ngebo
JF-Expert Member
- Sep 8, 2017
- 1,684
- 2,133
- Thread starter
- #61
eeh mkuu oneplus wamezingua sana kwenye cameras yani , ndio maana wanatumia gcam kwenye oneplus watu wengi, sa si ndo hapo eti s10 ipo juu ya pixel 4: dxomark ni big lie
Sa mkuu oneplus au s10 inakuwa juu ya pixel 4 ndo ili iweje
Iphone 11 kwenye list haipo kabisa
Hizo ni website ambayo ata mimi naweza kuitengeneza
Walinichekesha tu apo kwenye oneplus 7pro
Hyo cm naipenda kwel ila nilishindwa kuichukua kwasababu ya camera yake
Nikasema oneplus 7t watabadirika ila wapii
Mana picture mtu anaonekana mwekundu na kama unachopiga kina wekundu ndo red tint itajaa mpaka bas
Af mtu anakuja kutaja hyo website[emoji23][emoji23][emoji23]
Kwenye kuchagua best camera phone waga naangalia camera comparison nawasha full hd kabisa then naangalia
Huawei wenyewe picha zao sio impresive kivile though ni nzr sana huwez linganisha na vi Xiomi, Oppo au Oneplus
Though haiifikii pixel au iphone but wananinginizna na samsung