Google Pixel phones/devices ni smartphone nzuri kushinda zote

Google Pixel phones/devices ni smartphone nzuri kushinda zote

sawa wameondoa fingerprint ila wameweka the fastest face id kuliko hata ya iphone, inatambua sura hata uwe umefunga macho/ total darkness... hapana cheki reviews still pixel 4 ina camera nzuri kuliko iphone 11 , wamezingua tu kuondoa telephoto
Kama inatambua sura mpaka ukiwa umefumba macho ni udhaifu huu sio umwamba.

Apple waliweka hii ili mtu usihujumiwe ukiwa umelala au huna ridhaaa.
 
Night sight ya google pixel ndo imekushangaza [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] check HUAWEI P30 halafu urudi kurekebisha uzi......
 
ya huawei is trash...
Night sight ya google pixel ndo imekushangaza [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] check HUAWEI P30 halafu urudi kurekebisha uzi......
 
si ndi nashangaa anasemea pixel ipi maana hata pixel xl inalast na chaji sio kama iphones

Naskia pixel 3 charg yake sio kiviile kwa heavy user ila iphone 11 iko poa sana kwa charg
 
chukua hiyo p30 pro na mimi nije na pixel 3 yangu, huawei nightsight yake mbovu kwanza ukipiga picha ya mtu kwa hiyo nightmode ina noise kibao, very saturated, yani quality mbaya labda tu upigie vitu ila sio watu, af cheki ya pixel 3 sasa
Night sight ya google pixel ndo imekushangaza [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] check HUAWEI P30 halafu urudi kurekebisha uzi......
haya, hiyo ni btn pixel 3 na p30 pro, mind you nacompare pixel 3 simu ya 2018 na hiyo p30 ya march 2019 ila still imezidiwa,
kuweni judges wenyewe
 
.
Screenshot_20191027-092650.jpeg
Screenshot_20191027-092637.jpeg
 
mi sio heavy user, social networks naingia nadra sana, mostly ni jf na whatsapp tu instagram situmiagi
Naskia pixel 3 charg yake sio kiviile kwa heavy user ila iphone 11 iko poa sana kwa charg
 
Kitu kingine kinachozingua ni kukosa expandable memory na kidogo headphone jack
 
Yeah ktk design wako very poor!!
Hawa jamaa simu zao kali saana kuliko maelezo
Ila dunia ya sasa ukileta ujuaji mwingi ukafeli kwenye design ndo sahau hyo
Watu wenyewe wananunua simu kuringishiana
Sa ninunue lisimu ni kama litecno la kisasa lenye kila kitu kizr nani atashtuka

Wako vzr sana ila wakijirekebisha kwenye design ndo watavutia watu
Otherwise waweke bei ya midrange
 
Ila mkuu ktk design naona samsung hana mpinzani

Samsung zaman alikuwa mbovu sana katika design hasa kwa kutumia plastic pamoja na cheap metal
Alivyobadirika akabadirika kweli
Note 10 nmeipenda sana design yake japo sii miliki ila flo ni moja tu kwan hakutumia stainless steel kama iphones
 
Yeah... nina samsung S10 plus, popote niitoapo kila mtu huvutiwa na design
Samsung zaman alikuwa mbovu sana katika design hasa kwa kutumia plastic pamoja na cheap metal
Alivyobadirika akabadirika kweli
Note 10 nmeipenda sana design yake japo sii miliki ila flo ni moja tu kwan hakutumia stainless steel kama iphones
 
Mkuu ukiangalia vizuri ilivyotengenezwa ile display hua haikai 90Hz always usipokua unaitumia sana au ukibrowse kwa muda inashuka automatically kwenda 60Hz....ndo walivyoiweka haipo always 90Hz.
Wameondoa wide angle, battery bado ni issue hasa kwenye display kutokana na refresh rate yake ya 90Hz, bado motion sensor yake haina performance nzuri wengine wanadai S4 ina better performance kwenye motion kuliko P4....
 
Hizi simu zipo very poor kwenye design
Habarini wazee, leo nataka kuongelea hizi simu google pixel, hizi ni simu zimetengenezwa na Google, ndio hawa hawa google waanzilishi na wamiliki wa
°Google Maps
°Youtube
°Gmail
°Google search engine
°Chrome web browser
°Adsense
°Google photos
°Google Playstore
°Android ( google ilinunua android 2005 kutoka walioanzisha hivyo hii ikawafanya wawe wamiliki halali wa Android lakini kuna makubaliano na vitu vingine vingi siwezi kuviandika itabidi mgoogle makubaliano yao, licence nk... ndio maana hata samsung, Lg, nokia nk wanatumia android pia lakini bado utakuta google playstore kwenye device zote za android)

Inshort Google ni wafalme wa Software, yani wameteka nyanja zote za software na zinasaidia sana maisha, cheki watu wanaotumia iphone ila bado wanatumia google maps, youtube, Gmail nk.. google ni kama maji usipowanywa utaoga..

