Google kuonyesha location hata kama umeweka location off

Google kuonyesha location hata kama umeweka location off

yaani hao hata ukazima data, ukazima simu na ukatoa na battery kabisa bado wanaweza kutrack movement zako... kama huamini fanya hivyo then nenda kwenye location history utakuta wamekuchorea na ramani ya sehemu zote ulizopita
 
Tumia chrome icongnito mode ipi randomly changes ip hako WEBSITES ila google tumia vpn like onion au search engine nyingine
 
Nijuavyo kila Kifaa kiingiapo kwenye internet kinapewa IP adress Regardless Kimeweka location on au off hii Ip ndio inatumika kujua location ya kifaa japo sio exactly kama GPS inavyoweza kujua Eneo kamili, Sasa incase ume turn off Gps haimaanishi hawatajua uko Tanzania mana ip yako inaonesha ni from Tanzania, Apo ndio wengine huja na inshu za VPN Virtual private network ili Kuficha Real Ip zao na kupewa Virtual IP za maeneo tofauti duniani, Ila pia kwa sasa Google wana collect info za browser yako na kuzitumia Kujua Eneo lako Tanzania
 
Nimeona mara kadhaa kwenye simu yangu location nime turn off lakini nikitafuta kitu kwenye mtandao inaonyesha location yangu. Sijui wenzangu huko.
Imeandika "from your Internet address" hivyo location imepatikana kupitia taarifa zilizo kwenye IP address ya device yako sio GPS

________
Most affordable Web Hosting and Website designing.
WEB SOLUTIONS - tzHost
 
Mkuu ni wababaishaji hao everything iko off kuna uhuni wanafanya. Nyie endeleeni kuwaamini.

Sent using Jamii Forums mobile app
For that case IP ndio imetambulisha location, you can't turn off your IP, but you can hide through proxy & VPN services if you need to

Kwa kifupi si Google tu, any tracking application can detect your IP and obtain location details

________
Most affordable Web Hosting and Website designing.
WEB SOLUTIONS - tzHost
 
Ndo hivyo, na ni case kubwa sana huko US na EU....hadi wamepelekwa mahakamani, wakiulizwa wanakana, na ushahidi upo. Kiufupi wanatumia Location kucustomize Matangazo,....wanauza Data, wakati kisheria wamezuiliwa. Ni sawa na Microsoft walipojaribu kulazimisha Windows 10 iji update kwa lazima kila baada ya muda ilihali Internet ni yako na ni mzigo wa 6 GB...wakapigwa mikesi wakasurrender, saivi Updates ni hiari.

Pia Google kuna ker ingine wanayo ambapo EU, UK na US wanapambana nao ila wamejivika pamba maskioni...wanalazimisha makapuni ya Simu; ili apewe kibali cha Play Store, basi aweke na App zote za Google kv Browser, Google Map, etc...kitu kinachofanya simu ije imejaa Apps ambazo ww huzitumii, na huwezi kuzitoa hadi uroot simu, kitu ambacho kinaua Warranty au msaada wa Manufacturer in case simu yako inahitaji Customer Care.

Kiufupi kuna Cyber War, Info War na Tech-giants Conflicts zinaendelea, kwa tunaofatilia tunajua.
 
Ulichokiandika wewe ndo usahihi wenyewe
Soma jibu langu. Google wana manipulate, ni waongo....kuna watu hadi wame exmine kabisa, ni Tech Researchers na Mainjinia wa Computer Science...ila Google bado inabisha, Uswahili mwingi. Tembelea MSN.com au InforWar.com au EarthPlanet.com utajua ukweli...ni battle kubwa. Hadi kina Huawei, ZTE na Microsoft wameungana kimya kimya ila holaaaa....Google anahonga balaa, mikesi kibao ipo International COurts.
 
Ndo hivyo, na ni case kubwa sana huko US na EU....hadi wamepelekwa mahakamani, wakiulizwa wanakana, na ushahidi upo. Kiufupi wanatumia Location kucustomize Matangazo,....wanauza Data, wakati kisheria wamezuiliwa. Ni sawa na Microsoft walipojaribu kulazimisha Windows 10 iji update kwa lazima kila baada ya muda ilihali Internet ni yako na ni mzigo wa 6 GB...wakapigwa mikesi wakasurrender, saivi Updates ni hiari.

Pia Google kuna ker ingine wanayo ambapo EU, UK na US wanapambana nao ila wamejivika pamba maskioni...wanalazimisha makapuni ya Simu; ili apewe kibali cha Play Store, basi aweke na App zote za Google kv Browser, Google Map, etc...kitu kinachofanya simu ije imejaa Apps ambazo ww huzitumii, na huwezi kuzitoa hadi uroot simu, kitu ambacho kinaua Warranty au msaada wa Manufacturer in case simu yako inahitaji Customer Care.

Kiufupi kuna Cyber War, Info War na Tech-giants Conflicts zinaendelea, kwa tunaofatilia tunajua.
Nafikiri umenielewa wewe mkuu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom