dawa ni kutumia NOKIA KITOCHI...hutaweza kuunga na internet...Hahahah hahaha,
Mie wangu sijamsahau nimejilaza kifuan kwake na kisim changu nachat jf lol!
Hata sijui dawa gani ya kutibu haka kauteja lol!
Asa ule mda niliokuwa natumia kuingia jf nitafanya nn maana du!!!aisee ni ngumu kusahau jf jaman,dawa ni kutumia NOKIA KITOCHI...hutaweza kuunga na internet...
Dah we ishakula kwako....huna ujanja coz ukiamua kutumia kitochi lazma utalazimika kwenda internet cafe walau twice a day au kutembea na laptop...hahahahaaaaa jooob true trueAsa ule mda niliokuwa natumia kuingia jf nitafanya nn maana du!!!aisee ni ngumu kusahau jf jaman,
Jana usiku ilipotea kwa muda tu lkn nilihisi nimekosa aman kbs lol!
Yani ww acha tu,hiki kimchina changu kinanipa raha sana mda wote nimelogg inn!hahahah,Dah we ishakula kwako....huna ujanja coz ukiamua kutumia kitochi lazma utalazimika kwenda internet cafe walau twice a day au kutembea na laptop...hahahahaaaaa jooob true true
teh mchina making life better.....wameanza kuleta hadi mayai ya kichina....na MAPADRI wa kichinaYani ww acha tu,hiki kimchina changu kinanipa raha sana mda wote nimelogg inn!hahahah,
Raha wakati wote lol!sikiachi aisee nishakubali kuwa teja!!
Mapadri,hahahha hahahha hahaha,inafaa kule jokes lol!!!!teh mchina making life better.....wameanza kuleta hadi mayai ya kichina....na MAPADRI wa kichina
Hahahahaaa unajua ilitokea kweli huku Arusha kanisani Kisongo jumapili moja...alikuja padri mchina halafu akajishtukia...akasema "Najua mnashangaa kuona padri mchina kwa kuwa hamjawahi kumwona" Teh kanisa zima likazizima kwa vicheko na furaha coz wote hatukuwa tumewahi kumwona padri mchina.....duh it was very funnyMapadri,hahahha hahahha hahaha,inafaa kule jokes lol!!!!
Hapa kuna nini? Salamu, kungfu, ndoa kujibu au matofali?:shock:
Habari za asubuhi jamani mwenzenu nimeamka na mimi kidogo viungo vinaleta mgogoro kidogo
Hivi saa ngapi vile na mwisho wa asubuhi ni saa ngapi vipi
Kama bado muda upo good morning
Darling, na shughuli yote ya usiku umeweza kuingia humu?Bado tuko hane mun na rejao wangu hapa,mda wa kuamka bado aisee!
Halafu acha tabia yako ya kusumbua wake za watu usubuhi usubuhi!Teh ndo maana sijamwona Rejao mitaa fulani eeeh
Pole Nitonye....tatizo nini????
Pole sana, vp wewe hukwenda jogging?
Karibu mkuu, vyote utapata...
karibu lunch kaizer,matembele kwa ugali wa nganoBiya zipo?
Hahahahhahah,
Ya udongo au simenti?
Hongera zako,kwan asubuhi tayari hiko?sie huku bado usiku aisee!!
Mmmh mpaka naogopa sasa, haya bwana...
Hapa kuna nini? Salamu, kungfu, ndoa kujibu au matofali?:shock:
Mambo ya purukushani za usiku hayo. Habari ya asubuhi