Google kuonyesha location hata kama umeweka location off

Google kuonyesha location hata kama umeweka location off

Setting yako tu...

Kuswichi Ofu,, hakuifanyi Gugo washindwe kuonyesha Location yako ktk application wakat umesain in... Nabado uko umeruhusu location ioneshwe .


Hiyo shoot ya pili..hata ukizima vipi haisaidii.. Km umesain in kwa google account ,ingia setting yao, ukazuie location isionyeshwe.

"Dume la Nyani haliogopi Umande"
 
Usimuamini mzungu kwenye mambo ya teknolojia, tuwabeze tu hawa hawa wabongo kwenye mambo ya udukuzi maana wapo nyuma saana ila sio ngozi nyeupe.
 
Back
Top Bottom