Nimethibitisha Leo Google Pixel ina camera nzuri kuliko iPhone

LICHADI

JF-Expert Member
Feb 4, 2015
4,150
11,197
Nlikuwa natumia Google pixel 3, nikachukua iphone 14 pro max aloo , camera ya Google pixel bado ni balaa, Iphone camera yake inahitaji sana mwanga ili itoe picha nzuri ila google pixel ni hapo hapo sehem yoyote kambi iphone alichomzidi pixel ni camera yake tu kuwa na editing za kisasa ambazo unaweza edit picha hata kama mbaya ikatokea vizuri
 
Sony>>>>>>>>
 
18:16 infinix hot plain 🤔
IMG_1749.jpeg
 
Iphone ni Yuko vizuri kwenye video quality

Pixel ni habari nyingine linakuja swala la photo shooting

Itoshe kusema Google pixel kwenye photographer ni hatari sana ingawa kuanzia pixel 4xl kupanda Juu Zina video shooting nzuri
 
Back
Top Bottom