Google waja na mpinzani wa WhatsApp

Google waja na mpinzani wa WhatsApp

Kumbuka kuwa content zako zote zinahifadhiwa kwenye server zao, sasa we wakikuruhusu utume mafile makubwa si utajaza server mapema ikitegemea hulipii hata senti
Nimekupata mkuu, sasa mbona hawaweki idadi kubwa ya group member maximum 256? na facebook maximum 5000? kwa nini waziweke idadi kubwa? hii ina affect vipi biashara?
 
ikiwa mtu mmoja ameibiwa sio tatizo ila wakijua nchi nzima ni tatizo, tunasoma darasani sasa hivi kabla ya ukoloni wazungu walileta wamisionari na ma explorer kuja kutuchunguza kabla ya kuleta ukoloni. miaka 100 ijayo huko tutakuwa tunafundishwa wazungua walileta chat application wakawa wanajua hadi rangi za nguo za ndani tunazovaa kabla ya kututawala. na wajukuu zetu watatucheka vile vile kama sisi tunavyowacheka waliopita
Hivi inakuaje whatsapp inaingiliana na whatsap feki yan gb whatsap?
 
Edward Snowden kasha waambia hii kitu siyo salama mnajitia vichwa ngumu!
Aka... mm nachat na watu wangu bhana. Sichat snowden. Pia police hata wapelekewe data zangu zote sina shida mm. Wachukue tu wazijaze kwao ziwasumbue wenyewe kwasababu sina hata kaelement ka ugaidi wala uhalifu wa kufanya wanikamate.
 
Sie wa kujiandaa kuitumia tu ilihali vijana bado wako busy na kumkalili panzi na sehemu zake tatu
Hahahaha yaaan elimu yetu haibadlk kulingana na hali halisi, kitabu alchotumia babu mjukuu nae anakitumia. Ugunduzi kwetu ni ndoto.
 
Kwa nini isipatikane app store, window au apple store? au kwanini wasiiweke official sasa maana hiyo modified ndio bora.
nani kasema modified ndio bora? sababu imeongezwa feature haimaanishi ndio bora.

nitakupa mfano mmoja, kuna kitu kinaitwa man in the middle attack, hii hacker anaelekeza mawasiliano yako kwake halafu yeye ndio anayatuma kwenye server, kwa upande wa whatsapp ina maana message zako anaziona kwanza yeye halafu ndio anazituma kwenye server ya whatsapp ili zitumwe kwa mtu mwengine.

labimg_870_maninthemiddleattack.jpg

ni rahisi sana kufanya hii issue kwenye 3rd party app za whatsapp,

kitu chengine hii app ina acess ba database ya chat zako zote inaweza vile vile kuziiba bila kusahau data zako nyengine za gallery na msg za kawaida
 
Mkuu tupo pamoja ila naomba unijibu haya maswali.

Inawezekanaje mimi kuwasiliana na fake whatsapp halafu inaandika ule ujumbe kuwa somebody is secured?
Pili kama official whatsapp ina limit ya kutuma content iweje baada ya kupitia kwa huyo hacker kama ulivyoelezea pichani hapo ipokelewe kwenye server za official whatsapp? mimi naona kuna uhuni unafanyika hapo sio bure.
 
hilo la kuwa secured kwa end to end encryption linawezekana sababu hata whatsapp fake ni original ambayo ipo modified hivyo nategemea iweze ku encrypt kama original

hilo la kuondoa limit ya file sijui kwanini linawezekana sababu whatsapp akiamua kulilimit kwenye upande wa server ni rahisi kubana huo upenyo ila mimi nahisi mambo haya

1. wanatoa extension ya file/wanatuma file vipande vipande au kuna some kind of proxy.
-pengine wakituma wanatoa extension ile ya mp4 au 3gp hivyo whatsapp hawajui kama kinachotumwa ni video
-wanatuma kama vipande vipande halafu upande wa kupokea unaunga, sema njii hii itahitaji wote muwe na whatsapp fake, anaepokea akiwa na original haitakubali
-wanatumia proxy kuidanganya server isione kitu kinachotumwa na kupokelewa

2. limit ya ukubwa wa file imewekwa kwenye application na sio server za whatsapp. hili nahisi linaweza kuwa jibu zuri, jamaa wametoa tu limit ya ukubwa wa file kwenye app ya whatsapp server zenyewe zinapokea tu hazina limit.
 
sawa mkuu
 
Back
Top Bottom