Goodluck Ole Medeye aikimbia CHADEMA. Atimkia UDP

Goodluck Ole Medeye aikimbia CHADEMA. Atimkia UDP

UKWELI wa Chama alichokuwa utazidi kujulikana!
 
Naona katumia UDP kama daraja la kurudi CCM.
Time will tell.
 
Kumbe Ole Medeye alianza mazungumzo muda. Hili gazeti nililisoma. Safari hiyo yumo pia Guninita na Msindai. Kila Jumatano sikosi nakala ya hili gazeti. Wako makini hawa jamaa.
 

Attachments

  • IMG_20160612_154331.jpg
    IMG_20160612_154331.jpg
    101.1 KB · Views: 48
Tunaheshimu maamuzi yake. Ila hajahama kwa sababu kukosa demokrasia ya kweli ndani ya CHADEMA, labda sababu nyingine tu!

By the way? Hivi Makamu mwenyekiti wa UDP ni nani? Katibu je? Mara ya mwisho UDP walifanya mkutano wao mkuu mwaka gani?
Hivi wewe ilihama ccm kwajili ya nini vile[emoji1]
 
Sawa aende tu,ila tulionya sana kuhusu hawa vindakindaki wa ccm kuja chadema ila wqtu wanaona kama sisi ni wasariti..muda si mrefu tutasikia lowasa anaenda ccm.all in all hiyo ndio siasa so hatutaki kusikia akisakamwa mtu anayehama maana ndio tabia ya chadema
 
Back
Top Bottom