Google Pixel phones/devices ni smartphone nzuri kushinda zote

True hyo inakuwa na software ambazo zinaboost na kuchange situation halisi..for sure haiwezekan upige picha gizan then ww uonekane umeng'aa inakuwa haimake sense...camera ni sawa na jicho yaan kama jicho likiona giza basi giza kwel haiwezekan kuwe na giza halaf macho yaone kuna mwanga

Sent using Jamii Forums mobile app

It doesnt mean total darkness, ila giza ambalo huon yenyewe inakupa picha halisi, nahis it has to do with wavelength au heat ndo mana inakuwa somehow accurate
 
Natumia S10+ sio S10, ni simu bora kwa kila kitu pixel haigusi hata kidogo.

Angalia reviews za experts uone s10+ ni ya ngapi na pixel ya ngapi:

Lazima ushabikie ila picha na software huwez kulinganisha S10 na pixel, ni kama unalinganisha crown na Rose Royce

Najua unashabikia simu ulionayo ila kuna ukweli na uongo
Anyways, ata note 10+ ambayo ni superior wa s10 kaachwa mbali interms of camera

Mfano mdogo pitia humu au pitia site yoyote itayokupa full resolution pictures
 
Kumbe kwako simu ni camera tu? There's more to a phone than just the camera. As a whole pixel haigusi Samsung na nimetumia google phones toka enzi za nexus.
 
Natumia S10+ sio S10, ni simu bora kwa kila kitu pixel haigusi hata kidogo.

Angalia reviews za experts uone s10+ ni ya ngapi na pixel ya ngapi:

Techradar nawajua, waga wako biased
Ili kujua simu yako ni powerfull ichambue ni best katika nn
Ata mwenyewe naweza anzisha website nikionesha simu bora kutokana na mimi
Mana
Smoothness-iphones/oneplus
Camera -iphone/pixel/ huawei ila mate 30 pro though imepigwa ban
Battery- Rog phone 2/iphone 11 pro
Desighn- ndo galaxy note 10/oneplus 7 pro
Display - iphone 11 pro then galaxy note10+ though mara nyingi ilikuwa ni samsung kabla ya 11pro
Performance- iphones na oneplus
Charging- Xiomi flan inacharg kwa 15mins
Updates- iphones na pixels
Video- iphones
Vibration motor(haptic feedback)- iphones always, not even close ila wengine kwa nyumanyuma uko wanafata, pixel, note10, s10, na oneplus 7pro
Low radiation emission- galaxy note 8 na vivo zene phone flan hivi

Sa unaposema kuwa s10 ni bora kuliko zote sijui unamaanisha nini kwa kujidanganya
Na wewe unawaamini kabisa wameweka s10 ya kwanza ilihali note 10+ iko nyuma wakati kutokana na samsung note series ndo best samsung phones in a calendar year

Miaka yote iphones ndo waga huwa best sikuzote though ni ngumu kwa watu wengi kukubali maana apple hawalipi mtu yoyote kutangaza simu zao na

Sasa kama unaona s10 ni nzr njoo unishauri ni nzri kwa kipi??
 
To each their own.
 
Kumbe kwako simu ni camera tu? There's more to a phone than just the camera. As a whole pixel haigusi Samsung na nimetumia google phones toka enzi za nexus.

Sijawah kutumia nexus phones, ila nimetumia pixel phones, oneplus 6 samsung kama zote, i mean kutumia mimi kama mimi sihesabii kwa ndugu zangu, iphones nilizotumia ni 6 na now 8, nimetumia s6 edge, s8, s9 kwa mda kwakuwa ilikuwa US version nikairudisha nikaongeza mpunga nikachukua note9, mwaka jana hyo, nimekaa nayo kama miez2 nikashukuru wezi walivyoiiba maana sikuipenda experience wake though ilikuwa na one UI, wezi nikawatrack sasa hivi wananilipa kidogokidogo maana wezi wenyewe nao matatizo tu na simu waliuza laki3 nasikia
Ila experience niliyoona ni iphones ziko solid sana kwa kutumia kuliko samsung au android by miles ahead, ndo nikasearch simu ya kutumia yenye UI nzri kimtindo ila nikaangukia kwa oneplus na pixel, nikanunua oneplus 6 apa bongo, ni katamu ila kamera ni mbovu na display plus vingine vidogo vidogo, kuna mtu akawa anatoka US kuja bongo ndo nikamwagiza pixel,
Inshort naongea from experience, siongei kwa ushabiki maana silipwi kwa na wala sina ushabiki maandazi,
But ukweli ndo huo
 
una uzuzu kiwango cha lami, idea ya picha ni kuplease macho ya muonaji, sasa kama unataka ionekane giza kuna maana gani ya kupiga picha ?
Usitake tuaminisha ujinga ...zaidi ya camera sijaona sifa ingine ya maana uliotaja sisi wengine sio wapiga picha kwenye simu kuna vitu tunapenda kama havipo basi ....afu maswala ya kupiga picha gizani itoke ina mwanga huoni sio uhalisia hamna tofauti na beauty camera kukutoa huna upele na wakati unao..me nataka nikipiga picha picha gizani basi ionekane ni gizani uhalisia ni muhimu hapo umefeli

Sent using Jamii Forums mobile app
 
HAYA NIMEWALETEA GOOGLE PIXEL 3A OFFLINE MARKET 32 GB..
Google Pixel 3a for Sale
Released 2019
New, full boxed (protector, cover, charge and usb type C to C, sim pin ejector)
Ram 4 Gb
Rom 32 Gb
Best Camera
Bei 595,000
NO EXCHANGE
Nipo Sinza, Dm if interested
IMG_20200730_160904.jpg
IMG_20200730_160742.jpg
 
njoo na simu yako yenye kamera nne ushindane na ka mid-range changu cha Google pixel 3a kwenye upande wa kamera 😊😊😊
 
Back
Top Bottom