Haya turudi kwenye mada kuu, SIMU zao, google wametoa simu nyingi ila mimi naegemea tu kwenye simu zao zinazoitwa GOOGLE PIXEL , mtiririko wake ni huu

Google Pixel 1 / Google pixel XL , hizi zilitoka 2016 na ndio wakaleta mapinduzi kwenye simu, hii simu ilikuwa kali sana yani kwanzia camera, software yake, ram 4 gb, yani ilitoka mwaka sawa na iphone 7 ila pixel iliishinda Iphone kwa picha nzuri upande wa camera ila kwenye video, iphone itabaki kuwa mshindi hadi leo hii..

Google pixel 2 / Google pixel 2 XL

Google Pixel 3 / Google pixel 3 XL

na mwaka huu wametoa simu "revolutionary" , simu ya kwanza kuwa na astrophotography, ila niwaambie kitu, google pixel yani imeegemea sana upande wa camera, kama wewe ni mtu wa picha sana , hii simu unatakiwa uwe nayo

Google ndio walileta Night Sight, hakuna simu yoyote iliyokuwa inaweza kupiga picha gizani bila kuwasha flash, ila google na tech team yake walikaa wakadesign kitu kinaitwa nightsight ( hii ipo tu kwenye google pixel devices ) , ukipiga picha usiku na ukaonyesha mtu hatoamini kama ni simu ndio imepiga picha , ila baada ya pixel kutoa hiyo kitu, kampuni zingine zikafuata ila google ndio waanzilishi na hii kitu ilikuwa "mind blowing" , kwa wale "geeks" au tuseme wabobezi kwenye mambo ya simu watakuwa wanaelewa, ila nisiongee sana wakuu uzi ukawachosha , mkipata muda ingieni youtube kisha jaribuni kuangalia videos kuhusu pixel devices, ukiamua angalia pixel 4 , pixel 3 , pixel 2 au 1 ni wewe tu na bando lako,
naambatanisha picha za hizo simu , na picha ambazo niliweza kupiga usiku , za mchana zipo pia mkihitaji nitaweka,

Binafsi nimekuwa mtumizi wa hizi simu tokea 2017 hadi leo hii, nimeshatumia pixel 1 , 2 na 3 , kwa hii ya sasa bado sijajipanga maana ni almost 900$ , bado muda na ninadiriki kusema Google phones ni nzuri kushinda smart phone zote , na itabaki hivyo kwangu

Angalizo : nafahamu mtakuja kusema ooh ni tangazo hili au biashara ,HAPANA , SIUZI SIMU WALA SITANGAZI BIASHARA , HAYA NI MAWAZO YANGU TU NA MAPENZI KWA HIZI SIMU ZA GOOGLE , UKIPENDEZWA NAZO AGIZA AMAZON AU GOOGLE AU UKIWA NJE NUNUA MAANA HUKU BONGO NI ZA KUBAHATISHA .....

Kuna picha za google pixel devices, sijaweka zote mnaweza mkagoogle mzione na pia kuna sample ya picha za usiku zilizopigwa kwa kutumia iphone ten(X) na Google Pixel

Mkihitaji picha zaidi , nitatafuta muda nipige picha nyingi niwaletee muone mlinganisho kati ya hizi simu na simu zingine zote...View attachment 1245330View attachment 1245331View attachment 1245332View attachment 1245333View attachment 1245335View attachment 1245336
 
Mkuu ukiangalia vizuri ilivyotengenezwa ile display hua haikai 90Hz always usipokua unaitumia sana au ukibrowse kwa muda inashuka automatically kwenda 60Hz....ndo walivyoiweka haipo always 90Hz.
Muangalie Michael Fisher akilalamikia issue ya battery kukaa only 16hrs na option akasema ni kuzima brand new features ili kusave battery kidogo kitu ambacho is so awkward kwa smu kama P4...anzia 3.31
 
chukua hiyo p30 pro na mimi nije na pixel 3 yangu, huawei nightsight yake mbovu kwanza ukipiga picha ya mtu kwa hiyo nightmode ina noise kibao, very saturated, yani quality mbaya labda tu upigie vitu ila sio watu, af cheki ya pixel 3 sasa haya, hiyo ni btn pixel 3 na p30 pro, mind you nacompare pixel 3 simu ya 2018 na hiyo p30 ya march 2019 ila still imezidiwa,
kuweni judges wenyewe
Mkuu "picha" inakuaje na Noise? au ulimaanisha video?
 
Okay sawa Boss....but hata MKBHD kama unamjua aliangalia na kuona battery kwenye Pixel 4Xl inakaa na charge akaja kugundua kua kuna muda display inadrop to 60Hz baadae akaja kuona kwenye developers mode kuna option ya kuforce 90Hz only.
Muangalie Michael Fisher akilalamikia issue ya battery kukaa only 16hrs na option akasema ni kuzima brand new features ili kusave battery kidogo kitu ambacho is so awkward kwa smu kama P4...anzia 3.31
IMG_20191028_130158.jpeg
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom