Google Pixel phones/devices ni smartphone nzuri kushinda zote

usijitoe ufahamu mzee, we sema kwa review ulizoona, pixel 3 unaona imepitwa na note 9 , acha kubase na score za dxomark wala nini ,
Review za dxomark unawekewa comparison ya picha za simu mbalimbali then wanaangalia exposure, noise, saturation, na vitu vingine kibao na wanaelezea kabisa... Sijaonaga kama reviews zao zina shida.
 
Hawa jamaa simu zao kali saana kuliko maelezo
Ila dunia ya sasa ukileta ujuaji mwingi ukafeli kwenye design ndo sahau hyo
Watu wenyewe wananunua simu kuringishiana
Sa ninunue lisimu ni kama litecno la kisasa lenye kila kitu kizr nani atashtuka

Wako vzr sana ila wakijirekebisha kwenye design ndo watavutia watu
Otherwise waweke bei ya midrange
 
Iyo pixel 3 bei ya laki nane(800) ni mpyaaa nachana kwenye box mwenyewe ?,tanzania hii nitaipata wapi mkuu maana kuna kamilioni hapa hakina kazi,kiukweli mi nimpenda simu zenye camera kaliii

Kwa kamera nunua pixel 3
Hakuna cm inayoifikia kwa camera
Ila agiza toka nje
Apa bongo kuzipata ngum
 
Eti google pixel ndio mtu wa kwanza kuleta astrophotography? wewe jamaa haupo serious au hilo jina linakuchanganya. Hiyo astrophotography ipo kwenye huawei p30 pro na mate 30 pro. Kwenye p30 pro ilikuja baada ya kuupdate while kwenye mate 30 pro imetoka na simu. Hizo simu zote zimetoka kabla ya pixel 4.

Kuhusu night sight sijui ni nani muanzilishi lakini ukweli unabaki kwamba hakuna simu inayopiga picha vzr kwenye low light kama huawei hayupo. Tumeshuhudia huawei p30 pro ikiwa inapiga picha kwenye total darkness video zipo youtube.

Design engineer wao sijui walimuokota wapi, simu zao zina design mbovu kishenzi yani wameshindwa hata kumuangalia samsung au huawei.

Kuhusu kamera kwa sasa huawei mate 30 pro ndo camera king mjini. Tunasubiri deep fusion ya iphone tuone naye atakuja na nini.

Mimi kama namshauri mtu anunue device ya pixel basi nitamshauri anunue pixel 3a au 3a xl. Ila kama anafikiria kununia pixel 4 basi ni bora akanunue iphone 11 tu. Kwanza Iphone 11 bei yake ni ndogo af ina camera kali kuliko hata hiyo pixel 4.

Mkuu hio
astrophotography ni nini?
 
Huawei kamera yake ni nzr ila huwez linganisha na big dadyyz pixel 3 au iphone 11
Na nightmode ya huawei ni nzr ila baada ya pixel
But nightmode ya iphone 11 ndo nzr kuliko zote maana ina reduced noice na muonekano halisi wa usiku upo
Astrophotography ya huawei ni simply trash when compared to pixel
 
Hizo review mimi nishaangalia siyo kama naongea tu. DXOmark wamewapa rating ya 112 kwenye camera s10 5G ina 116 halafu note 10 ina 117. Then anayeongoza ni huawei mate 30 pro ambaye ana 121. Tunasubiri rating za iphone tuone ila lazima atascore above hiyo 112.

DXOmark ni website iyoyoongea ukweli na haina experience yoyote
Ndo maana ata pixel iko nyuma akat in reality ni best camera phone
Oneplus kila mtu anajua ina trash camera na stupid video ila imepewa rating za juu
Hakuna watu wanaoangaika na Gcam app kama wa Xiomi na Oneplus
Afu icho kiwebsite uchwara kina iweka juu ya pixel na iphone Xs
Binafsi nilitaka kununua oneplus 7pro ila kila youtuber ninaefungua anaisifia simu na kuipondea kamera yake
 
usijitoe ufahamu mzee, we sema kwa review ulizoona, pixel 3 unaona imepitwa na note 9 , acha kubase na score za dxomark wala nini ,

