Google Pixel phones/devices ni smartphone nzuri kushinda zote

Google Pixel phones/devices ni smartphone nzuri kushinda zote

My daily driver Pixel 2 XL Panda Variant 🐼 Photo taken on my previous Pixel 1 XL
 

Attachments

  • IMG_20190726_120748.jpg
    IMG_20190726_120748.jpg
    229.4 KB · Views: 24
hii gesture navigation naikubali, ipo smooth kuliko ya iphine ten
Screenshot_20191029-182408.jpeg
 
yani watanzania tuna tamaa balaa, juzi niliona jamaa kapost anauza iphone 11 pro 64 Gb kwa 2,600,000 , kwanza nikashtuka, maana iphone 11 pro 64 gb ni kwenye 1.6 hivi na ushee nilivyochrki directly ukiorder from apple.. sa bas poa tuweke usafiri na kodi za agent, itafika roughly kwenye 1.7m na ushee... so hapo huyo boya anataka apate faida ya laki tisa 900,000 kwa simu moja, jamani hiyo sasa ni biashara au nini, yani mtu anataka faida almost 90% thats a supernormal profit.. nikacomment we mtu mbona unatapeli hivo watu nikaelezea kila kitu sangapi mtu asiniblock...
Siku moja natafta s10+ kuna duka liko Viva Tower wakawa hawana s10+ ila ipo s10 ya kawaida wakaniambia bei 2.9m, nilishangaa sana. Watanzania tamaa ndio inasababisha biashara haziendelei, kutaka faida kubwa kupita kiasi.

Juzi moja nikaenda dukani kutafta raba simpe za kuvaa, mtandaoni wanauza 30k hadi 35k, wanaziita za Uganda, nikasema kabla sijaagiza mtu alete ngoja niende hapa duka la jirani, jamaa ananiambia 85k, nikamuonyesha mtandaoni wanauzaje, akaanza kusema kila mtu ana biashara yake, nikamwambia ukiendelea hivi hata hili duka utauza na litakufa.

Nenda tigo shop ulizia s10+ utaambiwa 2.6m, unajiuliza wao wanazinunua wapi? Note 10+ 3.1m. Bei unayonunua simu Bongo ukiagiza nje unapata kwa nusu yake.
 
Tigoshop mfano walikuwa wanauza iphone xs 3.4m kwa 264gb..bei za iPhone mpya bongo huwa ni mkasi kwelikweli..sijui ni kodi au nini
Sio kodi, ujanja wakutaka kupiga faida kubwa. Kutaka faida kubwa kwa muda mfupi.

Wewe angalia, nenda maduka ya kuuza nguo, utakuta kadeti inauzwa kariakoo 20k au 25 wao wanauza 40k hadi 50k unashangaa hawa hizi za kwao wamezitengenezea dhahabu?
 
Hvi mbona hamuizungumzii kabisa NOKIA 9 PUREVIEW kwenye upande wa camer?????
 
You ar like me! Napenda camera sana, madongo sijui ya dizain hayo abaki nayo samsung huko na wenzake
Mimi kwangu simu lazima iwe na vyote, design nzuri na kamera nzuri ndio maana mimi Samsung wamenimaliza kwa hilo.
Linapokuja swala la camera samsung wamejitahidi sana hasa kwenye hizi high ends wana camera nzuri sana na design nzuri pia so napiga two in one..
 
To my fellow #TeamPixel. Features za Astrophotography na Super Res Zoom zitaletwa kwenye older pixel phones in the near future. Google said so
 
Ila the New Google assistant ndo tumeikosa ivo due to hardware limitations maana the new Pixel 4 lineup inatumia Neural Core ambayo haipo kwenye older pixels bali ipo Visual core dedicated to camera HDR+ processing
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom