T14 Armata
JF-Expert Member
- Mar 7, 2017
- 13,292
- 44,749
Hapa umepanick, una hasira, una huzuni. Hakuna hoja umeongea.Unaandika Ukiwa ume copy na kupaste wapi watu tunatoa maon kwasababu ndo simu nazotumia Mimi Nina uhakika hata pixel 3a xl ujawahi Tumia embu ongeeni Vitu mkiwa experience
Ukitafuta hela utabadilisha simu unavyotaka na utajua simu nzuri uache kukariri maisha. Mimi ni mtumiaji wa Pixel lakini kelele mnazoipa hazistahili, nazisifia iPhone na Samsung wakati sipendi kuzitumia. Wewe unaongea kishabiki sababu unayo.Nina pixel 5a na 4xl ziko bomba Kila idara
Nina Pixel 6 Pro, inazidi hizo takataka ulizoshika hapo.
Kwamba Pixel zikiwa released muda huohuo zinakuwa units kibao refurbish? Kaa mwezi mmoja tafuta refurb za Pixel 8 utakutana nazo za kutosha online store. Simu kama ni bora as it was advertised kwanini iwe na return nyingi kwa OEM na kwenye store na ishuke bei ndani ya miezi michache ya kuingia international market?Marekani anatumia refubished kwani uko USA SI Kuna viwanda vyakufufua simu na vifaa vyote ya kielectronic
Nimejibu kulingana na hoja zako tatu, huna unachojua unabwabwaja eti nimekopi.Hata pia maduka makubwa ya Vitu used ambavyo viko well condition Kuna tofauti Kubwa kati used na refurbished (simu zilifanyiwa marekebisho)
Mpaka Vya magari zipo Kuna GMC kibao Tu ambazo modified Kwa Huko USA sio big deal mtu Kutumia Kitu kilichofanyiwa maboresho (refurbished) alafu Unakuja Hapa unalalama oh pixel Mbovu sijui nini
Pixel itabaki kuwa pixel Tu
Bado ujasema wewe mpaka useme
Ukinunua Pixel 7 na hata 8 zikija utajua kwanini Pixel ni simu za kawaida sana.