Google waja na mpinzani wa WhatsApp

Google waja na mpinzani wa WhatsApp

itawachukua muda wa miongo kadhaa, hata whatsapo iliwachukua muda sna kujulikana
WhatsApp imechukua muda gani kaka wakati ni kama miaka mi wili tu jamaa wakawa famous. Mimi nimeijua whatsapp 2012 na ikikuwa inakama mwaka mmoja nyuma.
But kabla ya hapo zilikuwepo app zenye kushabihiana na whatsapp hasa kwenye simu za symbian. Nakumbuka ipo moja ilikuwa inatwa cellity ambayo ilikija kununuliwa na microsoft ikapotea jumla.
 
kifupi whatsapp ndio mwanzilishi wa hivi vitu, app za zamani kama mig33, nimbuzz, mxit etc zilikuwa zikitumia username na kulikuwa hakuna privacy. ilivyokuja tu whatsapp kila kitu kikabadilika na app nyingi zikafa. whatsapp hakuchukua muda kabisa sababu yeye ndio Innovator hawa copy and paste ndio wanaochukua muda.
 
Pia inakupa option ya kujibu jumbe bila kutype kwa kukuonesha suggestions mbalimbaliView attachment 404647View attachment 404648View attachment 404649View attachment 404650View attachment 404651 karibu allo

Google hua wanapenda kukurupuka sana baada ya wenzao kuanzisha vitu,hii ni mifano:

1.Google Plus...wamefeli,walitaka kushindana na facebook kwenye social networking business

2.Orkut...waliset exactly like facebook,it is a total failure

3.Dodgeball...ilikua service that put check ins kwenye google map...alikua anapambana na Friendster,walifeli miserably na they closed in on 2009

4.Jaiku-Google acquired this on 2007 kushindana na Twitter,the shit is kaputi while Twitter is a world's phenomenon..

5.Google Wave...ina email,instant messaging,photo sharing,groupware....hii product now inapumulia mashine coz kwa photo sharing tu Instagram is raping Google Wave with no vaseline

6.Google Buzz...ilikua inaendana tena na Twitter ila ilikua bundled na Google+,haikwenda mbali wakapigwa faini sababu ya Privacy Dust-Up issues na serikali inayosababishwa na hii Buzz...imebakia uchafu tu

Kutaja vyote ni ngumu maana ni nyingi wanachemsha,hizi ni few:

1.Google Knol
2.Google Picnik
3.Google Aardvark
4.Google Desktop
5.Google Pack
6.Google Image Labeler
7.Google Web Security
8.Google Gears
9.Google Glass
10.Google Lively
11.Google Checkout/Wallet
12.Google Search Mash
13.Google Health
14.Google SMS
15.Google Video Player
16.Google Answers
17.Google Notebook
18.Google Nexus Q Phones
19.Google PowerMeter
20.Google Shooping
21.Froogle
22.Google Base
Etc
Etc
Etc

Google watafeli tena sababu wameanzisha as a desperate move to counter attack WhatsApp...nimeamua kua mganga leo,lazima watafeli miserably!
 
WhatsApp imechukua muda gani kaka wakati ni kama miaka mi wili tu jamaa wakawa famous. Mimi nimeijua whatsapp 2012 na ikikuwa inakama mwaka mmoja nyuma.
But kabla ya hapo zilikuwepo app zenye kushabihiana na whatsapp hasa kwenye simu za symbian. Nakumbuka ipo moja ilikuwa inatwa cellity ambayo ilikija kununuliwa na microsoft ikapotea jumla.
yap, mm binafsi nimeanza kutumia watsaap 2010, ila nafahamu kabla ya hapo kulikuwa na social apps nying sana kwenye symbion os, hasa kwenye nokia, but ilichukuwa muda kiasi kama nusu muongo kubit them far
ila pia nadhani baada kuweka opt ya kutengeneza group, ndio wakamake watsap kuwa famous
 
kifupi whatsapp ndio mwanzilishi wa hivi vitu, app za zamani kama mig33, nimbuzz, mxit etc zilikuwa zikitumia username na kulikuwa hakuna privacy. ilivyokuja tu whatsapp kila kitu kikabadilika na app nyingi zikafa. whatsapp hakuchukua muda kabisa sababu yeye ndio Innovator hawa copy and paste ndio wanaochukua muda.
Mimi ningesema kuwa BBM ndio mwanzilishi, tena pia ndio ilikuwa the goldstandard hata kwenye maswala ya privacy alicho fanya WhatsApp ni kuchukua concept yao na kuimpliment it Cross-platform ios, android, Symbian, n.k ndio maana aka succed.
 
yap, mm binafsi nimeanza kutumia watsaap 2010, ila nafahamu kabla ya hapo kulikuwa na social apps nying sana kwenye symbion os, hasa kwenye nokia, but ilichukuwa muda kiasi kama nusu muongo kubit them far
ila pia nadhani baada kuweka opt ya kutengeneza group, ndio wakamake watsap kuwa famous
Bad thing ni kwamba wana copy an paste tofauti na whatsapp yeye alikuja na idea yake.
 
