3611400
Je, hii itawasaidia creators kupata audience kubwa zaidi kuliko ilivyokuwa awali? π€