Feisal2020
JF-Expert Member
- Nov 15, 2018
- 1,329
- 3,399
Bei inaendaje mkuu?Unafanisha tecno na pixel mzee kuwa na heshima basi
Pixel 5a Lina betrre mah elfu 4 na Kitu
Na inakaa na chaji siku nzima nacheza game napicha nakula music Chuma Iko Dede
TATIZO wabongo mnakalili sana
Kuna simu za mtumba zimenyooka tunamia tuna mwaka Sasa
Watu wa Pixel kwenye simu wao wanataja camera tu. Tunatakiwa kuwa na flagship iliyo complete kila kitu kuanzia charging speed, battery life, wireless & reverse charging, user friendly, camera both in video and photo, chip, finishing, protection na kila kitu.
Pixel iishie kwenye camera tu kwingine sio



Kila mtetezi wa Pixel lazima aitaje 4 series akibadili kidogo atataja 3xl au 3axl nenda uzi wowote wa Pixel uone, utaishia hapo kwenye 4 series hasa 4XL kuzipenda Pixel. Juu ya hapo ni simu average, nina 6 Pro na hizo previous nimetumia. Nimejaribu 7 ila sijapata 8.Kuna watu wametokea tu kuwa na mawazo hasi kuhusu iphone kama wewe ulivyo na mawazo hasi dhidi ya Pixel
Kwa jinsi ulivyo “iponda” hapo juu unaweza kudhani Infinix ni simu bora kuliko Pixel
Mkuu haka kasimu Pixel 4a 5g nilikatumiaga kwa mwaka mmoja...... itoshe tu kusema NI KATAMU MMNO
Kako standard, classic na performance ya hali ya juu
Sio kabaya hivyo ulivyo kaelezea mkuu
Na badoTangu Nmefanya update ya pixel kupata android 14 naona kama vile camera haina maunyama au ni macho yangu wakuu.?
😂Na bado
Mpaka usemeee 😂😂
Kila mtetezi wa Pixel lazima aitaje 4 series akibadili kidogo atataja 3xl au 3axl nenda uzi wowote wa Pixel uone, utaishia hapo kwenye 4 series hasa 4XL kuzipenda Pixel. Juu ya hapo ni simu average, nina 6 Pro na hizo previous nimetumia. Nimejaribu 7 ila sijapata 8.
Pixel sio simu bora kwa average labda kwenye camera, na kumbuka tunalinganisha brands kubwa Infinix haiingii
Basi hapo mnazungumzia affordable smartphones ndipo Pixel iingie. Na hakuna smartphone iliyo affordable alafu ikazidi high end iliyo expensive. Price setting haijawahi danganya huwezi uza Vitz kwa bei ya Subaru Forester na watu wakanunua Vitz.Mkuu series 4 kushuka chini kibongo bongo angalau tunazimudu bei tena ni refurbished hizo latest za juu mnaziweza mnaojiweza...... ndio maana tunazizungumzia hizo
Niangalie reviews wakati simu nazibadilisha na nimezungukwa na wamiliki wa high ends brands na tunazitumia kila siku tunajua weaknesses na strengths zake. Review tunaangalia simu ikiwa released haijafika.Naheshimu mawazo yako mkuu kuwa Pixel ni simu avarage kwa mtazamo wako pengine kwa kuangalia reviews test za ulinganifu YouTube nk
Ni brand nzuri ya simu kwenye photography. Na bado hujaileta Samsung hapo kwenye hiyo category washindane. Chukua Pixel 7 Pro linganisha na S23 Ultra. Na bado hujaileta iPhone 14 Pro kwenye video pekee, chukua simu zote hizo rekodi video post social media account yeyote uone ipi itabaki na quality hata ikiwa reposted. Utajua kwanini wafanyabiashara wa online wananunua iPhone.Lakini hiyo haiondoi ukweli kwamba Google Pixel ni mojawapo ya Brand kubwa na bora kabisa za simu duniania
Review test ya nini, utasema camera. Rating ya vitu vingine Pixel ni wa kawaida kwenye brands kubwa.Kwa nyakati tofauti flagship za Pixel zimewahi kuwa na reviews test bora kuliko iphone au Samsung zilizotoka wakati mmoja
Wasikuchoshe mwayaBasi hapo mnazungumzia affordable smartphones ndipo Pixel iingie. Na hakuna smartphone iliyo affordable alafu ikazidi high end iliyo expensive. Price setting haijawahi danganya huwezi uza Vitz kwa bei ya Subaru Forester na watu wakanunua Vitz.
Niangalie reviews wakati simu nazibadilisha na nimezungukwa na wamiliki wa high ends brands na tunazitumia kila siku tunajua weaknesses na strengths zake. Review tunaangalia simu ikiwa released haijafika.
Na kama hutaki kuzingatia test benchs ambao wana vifaa vya kupima clock speed, frequency na kila kitu wananunua simu wanatest hadi kuziharibu kujua uhimiilivu wake, unataka vipi tukuamini wewe ambaye hata simu unazobishia nyingine hujawahi zishika, achana na kuzifanyia testing.