Mimi ningesema kuwa BBM ndio mwanzilishi, tena pia ndio ilikuwa the goldstandard hata kwenye maswala ya privacy alicho fanya WhatsApp ni kuchukua concept yao na kuimpliment it Cross-platform ios, android, Symbian, n.k ndio maana aka succed.
1. BBM haikuwa ikitumia namba ya simu wao walikuwa wanatumia pin so kama siijui pin yako hata kama wewe ni mwanangu sitajua unatumia BBM, wakati whatsapp ndugu na jamaa na marafiki wote wanajuana
2. integration ya contacts na mambo ya favourites. kwenye whatsapp ni wewe na contacts zako wakati BBM ni wewe na watu wako uliowa add.
3. issue za kuombana, kama unakumbuka kipindi cha BBM ilikuwa kila mtu anapost pin online apate marafiki sehemu kama fb nk strangers walikuwa wanaona watu usiowajua wanakuadd, unakuta mtu ana marafiki 100 BBM ila karibia 90 ni watu wasiojuana face to face anachat na baby kumbe ni kizee.

whatsapp ilikuwa tofauti, BBM haikuwa na tofauti na app za username sababu pin ni namba na username ni namba na herufi, tofauti ya BBM na app kama Nimbuzz ni ndogo sana
 
Yahoo marketing department yao haipo vizuri kwa kweli, searching engine yao ya yahoo wameishindwa, blackberry imewashinda, bbm pia, yahoomail.... waiuze tu yahoo
Yahoo katoka wapi tena. Blackberry ni mali ya RIM. Haiusiani na yahoo...
Mkuu NASA imeingiaje hapo,au wanataka kutupeleka mars, ingekuwa NSA ningekuelewa kidogo
 
4571e46e00e462447f332320fc051979.jpg
sijui ndo hii kwenye ios??
 
ili kusacced, itabid watengeneze features ambazo ziko tafauti sana na watsapp, nakuongeza privice hasa kwa hide namba za watu...
coz currently watsaa haiko pouwa sana hasa kwenye magroup, watu wanacheteat au kuchomana...

na ulimwengu wa leo vitu muhimu kwenye technolojia ni security na backup only that
 
1. BBM haikuwa ikitumia namba ya simu wao walikuwa wanatumia pin so kama siijui pin yako hata kama wewe ni mwanangu sitajua unatumia BBM, wakati whatsapp ndugu na jamaa na marafiki wote wanajuana
2. integration ya contacts na mambo ya favourites. kwenye whatsapp ni wewe na contacts zako wakati BBM ni wewe na watu wako uliowa add.
3. issue za kuombana, kama unakumbuka kipindi cha BBM ilikuwa kila mtu anapost pin online apate marafiki sehemu kama fb nk strangers walikuwa wanaona watu usiowajua wanakuadd, unakuta mtu ana marafiki 100 BBM ila karibia 90 ni watu wasiojuana face to face anachat na baby kumbe ni kizee.

whatsapp ilikuwa tofauti, BBM haikuwa na tofauti na app za username sababu pin ni namba na username ni namba na herufi, tofauti ya BBM na app kama Nimbuzz ni ndogo sana
Ndio hicho nilichokisema tukiangalia WhatsApp kiundani feature by feature utaona kila kitu walichonacho kilikuopo BBM tokea zamani sijui DP, status, emojis, picture sharing, voice calls, encryption etc.

BBM ndio ilikuwa ndio kila kitu miaka ile lakini tatizo blackberry alikuwa anaibana kwa kuwa ilikuwa major selling point kwa simu zake akutaka kuisambaza kwa os nyingine hapo sasa ndio whatsapp akaja na idea ya kulink create kitu kama BBM lakini badala ya pin tutumie namba ya simu and apo whatsapp ikazaliwa na kwa sababu ya kuwa cross platform ndio ika succed na bbm kufa lakini haina innovation kubwa kama waanzilishi.
 
Msaada nielewe hyo vpn inakuaje..
Kwa kiurahisi kwenye Internet zetu tunazotumia, hii mitandao ya simu mfano vodacom inatupa ip adress mfano 198.136.094. 895 hiyo ip adress sasa inatumika kukutambua wewe mtumiaji unatumia mtandao gani na upo Nchi gani kwenye application tofauti na website tofauti. Kwa information hizi ndio zinafanya upewe matangazo au resources zinazoendana na Nchi yako husika.

Sasa Vpn inacho fanya ina tumia server zao wao kureroute kila kitu kwa hiyo inabadili ip adress yako inakua nyingine kwa hiyo unakuwa Tanzania lakini website au application kwa kuona ip yako inajua wewe upo USA au India au Nchi yoyote unayotaka wewe.

Sasa kuja kwenye hiyo application kwa nini nimeshauri kutumia VPN kuipakua ni kua hiyo application ya Allo kwanza iliachiwa USA na India, kwa hiyo playstore ukiingia na ip yako ya Tanzania kwako hutoipata lakini ikitumia Vpn na kubadili location kuwa kati ya USA au India itakubali.
 
Back
Top Bottom