Google Pixel phones/devices ni smartphone nzuri kushinda zote

Google Pixel phones/devices ni smartphone nzuri kushinda zote

sawa wameondoa fingerprint ila wameweka the fastest face id kuliko hata ya iphone, inatambua sura hata uwe umefunga macho/ total darkness... hapana cheki reviews still pixel 4 ina camera nzuri kuliko iphone 11 , wamezingua tu kuondoa telephoto
Wameondoa wide angle, battery bado ni issue hasa kwenye display kutokana na refresh rate yake ya 90Hz, bado motion sensor yake haina performance nzuri wengine wanadai S4 ina better performance kwenye motion kuliko P4....
 
Eti google pixel ndio mtu wa kwanza kuleta astrophotography? wewe jamaa haupo serious au hilo jina linakuchanganya. Hiyo astrophotography ipo kwenye huawei p30 pro na mate 30 pro. Kwenye p30 pro ilikuja baada ya kuupdate while kwenye mate 30 pro imetoka na simu. Hizo simu zote zimetoka kabla ya pixel 4.

Kuhusu night sight sijui ni nani muanzilishi lakini ukweli unabaki kwamba hakuna simu inayopiga picha vzr kwenye low light kama huawei hayupo. Tumeshuhudia huawei p30 pro ikiwa inapiga picha kwenye total darkness video zipo youtube.

Design engineer wao sijui walimuokota wapi, simu zao zina design mbovu kishenzi yani wameshindwa hata kumuangalia samsung au huawei.

Kuhusu kamera kwa sasa huawei mate 30 pro ndo camera king mjini. Tunasubiri deep fusion ya iphone tuone naye atakuja na nini.

Mimi kama namshauri mtu anunue device ya pixel basi nitamshauri anunue pixel 3a au 3a xl. Ila kama anafikiria kununia pixel 4 basi ni bora akanunue iphone 11 tu. Kwanza Iphone 11 bei yake ni ndogo af ina camera kali kuliko hata hiyo pixel 4.
Habarini wazee, leo nataka kuongelea hizi simu google pixel, hizi ni simu zimetengenezwa na Google, ndio hawa hawa google waanzilishi na wamiliki wa
°Google Maps
°Youtube
°Gmail
°Google search engine
°Chrome web browser
°Adsense
°Google photos
°Google Playstore
°Android ( google ilinunua android 2005 kutoka walioanzisha hivyo hii ikawafanya wawe wamiliki halali wa Android lakini kuna makubaliano na vitu vingine vingi siwezi kuviandika itabidi mgoogle makubaliano yao, licence nk... ndio maana hata samsung, Lg, nokia nk wanatumia android pia lakini bado utakuta google playstore kwenye device zote za android)

Inshort Google ni wafalme wa Software, yani wameteka nyanja zote za software na zinasaidia sana maisha, cheki watu wanaotumia iphone ila bado wanatumia google maps, youtube, Gmail nk.. google ni kama maji usipowanywa utaoga..

Haya turudi kwenye mada kuu, SIMU zao, google wametoa simu nyingi ila mimi naegemea tu kwenye simu zao zinazoitwa GOOGLE PIXEL , mtiririko wake ni huu

Google Pixel 1 / Google pixel XL , hizi zilitoka 2016 na ndio wakaleta mapinduzi kwenye simu, hii simu ilikuwa kali sana yani kwanzia camera, software yake, ram 4 gb, yani ilitoka mwaka sawa na iphone 7 ila pixel iliishinda Iphone kwa picha nzuri upande wa camera ila kwenye video, iphone itabaki kuwa mshindi hadi leo hii..

Google pixel 2 / Google pixel 2 XL

Google Pixel 3 / Google pixel 3 XL

na mwaka huu wametoa simu "revolutionary" , simu ya kwanza kuwa na astrophotography, ila niwaambie kitu, google pixel yani imeegemea sana upande wa camera, kama wewe ni mtu wa picha sana , hii simu unatakiwa uwe nayo

Google ndio walileta Night Sight, hakuna simu yoyote iliyokuwa inaweza kupiga picha gizani bila kuwasha flash, ila google na tech team yake walikaa wakadesign kitu kinaitwa nightsight ( hii ipo tu kwenye google pixel devices ) , ukipiga picha usiku na ukaonyesha mtu hatoamini kama ni simu ndio imepiga picha , ila baada ya pixel kutoa hiyo kitu, kampuni zingine zikafuata ila google ndio waanzilishi na hii kitu ilikuwa "mind blowing" , kwa wale "geeks" au tuseme wabobezi kwenye mambo ya simu watakuwa wanaelewa, ila nisiongee sana wakuu uzi ukawachosha , mkipata muda ingieni youtube kisha jaribuni kuangalia videos kuhusu pixel devices, ukiamua angalia pixel 4 , pixel 3 , pixel 2 au 1 ni wewe tu na bando lako,
naambatanisha picha za hizo simu , na picha ambazo niliweza kupiga usiku , za mchana zipo pia mkihitaji nitaweka,

Binafsi nimekuwa mtumizi wa hizi simu tokea 2017 hadi leo hii, nimeshatumia pixel 1 , 2 na 3 , kwa hii ya sasa bado sijajipanga maana ni almost 900$ , bado muda na ninadiriki kusema Google phones ni nzuri kushinda smart phone zote , na itabaki hivyo kwangu

Angalizo : nafahamu mtakuja kusema ooh ni tangazo hili au biashara ,HAPANA , SIUZI SIMU WALA SITANGAZI BIASHARA , HAYA NI MAWAZO YANGU TU NA MAPENZI KWA HIZI SIMU ZA GOOGLE , UKIPENDEZWA NAZO AGIZA AMAZON AU GOOGLE AU UKIWA NJE NUNUA MAANA HUKU BONGO NI ZA KUBAHATISHA .....

