Google TV Launcher

Google TV Launcher

Nafaka

JF-Expert Member
Joined
Feb 17, 2015
Posts
12,462
Reaction score
32,130
Google TV Glassmorphism Launcher Showcase.png

Kwa wale wanaotumia Google TV, badala ya default launcher nimeunda launcher hiyo hapo kwenye screenshot. Hii haina matamgazo, unaweza kuicustomize kwa kuondoa tiles usizozitaka. Ni free na haina inpurchases kama launch nyingine. Soon ntaipandisha nishare link maana bado ina changamoto kidogo naifanyia marekebisho
 
Kwa watumiaji wa Android nimetengeneza hii app inareplace remote yako ya TV kama unatumia Google TV. Inakuwezesha kutype haraka maana kwenye remote ya TV inachukua muda, inakuwezesha kuscroll haraka kwa sababu ina touch pad unayoweza kuswipe up, down, left, right na kuclick ikafungua kitu. Kuitumia lazima simu na TV viwe connected kwenye same network. Wakati wa installation ikikuletea error click more then skip scanning app... Ikimaliza itafunguka utaona tv yako click pair, TV italeta code ziandike kwenye app itaconnect.
Apk yake hii hapa: BetaDrop — Beta Testing & App Distribution for iOS & Android Baba Rhobi brAin cRacker
 

Attachments

  • Screenshot_20261101-183849.png
    Screenshot_20261101-183849.png
    517.9 KB · Views: 1
Back
Top Bottom