Ni brand nzuri ya simu kwenye photography. Na bado hujaileta Samsung hapo kwenye hiyo category washindane. Chukua Pixel 7 Pro linganisha na S23 Ultra. Na bado hujaileta iPhone 14 Pro kwenye video pekee, chukua simu zote hizo rekodi video post social media account yeyote uone ipi itabaki na quality hata ikiwa reposted. Utajua kwanini wafanyabiashara wa online wananunua iPhone.
Review test ya nini, utasema camera. Rating ya vitu vingine Pixel ni wa kawaida kwenye brands kubwa.
Unajua kwanini Pixel 3 series ni best selling katika Pixel zote ukizingatia population ya dunia wakati zinakuwa released?
Zilizofuatia zote hazikufikia mauzo yale mpaka zilipokuja Pixel 7 ambazo zimefika pale sababu ya kuwa bei nafuu sana kulinganisha na flagships za brands nyingine mwaka huohuo.
Pixel ni simu yenye value for money na camera nzuri, sio simu the best overall.
Jaribu 8 pro mkuu, then uje kutoa mrejeshoKila mtetezi wa Pixel lazima aitaje 4 series akibadili kidogo atataja 3xl au 3axl nenda uzi wowote wa Pixel uone, utaishia hapo kwenye 4 series hasa 4XL kuzipenda Pixel. Juu ya hapo ni simu average, nina 6 Pro na hizo previous nimetumia. Nimejaribu 7 ila sijapata 8.
Pixel sio simu bora kwa average labda kwenye camera, na kumbuka tunalinganisha brands kubwa Infinix haiingii



Wewe mwenyewe hujaijaribu. Na siwezi ichagua over simu kadhaa nyingine kama S23 Ultra achana na S24 ijayo, labda kama tunazungumzia budget.Jaribu 8 pro mkuu, then uje kutoa mrejesho![]()
Mengi umeandika kwa kudhania tu, hapa ninatumia Pixel 8 Pro. Inshu ya fast charging ni ndani ya dk.30 charge ipo full.Wewe mwenyewe hujaijaribu. Na siwezi ichagua over simu kadhaa nyingine kama S23 Ultra achana na S24 ijayo, labda kama tunazungumzia budget.
Nilishindwa enda kwa Pixel 7 sababu tofauti yake na hii 6 Pro ni ndogo sana. Sawa na aliyetoka kwa iPhone 11 PM kwenda kwa 12.
Pixel mpaka sasa hawajaadress fast charging jambo ambalo mimi mtumiaji wa zamani wa Oppo na Xiaomi linaniumiza. Hiyo 8 Pro inajaa kwa kutumia dakika 70 na zaidi, ni muda mwingi kwa flagship. Bado mambo mengi yako vilevile au yanapiga hatua ila hayazidi flagships nyinginezo.
Hiyo Pixel 8 Pro labda umetengeneza mwenyewe. Google wenyewe kwenye testing zao wanasema inafika 50% ya chaji kwa dakika 30 wewe unadai inajaa 100% kwa dakika 30. Au unakadiria.Mengi umeandika kwa kudhania tu, hapa ninatumia Pixel 8 Pro. Inshu ya fast charging ni ndani ya dk.30 charge ipo full.View attachment 2802424
Sijaona ametaja ila Samsung s22 na kuendelea au Iphone 12promax na kuendelea unapata picha kama hizo na zaidi...Dada [mention]Depal [/mention] iyo yako ni sim gan? Kama ni iphone ni toleo gan maana nimefatilia picha zako zimesimama nimehamasika kweli
Kuna watu mnapenda kubisha sana, wewe vitu unavyosoma na kudhania mm navitumia. Endelea kubisha.Hiyo Pixel 8 Pro labda umetengeneza mwenyewe. Google wenyewe kwenye testing zao wanasema inafika 50% ya chaji kwa dakika 30 wewe unadai inajaa 100% kwa dakika 30. Au unakadiria.
Na Lithium ion inatumia muda mwingi kutoka 50% kwenda 100% kuliko kutoka 0% kwenda 50%.
Google hawatengenezi simu za fast charging kubwa. Charger yenyewe ya 8 Pro ni 30W wakati Mi 14 charger yake ni 120WView attachment 2802962
Kwahiyo hii Pixel 8 Pro nimetengeneza mwenyewe sioHiyo Pixel 8 Pro labda umetengeneza mwenyewe. Google wenyewe kwenye testing zao wanasema inafika 50% ya chaji kwa dakika 30 wewe unadai inajaa 100% kwa dakika 30. Au unakadiria.
Na Lithium ion inatumia muda mwingi kutoka 50% kwenda 100% kuliko kutoka 0% kwenda 50%.
Google hawatengenezi simu za fast charging kubwa. Charger yenyewe ya 8 Pro ni 30W wakati Mi 14 charger yake ni 120WView attachment 2802962