Ni website zilizokaa kiushabiki zaidi
Ni kama Techradar walivyo hawaipendi iphone
 
bro yani wewe ndio unajua, yani nimemwambia hapo juu jamaa kuwa dxomark ni wazushi , yani walipoip note 9 score kubwa kuliko pixel 3 na ndio ikawa mwisho kubase dxomark , bora niangalue review za camera test youtube, mi natumia pixel 3 na note 9 nishatumia na haijafikia hata robo tatu ya pixel 3
DXOmark ni website iyoyoongea ukweli na haina experience yoyote
Ndo maana ata pixel iko nyuma akat in reality ni best camera phone
Oneplus kila mtu anajua ina trash camera na stupid video ila imepewa rating za juu
Hakuna watu wanaoangaika na Gcam app kama wa Xiomi na Oneplus
Afu icho kiwebsite uchwara kina iweka juu ya pixel na iphone Xs
Binafsi nilitaka kununua oneplus 7pro ila kila youtuber ninaefungua anaisifia simu na kuipondea kamera yake
 
mzee mimi niliagiza mtu aliye nje then akanitumia kupitia agents, kiusalama kama una ndugu aliye nje unamwamini ongea naye anunue then akutumie
 
yeah dxomark ndio maana hata reviewers hawabase kuangalia review zao, hadi lew wa unbox therapy mwenyewe anakubali pixels bila unafki
Ni website zilizokaa kiushabiki zaidi
Ni kama Techradar walivyo hawaipendi iphone
 
astrophotography ni mode ambayo unaweza kuoiga picha usiku anga na nyota zote zikaonekana , hii ipo tu kwenye dslr cameras ila google wameileta kwenye simu hizo
Mkuu hio
astrophotography ni nini?
mfano huo hapo , hiyo ni picha imepigwa na pixel 4 , iphone haiwezi kupiga picha ikaexpose clear sky na milky way hivo usiku....
night-sight-astrophotography-hero.jpeg
 
Then huawei is not even fun to use at all
Bora samsung kidogo
Tena baada ya wao kuja na ONE UI
 
yea huawei ina user experience ya ajabu, ni kweli bora one ui ya samsung ,but google ni noma sana hata hizi gesture za android 10 ni very sleek yani nishasahau back button...
Then huawei is not even fun to use at all
Bora samsung kidogo
Tena baada ya wao kuja na ONE UI
 
yeah dxomark ndio maana hata reviewers hawabase kuangalia review zao, hadi lew wa unbox therapy mwenyewe anakubali pixels bila unafki

Sa mkuu oneplus au s10 inakuwa juu ya pixel 4 ndo ili iweje
Iphone 11 kwenye list haipo kabisa
Hizo ni website ambayo ata mimi naweza kuitengeneza
Walinichekesha tu apo kwenye oneplus 7pro
Hyo cm naipenda kwel ila nilishindwa kuichukua kwasababu ya camera yake
Nikasema oneplus 7t watabadirika ila wapii
Mana picture mtu anaonekana mwekundu na kama unachopiga kina wekundu ndo red tint itajaa mpaka bas
Af mtu anakuja kutaja hyo website

Kwenye kuchagua best camera phone waga naangalia camera comparison nawasha full hd kabisa then naangalia
Huawei wenyewe picha zao sio impresive kivile though ni nzr sana huwez linganisha na vi Xiomi, Oppo au Oneplus
Though haiifikii pixel au iphone but wananinginizna na samsung
 
yea huawei ina user experience ya ajabu, ni kweli bora one ui ya samsung ,but google ni noma sana hata hizi gesture za android 10 ni very sleek yani nishasahau back button...

Google wako vzr
Nilikuwa na pixel2 sema nikakipa kidem flan hv nilikuwa natumia s9 enz niko na pixel 2 ila kwa UI pekee pixel ilikuwa nzr miles ahead japo niliigawa hyo nikitegemea kununua pixel 3
S9 nayo ikaibiwa nimebaki na kiiphone nilikuwa nangojea pixel 4
Ila desighn ni ya kijinga sana
Mate 20 nilitumia kido nikaiuza niliona ni kama natumia tecno iliochangamka
 
Back
Top Bottom