Benjamin10
JF-Expert Member
- Dec 31, 2016
- 389
- 553
Habari wakuu,
Nilikua namiliki simu aina ya google pixel 3a nikaamua ku upgrade kwenda kwenye google pixel 4a 5g,
Baada ya kuinunua simu hiyo nikaikuta inatumia plrogram endeshi yaani android 11.. na ilikuwa haina tatizo lolote
baada ya kuitumia kwa muda kidogo ikanilazimu niupgrade kwenda kwenye new version of adroid yaani kwenda kwenye android 14..
Baada ya ku upgrade nikakumbana na matatizo yafuatayo;
1. Pixel Launcher ikawa inafail kila muda inahitaji uiclose, then simu kwenye screen inakua ina blink blink blink kama mara tano then inakaa sawa, tatizo hili limeklua likijirudia rudia mnoo.. mpaka inakera.
2. Simu inapokuwa kwenye chaji unakuwa huwezi kuitumia maana inakuwa nzito mno ule usmooth unakua hamna kwenye kutouch
WAKUU NI NINI HILI TATIZO LINAWEZA TATULIWA?