albab
JF-Expert Member
- Jul 6, 2018
- 2,000
- 3,395
Kwangu Mimi pixel ni simu nzuri ila kwenye chaji imenibidi kuwa na Redmi kama simu ya ziada (natumia note 12 pro)
At least Redmi inanipa guarantee ya masaa 14 ikiwa on display Kwa masaa zaidi ya 11...
Kwa pixel 6 pro inanioffer masaa 5-7 tu nikiwa naitumia na kibaya zaidi inatafuna chaji hata display ikiwa off....