Google Pixel phones/devices ni smartphone nzuri kushinda zote

Okay sawa Boss....but hata MKBHD kama unamjua aliangalia na kuona battery kwenye Pixel 4Xl inakaa na charge akaja kugundua kua kuna muda display inadrop to 60Hz baadae akaja kuona kwenye developers mode kuna option ya kuforce 90Hz only.View attachment 1247038
Ni kweli kabisa mkuu.... But pixel walibana sana battery kwa specifications zao....

Jamaa nampata... Mmi ni YouTubers wanne
.Michael Fisher
.MKBHD
.MrWhosetheboss
.JerryRigEverything
 
dingii hiyo pixel 4 ni yako? wewe ni hatariii
Okay sawa Boss....but hata MKBHD kama unamjua aliangalia na kuona battery kwenye Pixel 4Xl inakaa na charge akaja kugundua kua kuna muda display inadrop to 60Hz baadae akaja kuona kwenye developers mode kuna option ya kuforce 90Hz only.View attachment 1247038
 
naipigia upatu iphone 11 pro max , note 10 na pixel 4 .... itatoka kati ya hizo
Huawei angenusa japo kidogo.. Sema panga la android linamcost sana.... S10 5G inaweza pia kuwemo kwenye list
 
Ni kweli kabisa mkuu.... But pixel walibana sana battery kwa specifications zao....

Jamaa nampata... Mmi ni YouTubers wanne
.Michael Fisher
.MKBHD
.MrWhosetheboss
.JerryRigEverything

Angalia na Travis MCP
Ilo jamaa nalo linajua japo lina subscribers wachache, mfatilie Linus tech tips pia
Mwingine ni ZoneofTech, mwenye channel anaitwa Daniel, anataka kufanana na yule jamaa wa everythingapplepro nikitaka kununua lazima nipite uku
 
Shukran mkuu... ZoneofTech namchek mara moja moja... Pia jamaa wa Android central wapo vizuri pia.... Mwingine ni yule manzi wa apple japo simuelewi sana anajiita iJustine
 
Next joke please
Ni wazuri kwenye Software, Na simu zao zinakaa charge. Vitu vingi bado wapo nyuma.

Google pixel 4 na 4xl zimedisappoint sana wateja. Kaondoa fingerprint na vitu vingine kibao.

Kuhusu camera bora mtu akanunue iphone 11 kwanza bei chee kuliko hiyo pixel 4
 
Tatizo la ijustine hueez kujua tatizo la simu, ye kila kitu anasifia tu
 
Ni wazuri kwenye Software, Na simu zao zinakaa charge. Vitu vingi bado wapo nyuma.

Google pixel 4 na 4xl zimedisappoint sana wateja. Kaondoa fingerprint na vitu vingine kibao.

Kuhusu camera bora mtu akanunue iphone 11 kwanza bei chee kuliko hiyo pixel 4
Mkuu hiyo iphone 11 m 2 na upuuzi kwako ndio bei chee!!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom