Madam Mwajuma
JF-Expert Member
- Sep 13, 2014
- 7,075
- 6,774
Duuh,dawa ni kutumia VPN tu.Nimeona mara kadhaa kwenye simu yangu location nime turn off lakini nikitafuta kitu kwenye mtandao inaonyesha location yangu. Sijui wenzangu huko.
Hawa google mambo ya privacy ya mteja hawana tena? View attachment 847993View attachment 847994
Sent using Jamii Forums mobile app
Hapana, sio dawa.Duuh,dawa ni kutumia VPN tu
Kwa issue ya google kucollect data, kama utakua unatumia chrome browser then vpn itakua useless...... Kama unatumia browser nyingine kama firefox basi tumia search engine kama vile duck duck go. Vpn sio solution sana kwa hilo sualaHuwa ni kawaida labda utumie Virtual Private Network ili uhide ip address
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa issue ya google kucollect data, kama utakua unatumia chrome browser then vpn itakua useless...... Kama unatumia browser nyingine kama firefox basi tumia search engine kama vile duck duck go. Vpn sio solution sana kwa hilo sualaDuuh,dawa ni kutumia VPN tu.
Hapo unakuwa umesign in kwenye browser yako. Email yako ina location details zako.Nimeona mara kadhaa kwenye simu yangu location nime turn off lakini nikitafuta kitu kwenye mtandao inaonyesha location yangu. Sijui wenzangu huko.
Hawa google mambo ya privacy ya mteja hawana tena? View attachment 847993View attachment 847994
Sent using Jamii Forums mobile app
Goodmgle wanatambua location uliyopo kutokana na NETWORK PROVIDER WAKO ,kama mnara unasoma wa kishumundu basi google anajua kishumundu yupo Madam MwajumaNimeona mara kadhaa kwenye simu yangu location nime turn off lakini nikitafuta kitu kwenye mtandao inaonyesha location yangu. Sijui wenzangu huko.
Hawa google mambo ya privacy ya mteja hawana tena? View attachment 847993View attachment 847994
Sent using Jamii Forums mobile app
Nimeona mara kadhaa kwenye simu yangu location nime turn off lakini nikitafuta kitu kwenye mtandao inaonyesha location yangu. Sijui wenzangu huko.
Hawa google mambo ya privacy ya mteja hawana tena? View attachment 847993View attachment 847994
Sent using Jamii Forums mobile app
Upo sahihi Mkuu,mfano Mimi location yangu ipo off na nipo Moshi Ila nikiingia Google kule chini inaonesha kindondoniKuna article fulani hivi google walikua wanazungumza kuwa siku izi wanahifadhi location history zako. Ko kinachofanyika ni kuwa last history yako ndo itakua location inayokua displayed hapo chini.. Mfano kama wakati location iko on ulikua mbezi mwisho halafu ukaelekea masaki location ikiwa off then ukiangalia apo chini utakua unaona location ni mbezi mwisho ilihali uko huko masaki.. Ko usihofu sana mkuu
Ulichokiandika wewe ndo usahihi wenyeweKuna article fulani hivi google walikua wanazungumza kuwa siku izi wanahifadhi location history zako. Ko kinachofanyika ni kuwa last history yako ndo itakua location inayokua displayed hapo chini.. Mfano kama wakati location iko on ulikua mbezi mwisho halafu ukaelekea masaki location ikiwa off then ukiangalia apo chini utakua unaona location ni mbezi mwisho ilihali uko huko masaki.. Ko usihofu sana mkuu
Sija log in mkuu. Sasa naona huku Manyara vijijini nimefika pia wanaonyesha.Hapo unakuwa umesign in kwenye browser yako. Email yako ina location details zako.
Logout kwenye browser yako simu.
Sent using Jamii Forums mobile app