Google pixel 5a 5g

Google pixel 5a 5g

oyaa mnaitwa mtoe hizo iphone 6plus, 7 plus, 8 plus mpambane na 3

Alafu mtanange utaendelea

Iphone x vs pixel 4a
iphone xr vs pixel 4
iphone 11 vs pixel 4 xl
iphone 11 pro vs pixel 5a 5g
iphone 13 vs pixel 6 & 6pro
Alafu 14 vs pixel 7

nimekaaa paleeeee
[emoji16][emoji16][emoji16] waje waje hata wa x,XR,xs,xs max waje tuwachape na picha za night sight najua hawana ubavu kwa picha za usiku kutoa kitu clear kwenye giza bila kutumia flashlight.
 
Pixel 6 pro is better than iphone 13 . Narudia tena in today's world of smart phones watu wanataka

1. Good quality camera (its all about pictures)
2. Simplicity (no limits)
3. Design (look)
4. RAM
5. Battery life

Kwenye hayo maeneo hapo juu ni kipi iphone 13 wamemshinda google pixel 6 pro? hakunaView attachment 2393979
You're right Mr na umemaliza kila kitu.
 
Iphone na samsung hawakufika hapa kwakuotea au kubahatisha tu ukiongelea picha tu kuna kitu kinaitwa huawei p40 pro na one plus 10 pro kama hujawahi kutumia hizi ndoutaisifia hiyo pixel 6 pro ila kama umezishika zote kwapamoja basi unaweza kuelewa nachomaanisha kiufupi iphone wengi tunazipenda kwakuwa ni rahisi sana kuziuza na ningumu sana kushuka thamani mfano tu mpaka leo hakuna smartphone ya 2014 ipo kwenye maduka ya simu nawatu wananunua kama mpya bila shida ukitoa iphone 6 nk na zinafanya vizuri kuzidi hata simu za 2018 kiufupi iphone ni iphone tu leo iphone 6 ipo sokoni ila Samsung S4 haijulikani ilipo miaka hii 2014 hakuna hata harufu ya pixel hakuna
 
wewe unataja taka taka kwenye list ya pixels yaani unaongelea one plus na p40 kwenye ulimwengu wa pixel? Are you serios bro? unafananisha taka taka na Android ya kwanza kupokea Android 13 na newly security updates? bro hujui simu, unajua telephoto ni nini? au basi
 
Mkuuu night sight ya pixel tukiweka na telephoto inayopatikana kwenye 6 ndo tumewaacha mbali
Ninachokiona wengi hawajawahi kitumia pixel mpaka kuna watu wanataja iphone 6 jamani si dharau hii? Wakumbuke kuwa google ndio competitor mkubwa wa Apple

Google
-drive
-photo
-busimess
-location & map
-mail
-doc
-many more
-download music (share)

Apple
-icloud
-map (not accurate bongo)
-photos (limited storage)
  • [emoji16]
  • Download music in app (cant share)
 
iOS users wabishi mno ila nawapa miaka 3 google atawachapa parefu sana.
 
Hiv kwanin watumiaji wa iphone huwa hatuanzishi uzi tukisifia simu zetu..? Ila watumiaji wa calculator za android ndio huwa wanatoa misuli ya shingo wakipambana na ubishi..?
M naamini saii unaiita android calculator ila si ajabu ulitokea huko labda nikufahamishe kitu hao hao Apple wanatengenezewa display na Samsung ambao ni android unazoziita calculator bado Apple mnaendelea kutumia search engine ya android ambayo ni google[emoji2] na mpaka sasa Duniani haijatokea search engine ya kuifikia google Apple walitangaza kuachana na google lakini Hadi Leo ipo humo kwenye safari[emoji706]
 
Waueeeeee[emoji1]

Sent from my SM-A032F using JamiiForums mobile app
 
Pixel 6 pro is better than iphone 13 . Narudia tena in today's world of smart phones watu wanataka

1. Good quality camera (its all about pictures)
2. Simplicity (no limits)
3. Design (look)
4. RAM
5. Battery life

Kwenye hayo maeneo hapo juu ni kipi iphone 13 wamemshinda google pixel 6 pro? hakunaView attachment 2393979
Actually camera ya pixel ni ya kawaida sana. Ila software processing ndo maajabu yalipo.

Camera ya pixel imebadilika juzi tu. Ila walikuwa na the same camera system toka pixel 2 huko.
 
wewe unataja taka taka kwenye list ya pixels yaani unaongelea one plus na p40 kwenye ulimwengu wa pixel? Are you serios bro? unafananisha taka taka na Android ya kwanza kupokea Android 13 na newly security updates? bro hujui simu, unajua telephoto ni nini? au basi

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] huawei p40 pro unasema ni takataka duuuh pole sana ndugu kumbe nabishana namtu ambae yeye review zasimu anategemea youtube [emoji23][emoji23] kaka siku njema
 
Back
Top Bottom