Kama mzee wako na mwendokasi wake elimu elimu. Hivi alisharudi Munduli ama bado tunabanana hapa mjini.Wanasiasa wetu hawa bwana. Pasua kichwa kweli
Pesa ipi anagawa? Mwenzako aliyetengeneza huo uzushi wa kugawa pesa na propaganda zote juu ya Lowasa alilipwa pesa nyingi na Membe, sasa wewe Umekariri unaendeleza ili mwenye hilo Dili ajidai anafanya kazi alipwe, hicho kize ole medeye kitakuwa kimegeuzwa Dili, yaani Cheyo kavuta pesa ccm kisha kapiga panga kamgawia kidogo ili wawahadae Watanzania tu, lakini hakuna kilipchopungua chadema kutokana na huyo Babu Ole kutokuwa na bidii yeyote ya kujisaidia chama zaidi ya kupenda majungu sana.
Ndo sema sasa. Si unajua wengi walifuata mkuu wa chama cha CHADEMA, Lowassa? Sasa wameamua kuondoka. Maana wamejionea wenyewe.Ccm wanagawa Wali mbichi kwa maharaja na kuwasomba kwenye makalandinga mbona sie hatusemi
Anajuinga na kundi la walio sahaulika kwenye dunia ya siasa kina shibudaHuko kaenda kusota njaa hakuna ridhiki bali kuna dhidi kubwa sana, Mzee cheyo hana kitu Njaa imemzunguka sana sana watamgeuza buzi la kukuliea chama atamaliza kiinua mgongo chake kisha cheyo atamfukuza.
Kumbe lowasa ana nguvu sana hadi ana watu?Watu wa Lowassa hao... Wanarudi tu kimya kimya.. Bado Masha
Tanzania ni yetu wote wacha ukichaa wakoKama mzee wako na mwendokasi wake elimu elimu. Hivi alisharudi Munduli ama bado tunabanana hapa mjini.
Huyo membe mmesha mfukuza kutoka kwenye chama cha majizi?Lowassa na Membe ndo walikuwa wanagawa. Lowassa aligawa zaidi, tena kwa uwazi.
Mwambie leo akatoe hela kanisani au msikitini kama utamuona. Nyie wengine mpo kutetea hata waovu.
Wengine muovu ni muovu na msafi ni msafi.
Wewe endelea kumvalisha viatu mtoto wa mkulima ndio kazi utakayo iwezaNdo sema sasa. Si unajua wengi walifuata mkuu wa chama cha CHADEMA, Lowassa? Sasa wameamua kuondoka. Maana wamejionea wenyewe.
Na bado wengine, wanaogopa tu.
hata wewe ulipowa unamtetea mkurugenzi wa TIC ulikuwa na vision ya kuona mbele. teh teh tehOle Medeye ni mtu mwenye vision, anajua kuona mbali!, hata mkisikia kiongozi yoyote anajiunga na TLP wakati huu, ujue ni mtu mwenye vision, anajua kuona mbele!.
Pasco
Huyo membe mmesha mfukuza kutoka kwenye chama cha majizi?
Ccm ni chaka la mafisadiYuko pembeni. Ila ninyi ndo bado mnaona mmeokota malaika wa shetani bado.