Google Pixel phones/devices ni smartphone nzuri kushinda zote

Eti google pixel ndio mtu wa kwanza kuleta astrophotography? wewe jamaa haupo serious au hilo jina linakuchanganya. Hiyo astrophotography ipo kwenye huawei p30 pro na mate 30 pro. Kwenye p30 pro ilikuja baada ya kuupdate while kwenye mate 30 pro imetoka na simu. Hizo simu zote zimetoka kabla ya pixel 4.

Kuhusu night sight sijui ni nani muanzilishi lakini ukweli unabaki kwamba hakuna simu inayopiga picha vzr kwenye low light kama huawei hayupo. Tumeshuhudia huawei p30 pro ikiwa inapiga picha kwenye total darkness video zipo youtube.

Design engineer wao sijui walimuokota wapi, simu zao zina design mbovu kishenzi yani wameshindwa hata kumuangalia samsung au huawei.

Kuhusu kamera kwa sasa huawei mate 30 pro ndo camera king mjini. Tunasubiri deep fusion ya iphone tuone naye atakuja na nini.

Mimi kama namshauri mtu anunue device ya pixel basi nitamshauri anunue pixel 3a au 3a xl. Ila kama anafikiria kununia pixel 4 basi ni bora akanunue iphone 11 tu. Kwanza Iphone 11 bei yake ni ndogo af ina camera kali kuliko hata hiyo pixel 4.
Mkuu hiyo huawei p30 pro ni bonge 1 simu,naiogopa tu coz ya huu mtifuano wao wa kichumi na usa,isije kunigeukia toy bure
 
Eti google pixel ndio mtu wa kwanza kuleta astrophotography? wewe jamaa haupo serious au hilo jina linakuchanganya. Hiyo astrophotography ipo kwenye huawei p30 pro na mate 30 pro. Kwenye p30 pro ilikuja baada ya kuupdate while kwenye mate 30 pro imetoka na simu. Hizo simu zote zimetoka kabla ya pixel 4.

Kuhusu night sight sijui ni nani muanzilishi lakini ukweli unabaki kwamba hakuna simu inayopiga picha vzr kwenye low light kama huawei hayupo. Tumeshuhudia huawei p30 pro ikiwa inapiga picha kwenye total darkness video zipo youtube.

Design engineer wao sijui walimuokota wapi, simu zao zina design mbovu kishenzi yani wameshindwa hata kumuangalia samsung au huawei.

Kuhusu kamera kwa sasa huawei mate 30 pro ndo camera king mjini. Tunasubiri deep fusion ya iphone tuone naye atakuja na nini.

Mimi kama namshauri mtu anunue device ya pixel basi nitamshauri anunue pixel 3a au 3a xl. Ila kama anafikiria kununia pixel 4 basi ni bora akanunue iphone 11 tu. Kwanza Iphone 11 bei yake ni ndogo af ina camera kali kuliko hata hiyo pixel 4.
Design ndio hamna kitu... Watu wanataka muonekano pia uwe mzuri
 
Tatizo la ijustine hueez kujua tatizo la simu, ye kila kitu anasifia tu
iJustine huyo dada ni isheep. Zamani nilikuwa namuelewa baadae nikaja kumuona mdwanzi tu...

Youtubers ninaowaelewa sana.

1. Arun au anajiita Mr. Whosetheboss yaani zikija notifications za tech youtubers wote ninaowapenda basi nitaanza na video za huyu.

2. MKBHD

3. SUPERSAF

4. TECHCHAP

5. Linus wa Techline

6. TechAlter

7. Booredatwork.com

8. Sal TechtalkTv

9. Danny Winget

10. Phone Arena

Unbox therapy nowadays sijui amekuwaje... simfatilii sana...
 
Hawa jamaa simu zao kali saana kuliko maelezo
Ila dunia ya sasa ukileta ujuaji mwingi ukafeli kwenye design ndo sahau hyo
Watu wenyewe wananunua simu kuringishiana
Sa ninunue lisimu ni kama litecno la kisasa lenye kila kitu kizr nani atashtuka

Wako vzr sana ila wakijirekebisha kwenye design ndo watavutia watu
Otherwise waweke bei ya midrange
Kuna jamaa yangu ana lg v40,yan akilishika watu hata awamshtuki [emoji2],kiuhalisia sasa v40 ni bonge la cm
 
umemsahau mr whosetheboss, kwangu best ni mkbhd
iJustine huyo dada ni isheep. Zamani nilikuwa namuelewa baadae nikaja kumuona mdwanzi tu...

Youtubers ninaowaelewa sana.