Kuna picha za google pixel devices, sijaweka zote mnaweza mkagoogle mzione na pia kuna sample ya picha za usiku zilizopigwa kwa kutumia iphone ten(X) na Google Pixel

Mkihitaji picha zaidi , nitatafuta muda nipige picha nyingi niwaletee muone mlinganisho kati ya hizi simu na simu zingine zote...View attachment 1245330View attachment 1245331View attachment 1245332View attachment 1245333View attachment 1245335View attachment 1245336
 
Hizo review mimi nishaangalia siyo kama naongea tu. DXOmark wamewapa rating ya 112 kwenye camera s10 5G ina 116 halafu note 10 ina 117. Then anayeongoza ni huawei mate 30 pro ambaye ana 121. Tunasubiri rating za iphone tuone ila lazima atascore above hiyo 112.
sawa wameondoa fingerprint ila wameweka the fastest face id kuliko hata ya iphone, inatambua sura hata uwe umefunga macho/ total darkness... hapana cheki reviews still pixel 4 ina camera nzuri kuliko iphone 11 , wamezingua tu kuondoa telephoto
 
hamna mkuu mbona bei sawa tu na iphone, yani hawajaamua tu kubase kwenye soko la bongo maana hata office za google huku bongo hakuna , sio kama apple wana dealers kila sehemu yani cheki mlimani wapo, upanga wapo nk...
tunatofautiana kipato mimi mkuu mpaka sasa kutoa pesa zaidi ya laki nne inanicost manake ni almost nusu ya kipato changu
 
sawa mzee nimekubali , yah nilicheki dxomark wana 112 , shida ni kwasababu hawajaongeza vitu na kuna specs wametoa , ila know that kuna software updates mzee baba , hata nightsight yenyewe haikuja na pixel 3 ila ilikuja baadae na ikafanya pixel 3 ikubalike zaidi
 
Iyo pixel 3 bei ya laki nane(800) ni mpyaaa nachana kwenye box mwenyewe ?,tanzania hii nitaipata wapi mkuu maana kuna kamilioni hapa hakina kazi,kiukweli mi nimpenda simu zenye camera kaliii
Chukua Huawei p 30 Pro, humo hamna kitu! Kama unapenda kamera kwenye simu tembelea hapa dxomark.com
 
We jamaa ni mfuatiliaji saana! Big up!! Naona Huawei anakuja na Honor view 30 Pro tenaa[emoji23][emoji23][emoji23]
Eti google pixel ndio mtu wa kwanza kuleta astrophotography? wewe jamaa haupo serious au hilo jina linakuchanganya. Hiyo astrophotography ipo kwenye huawei p30 pro na mate 30 pro. Kwenye p30 pro ilikuja baada ya kuupdate while kwenye mate 30 pro imetoka na simu. Hizo simu zote zimetoka kabla ya pixel 4.

Kuhusu night sight sijui ni nani muanzilishi lakini ukweli unabaki kwamba hakuna simu inayopiga picha vzr kwenye low light kama huawei hayupo. Tumeshuhudia huawei p30 pro ikiwa inapiga picha kwenye total darkness video zipo youtube.

Design engineer wao sijui walimuokota wapi, simu zao zina design mbovu kishenzi yani wameshindwa hata kumuangalia samsung au huawei.

Kuhusu kamera kwa sasa huawei mate 30 pro ndo camera king mjini. Tunasubiri deep fusion ya iphone tuone naye atakuja na nini.

Mimi kama namshauri mtu anunue device ya pixel basi nitamshauri anunue pixel 3a au 3a xl. Ila kama anafikiria kununia pixel 4 basi ni bora akanunue iphone 11 tu. Kwanza Iphone 11 bei yake ni ndogo af ina camera kali kuliko hata hiyo pixel 4.
 
sawa mzee nimekubali , yah nilicheki dxomark wana 112 , shida ni kwasababu hawajaongeza vitu na kuna specs wametoa , ila know that kuna software updates mzee baba , hata nightsight yenyewe haikuja na pixel 3 ila ilikuja baadae na ikafanya pixel 3 ikubalike zaidi

Ila algorithms za Dxomark hazimfai sana end user japo nakubaliana na ranking wanazoweka.
 
Hii simu wakati inatoka camera yake ilikuwa inaweza rangi flan hivi kwenye baadhi ya modes. Walivokuja kufanya update ya camera ikawa balaa.
Chukua Huawei p 30 Pro, humo hamna kitu! Kama unapenda kamera kwenye simu tembelea hapa dxomark.com
 
mzee mi siwaamini dxomark hata kidogo, yani toka walipoipa note 9 high score kuliko pixel 3 , ndipo nilipoona ni trash , note 9 nilitumia kwa week tatu na haijafikia hata robo tatu pixel 3 , so hata hizi za sahivi siamini, mi nakaa naangalia camera review za kina supersaf, au mkbhd full stop na experience yangu mwnyw.. p30 sijawahi tumia
Hahahah... mkuu mimi nafatilia sana tech hasa kwenye upande wa simu. Tena hasa kipengele cha camera.
 
Review za dxomark unawekewa comparison ya picha za simu mbalimbali then wanaangalia exposure, noise, saturation, na vitu vingine kibao na wanaelezea kabisa... Sijaonaga kama reviews zao zina shida.
mzee mi siwaamini dxomark hata kidogo, yani toka walipoipa note 9 high score kuliko pixel 3 , ndipo nilipoona ni trash , note 9 nilitumia kwa week tatu na haijafikia hata robo tatu pixel 3 , so hata hizi za sahivi siamini, mi nakaa naangalia camera review za kina supersaf, au mkbhd full stop na experience yangu mwnyw.. p30 sijawahi tumia
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom