Depal
JF-Expert Member
- Nov 26, 2018
- 50,450
- 203,040
Kati ya Iphone, samsung na Andazi utachagua nini??
MIMI NACHAGUA ANDAZI BHANA



Ila kwenye hii picha, sehemu yenye giza bado panaonekana pana giza tofauti na picha yangu sehemu yenye giza panaonekana vzr
Lakini yako haina clearness… nibishie?Ila kwenye hii picha, sehemu yenye giza bado panaonekana pana giza tofauti na picha yangu sehemu yenye giza panaonekana vzr
Tuendelee kuzurula 😀Ila kwenye hii picha, sehemu yenye giza bado panaonekana pana giza tofauti na picha yangu sehemu yenye giza panaonekana vzr
Mbona haisupport zooming?
cyber securityMbona haisupport zooming?
ShindwaLakini yako haina clearness… nibishie?
Foro.