Mzalendo_Mkweli
JF-Expert Member
- Jan 30, 2012
- 2,067
- 1,328
kwenye playstore kuna Google allo na Google Duo , je ipi inayoongelewa hapa? Ahsante
Hapa inaongelewa Allo ambayo inatuma message kama whatsapp hiyo Duo ni ya video call kama Skype hivi.kwenye playstore kuna Google allo na Google Duo , je ipi inayoongelewa hapa? Ahsante
1. emoji sio za bbm wala whatsapp zinamilikiwa na kampuni inaitwa unicode, ni standard ileNdio hicho nilichokisema tukiangalia WhatsApp kiundani feature by feature utaona kila kitu walichonacho kilikuopo BBM tokea zamani sijui DP, status, emojis, picture sharing, voice calls, encryption etc.
BBM ndio ilikuwa ndio kila kitu miaka ile lakini tatizo blackberry alikuwa anaibana kwa kuwa ilikuwa major selling point kwa simu zake akutaka kuisambaza kwa os nyingine hapo sasa ndio whatsapp akaja na idea ya kulink create kitu kama BBM lakini badala ya pin tutumie namba ya simu and apo whatsapp ikazaliwa na kwa sababu ya kuwa cross platform ndio ika succed na bbm kufa lakini haina innovation kubwa kama waanzilishi.
1. emoji sio za bbm wala whatsapp zinamilikiwa na kampuni inaitwa unicode, ni standard ile
Full Emoji Data, v3.0
ingia hapo utaziona
2. Dp zipo zamani sana kabla ya bbm angalia hizo app nilizotaja hapo juu nimbuz, mig33, mxit etc ni za zamani kuliko bbm na zina hizo feature
3. encryption? kwanini bbm wamefungiwa nchi zote za kiarabu na nchi nyengine zinazojali usalama wa data? ukituma message bbm moja kwa moja zinaenda kwenye server zao RIM watu wakalalamika hadi wakaipiga marufuku BBM na hata kama wana encryption blackberry key wanayo wenyewe. lakini whatsapp yeye ndio akaanza na kuhifadhi msg zako ndani ya simu yako mwenyewe bila kwenda kwenye server na vile vile sasa hivi ana end to end encryption
4. kushare picha kupo toka enzi za MMS kipindi hiko hata simu haziingii app za kisasa si feature ya BBM
sasa mkuu kama kitu sio chao utawapa vipi credit? emoji ya kwanza imetumika mwaka 1998 miaka 7 baadae ndio bbm ikatoka itakuwaje sasa iwe whatsapp amemcopy bbm?1. Sijasema emojis ni za bbm na sema aliyekuwa wakwanza kuziweka kama feature kwenye a mobile chat application.. Maana najua zilikuwepo hata kwenye IM before that.
2. Soma historia yako 10 years of BBM angalia BBM ilikuwa launched mwaka gani na angalia hizo apps tajwa zimetoka mwaka gani. Mfano Nimbuzz initial launch yake ni 2008, mxit ni 2007 Etc
3. Soma pia utaelewa http://m.huffpost.com/us/entry/672623 hizo Nchi zenye censorship kali hazikupenda encryption ya BBM ndio maana wakaniblock hadi hapo blackberry atapo wapa backdoor. End to end encryption ya whatspp imekuja tuzi hapa na ilikuwa haina encryption yoyote na pia Kama article inavyosema rim hakuwa na uwezo wa kusoma encrypted messages za users wala kuzi store.
4. Kama nilivyo sema kwenye 1 implementation kwenye mobile application.
sasa mkuu kama kitu sio chao utawapa vipi credit? emoji ya kwanza imetumika mwaka 1998 miaka 7 baadae ndio bbm ikatoka itakuwaje sasa iwe whatsapp amemcopy bbm?
Emoji - Wikipedia, the free encyclopedia
mkuu hao kina nimbuzz ni mifano tu kuna IM nyingi tu kuanzia yahoo messanger, AOL, jabber etc toka miaka ya 90 ilichokuja kuongeza BBM ni pin peke yake nitajie chengine tofauti na PIN ambacho BBM amegundua.
issue ya BBM sio censorship tu hio inaweza kuwa sababu moja lakini kitendo cha wao kuhifadhi message zetu kwao tayari wameshaharibu maana nzima ya encryption, kama ni hivyo kwanini wasiiban whatsapp sasa hivi? maana ina encryption kwanini inaachwa? jibu ni simple whatsapp hawahifadhi msg zetu kwao bali zinabaki kwenye simu zetu.
Kumbuka kuwa content zako zote zinahifadhiwa kwenye server zao, sasa we wakikuruhusu utume mafile makubwa si utajaza server mapema ikitegemea hulipii hata sentiTusubiri tuone, ila messaging app kibao tumeziona kama telegram, viber, n.k zote izo hazijafua dafu kwa WhatsApp. still whatsapp ni bora ila wananiboa kitu kimoja tyuu kwani hawaruhusu kutuma vitu vyenye MB kubwa hapo ndo napowachukia
Bahati mbaya hakuna kitu iliyo salama unless utengeneze mwenyewe na uitumie mwenyeweEdward Snowden kasha waambia hii kitu siyo salama mnajitia vichwa ngumu!
si haurusu tu au nyie ndio wazee wa ok tu iliusome sms yako..inaweza kwa huu ujinga wa whatsap kutuunga fb
link please mkuu...Pia inakupa option ya kujibu jumbe bila kutype kwa kukuonesha suggestions mbalimbaliView attachment 404647View attachment 404648View attachment 404649View attachment 404650View attachment 404651 karibu allo
Kwahiyo mpwa na wewe unaogopa info zako zitachukuliwa na NSA?? HahahahahaWasichoelewa Ni kuwa hawa watsup,Google,fb nyuma ya pazia wote Ni kitu kimoja NASA na mwisho wa siku info zenu zote zitaenda kwa hao wanaozihitaji so hakuna PA kukimbilia
search neno chat apps 2004 symbian, mimi kama mtumiaji wa symbian wa zamani sana nafahamu kulikuwa na apps kibao before BBM, kama unavyoona hype ya iphone sasa hivi zamani BB ilikuwa hivyo hivyo. bbm haikuwa ya kwanzaBlackberry ndio alietutoa kwenye Giza la technologia zakizamani kama SMS na MMS zenye limitation ya character 160 na 600kb size respectively na kutuleta kwenye a new era of Messaging tunayo enjoy hadi sasa.
Kwenye issue ya censorship ukiangalia kwa sasa kuna issue zina arise India na brazil juu ya whatsapp kwa sasa tatizo lipo whatsapp calling na muda sio mwingi huko UAE secrect messages zikitokea kitanuka.
ikiwa mtu mmoja ameibiwa sio tatizo ila wakijua nchi nzima ni tatizo, tunasoma darasani sasa hivi kabla ya ukoloni wazungu walileta wamisionari na ma explorer kuja kutuchunguza kabla ya kuleta ukoloni. miaka 100 ijayo huko tutakuwa tunafundishwa wazungua walileta chat application wakawa wanajua hadi rangi za nguo za ndani tunazovaa kabla ya kututawala. na wajukuu zetu watatucheka vile vile kama sisi tunavyowacheka waliopitaKwahiyo mpwa na wewe unaogopa info zako zitachukuliwa na NSA?? Hahahahaha
Angalia usije ingia kwenye mdomo wa mamba mwenye njaa manake huku kuna watu na viatu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]