ngebo
JF-Expert Member
- Sep 8, 2017
- 1,679
- 2,105
Habarini wazee, leo nataka kuongelea hizi simu google pixel, hizi ni simu zimetengenezwa na Google, ndio hawa hawa google waanzilishi na wamiliki wa
°Google Maps
°Youtube
°Gmail
°Google search engine
°Chrome web browser
°Adsense
°Google photos
°Google Playstore
°Android ( google ilinunua android 2005 kutoka walioanzisha hivyo hii ikawafanya wawe wamiliki halali wa Android lakini kuna makubaliano na vitu vingine vingi siwezi kuviandika itabidi mgoogle makubaliano yao, licence nk... ndio maana hata samsung, Lg, nokia nk wanatumia android pia lakini bado utakuta google playstore kwenye device zote za android)
Inshort Google ni wafalme wa Software, yani wameteka nyanja zote za software na zinasaidia sana maisha, cheki watu wanaotumia iphone ila bado wanatumia google maps, youtube, Gmail nk.. google ni kama maji usipowanywa utaoga..
Haya turudi kwenye mada kuu, SIMU zao, google wametoa simu nyingi ila mimi naegemea tu kwenye simu zao zinazoitwa GOOGLE PIXEL , mtiririko wake ni huu
Google Pixel 1 / Google pixel XL , hizi zilitoka 2016 na ndio wakaleta mapinduzi kwenye simu, hii simu ilikuwa kali sana yani kwanzia camera, software yake, ram 4 gb, yani ilitoka mwaka sawa na iphone 7 ila pixel iliishinda Iphone kwa picha nzuri upande wa camera ila kwenye video, iphone itabaki kuwa mshindi hadi leo hii..
Google pixel 2 / Google pixel 2 XL
Google Pixel 3 / Google pixel 3 XL
na mwaka huu wametoa simu "revolutionary" , simu ya kwanza kuwa na astrophotography, ila niwaambie kitu, google pixel yani imeegemea sana upande wa camera, kama wewe ni mtu wa picha sana , hii simu unatakiwa uwe nayo
Google ndio walileta Night Sight, hakuna simu yoyote iliyokuwa inaweza kupiga picha gizani bila kuwasha flash, ila google na tech team yake walikaa wakadesign kitu kinaitwa nightsight ( hii ipo tu kwenye google pixel devices ) , ukipiga picha usiku na ukaonyesha mtu hatoamini kama ni simu ndio imepiga picha , ila baada ya pixel kutoa hiyo kitu, kampuni zingine zikafuata ila google ndio waanzilishi na hii kitu ilikuwa "mind blowing" , kwa wale "geeks" au tuseme wabobezi kwenye mambo ya simu watakuwa wanaelewa, ila nisiongee sana wakuu uzi ukawachosha , mkipata muda ingieni youtube kisha jaribuni kuangalia videos kuhusu pixel devices, ukiamua angalia pixel 4 , pixel 3 , pixel 2 au 1 ni wewe tu na bando lako,
naambatanisha picha za hizo simu , na picha ambazo niliweza kupiga usiku , za mchana zipo pia mkihitaji nitaweka,
Binafsi nimekuwa mtumizi wa hizi simu tokea 2017 hadi leo hii, nimeshatumia pixel 1 , 2 na 3 , kwa hii ya sasa bado sijajipanga maana ni almost 900$ , bado muda na ninadiriki kusema Google phones ni nzuri kushinda smart phone zote , na itabaki hivyo kwangu
Angalizo : nafahamu mtakuja kusema ooh ni tangazo hili au biashara ,HAPANA , SIUZI SIMU WALA SITANGAZI BIASHARA , HAYA NI MAWAZO YANGU TU NA MAPENZI KWA HIZI SIMU ZA GOOGLE , UKIPENDEZWA NAZO AGIZA AMAZON AU GOOGLE AU UKIWA NJE NUNUA MAANA HUKU BONGO NI ZA KUBAHATISHA .....
Kuna picha za google pixel devices, sijaweka zote mnaweza mkagoogle mzione na pia kuna sample ya picha za usiku zilizopigwa kwa kutumia iphone ten(X) na Google Pixel
Mkihitaji picha zaidi , nitatafuta muda nipige picha nyingi niwaletee muone mlinganisho kati ya hizi simu na simu zingine zote...