1. Arun au anajiita Mr. Whosetheboss yaani zikija notifications za tech youtubers wote ninaowapenda basi nitaanza na video za huyu.

2. MKBHD

3. SUPERSAF

4. TECHCHAP

5. Linus wa Techline

6. TechAlter

7. Booredatwork.com

8. Sal TechtalkTv

9. Danny Winget

10. Phone Arena

Unbox therapy nowadays sijui amekuwaje... simfatilii sana...
 
lew wa unbox T , anazingua af hafanyagi review deep sikuizi , hata kwenye events za google/apple hakwenda, ila haha jamaa mafia hapendi apple, alivoreview iphone 11 alinunua iohone 11 version zote za kila rangi af akaeka mezani, akachagua moja af akasepa zake video nzima hajaongea kitu jamaa ana hate kubwa na apple haha
iJustine huyo dada ni isheep. Zamani nilikuwa namuelewa baadae nikaja kumuona mdwanzi tu...

Youtubers ninaowaelewa sana.

1. Arun au anajiita Mr. Whosetheboss yaani zikija notifications za tech youtubers wote ninaowapenda basi nitaanza na video za huyu.

2. MKBHD

3. SUPERSAF

4. TECHCHAP

5. Linus wa Techline

6. TechAlter

7. Booredatwork.com

8. Sal TechtalkTv

9. Danny Winget

10. Phone Arena

Unbox therapy nowadays sijui amekuwaje... simfatilii sana...
 
ah Lg sijui wana gundu gani hata watoe sim gani still hawatapata fans wengi... haibambi yani inshort
Kuna jamaa yangu ana lg v40,yan akilishika hata awamshtuki [emoji2],kiuhalisia sasa v30 ni bonge la cm
 
haha sorry nlikurupuka sikuona mr whosetheboss
iJustine huyo dada ni isheep. Zamani nilikuwa namuelewa baadae nikaja kumuona mdwanzi tu...

Youtubers ninaowaelewa sana.

1. Arun au anajiita Mr. Whosetheboss yaani zikija notifications za tech youtubers wote ninaowapenda basi nitaanza na video za huyu.

2. MKBHD

3. SUPERSAF

4. TECHCHAP

5. Linus wa Techline

6. TechAlter

7. Booredatwork.com

8. Sal TechtalkTv

9. Danny Winget

10. Phone Arena

Unbox therapy nowadays sijui amekuwaje... simfatilii sana...
 
iJustine huyo dada ni isheep. Zamani nilikuwa namuelewa baadae nikaja kumuona mdwanzi tu...

Youtubers ninaowaelewa sana.

1. Arun au anajiita Mr. Whosetheboss yaani zikija notifications za tech youtubers wote ninaowapenda basi nitaanza na video za huyu.

2. MKBHD

3. SUPERSAF

4. TECHCHAP

5. Linus wa Techline

6. TechAlter

7. Booredatwork.com

8. Sal TechtalkTv

9. Danny Winget

10. Phone Arena

Unbox therapy nowadays sijui amekuwaje... simfatilii sana...

Unbox therapy sikuiz anaspend time sana kwenye channel yake mpya ambayo anaongelea mambo mengi sana ya dunia
Unbox therapy ni kama channel yake ya pil ckuiz

Mi namkubal sana MKBHD, nahis ni kwakuwa video zake zina quality ya juu sana,
Then wa pili kwangu ni TRAVIS MCP,
 
iphone 11 haijafika m2.... sijui ww unazungumzia iphone 11 gani. $649 ndio m2? Ukiondoa flagship za mchina. hebu nitajie simu inayouzwa kwa bei hiyo...
Mkuu hiyo iphone 11 m 2 na upuuzi kwako ndio bei chee!!
 
nje ya mada kwa mbali.... hivi HTC smartphone bado zinazalishwa?
 
iphone 11 haijafika m2.... sijui ww unazungumzia iphone 11 gani. $649 ndio m2? Ukiondoa flagship za mchina. hebu nitajie simu inayouzwa kwa bei hiyo...
Mkuu fanya exchange hiyo euro kwa pesa yetu,halafu hapo hiyo simu ni used
 
Attachments

  • 20191028_220909.png
    20191028_220909.png
    158.1 KB · Views: 15
Kuna jamaa yangu ana lg v40,yan akilishika watu hata awamshtuki [emoji2],kiuhalisia sasa v40 ni bonge la cm

Ndoto ya kila mtu ni kuona simu watu wanashangaa sim ulionayo
Sa we unakuwa na sim la beiii af watu hawashangai ndo nn,
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom