Google Pixel phones/devices ni smartphone nzuri kushinda zote

ah Lg sijui wana gundu gani hata watoe sim gani still hawatapata fans wengi... haibambi yani inshort

Walikuwa na mda wao wa kutamba ila hawakwenda na speed ya inovasion na design
Vi kampuni kama oneplus na Xiomi vimekuja juu sabab wako sharp katika design na bei chin
 
Kwa hapa nilipo nimeangalia bei za amazon azichezi mbali na za hapa!

Kuna mtandao waga nanunua
Swappa
Ila sema inabid uwe na weenyej kule wakuletee uku
Huo ni wa vitu used
Ila wengi wanauza sabab wanabadilisha cm
 
Shukran mkuu... ZoneofTech namchek mara moja moja... Pia jamaa wa Android central wapo vizuri pia.... Mwingine ni yule manzi wa apple japo simuelewi sana anajiita iJustine
Huyu fangirl wa apple badobado sana
 
yani watanzania tuna tamaa balaa, juzi niliona jamaa kapost anauza iphone 11 pro 64 Gb kwa 2,600,000 , kwanza nikashtuka, maana iphone 11 pro 64 gb ni kwenye 1.6 hivi na ushee nilivyochrki directly ukiorder from apple.. sa bas poa tuweke usafiri na kodi za agent, itafika roughly kwenye 1.7m na ushee... so hapo huyo boya anataka apate faida ya laki tisa 900,000 kwa simu moja, jamani hiyo sasa ni biashara au nini, yani mtu anataka faida almost 90% thats a supernormal profit.. nikacomment we mtu mbona unatapeli hivo watu nikaelezea kila kitu sangapi mtu asiniblock...
Hizo bei hata kwenye tigoshop ni hivohivo zipo juu balaa..sio huyo jamaa tu
 
shida tuna consumer ignorance, mtu hafanyi research anakurupuka anaenda kumpa mtu 900k ya bure while ilitakiwa apate tu faida maxmum ya 100k, hata apple wakijua huo uhuni watafanya jambo

Tigoshop mfano walikuwa wanauza iphone xs 3.4m kwa 264gb..bei za iPhone mpya bongo huwa ni mkasi kwelikweli..sijui ni kodi au nini
 
yani watanzania tuna tamaa balaa, juzi niliona jamaa kapost anauza iphone 11 pro 64 Gb kwa 2,600,000 , kwanza nikashtuka, maana iphone 11 pro 64 gb ni kwenye 1.6 hivi na ushee nilivyochrki directly ukiorder from apple.. sa bas poa tuweke usafiri na kodi za agent, itafika roughly kwenye 1.7m na ushee... so hapo huyo boya anataka apate faida ya laki tisa 900,000 kwa simu moja, jamani hiyo sasa ni biashara au nini, yani mtu anataka faida almost 90% thats a supernormal profit.. nikacomment we mtu mbona unatapeli hivo watu nikaelezea kila kitu sangapi mtu asiniblock...

Iphone 11 ndo about 1.7
Ila 11 pro ni 2.3
Hii ni bei ya amazon au apple kabisa
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom