Huyu kajitahidi kidogo..kuna yule said nkumba ndo aliniacha hoi kabisa!!Wanasiasa wetu hawa bwana. Pasua kichwa kweli
nasikia mke wake regina anamshinikiza mzee arudi ccm...toka amehamia chadema maisha yao yanawaendea vibaya mpaka kwe wake yupo magereza mpaka leoHata Lowasa nae ni mwili tu ndo upo Chadema lakini moyo wake bado upo ccm kabisa.
Sasa unabisha nini? jamaa hayupo pale kwa mapenzi wala mahaba,yule alienda kwa sababu jamaa zake ccm walimchanganya tu,yeye mwenyewe alishasema na akamtolea mfano mwanawe kadet amezaliwa yeye yupo ccm sasa akihama si atakua anachekesha?na Lowasa ni mtu wa kunyoosha maneno kwa maana analosema anamaanisha, hivyo mzee wa nywele nyeupe amewamiss sana jamaa zake wa magamba sema ndo basi anakufa na tai yake.Haya Kachukue ujira wako, buku saba!
Ana haki ya kuwa chama akipendacho!!!! Mwambie
Tumesikia
Asirudi tena chadema ccm wala kokote, abaki hukohuko
Mkuu,siasa ni ngumu Sana..unaweza ukapewa cheo ili umalizwe kisiasa..pia unaweza ukapewa cheo ukajimaliza mwenyewe!!Yaani watu wengine sijui Mungu awape nini. Chukulia mfano Lawrence Masha, mtu aliyepata bahati ya kuwa waziri akiwa chini ya miaka 35. Lakini badala ya kujitahidi kumaintain position yake, anajikuta anafanya ujingaujinga na kupotea kabisa hewani. Sijui tatizo huwaga nini?
Huyu naye ndiyo mwingine anapotea.
Umalizwe na nani? Rais?Mkuu,siasa ni ngumu Sana..unaweza ukapewa cheo ili umalizwe kisiasa..pia unaweza ukapewa cheo ukajimaliza mwenyewe!!
Usifanye masihara inawezekana kabisa unayosema yaani ghafla tu unawaacha marafiki zako wote uliokua nao kwa miaka thelathini si mchezo,maana Chadema wote ni wapya kwake na wengi wao watamheshimu kinafiki tu maana ndio hao hao waliokua wakimtukana na kumkashifu miaka yote ukiondoa Mbowe tu ambaye tangu mwanzo nilikua namuona kama mtu ambaye alikua anamstahi sana Lowasa hata kama alikua akimpiga madongo sidhani kama alikua anamaanisha tofauti na Slaa na Zitto ambao walikua wanarusha punch za ukweli.nasikia mke wake regina anamshinikiza mzee arudi ccm...toka amehamia chadema maisha yao yanawaendea vibaya mpaka kwe wake yupo magereza mpaka leo
Hata hapa umejichanganya sana, hebu rudia kusoma. Pole!Sasa unabisha nini? jamaa hayupo pale kwa mapenzi wala mahaba,yule alienda kwa sababu jamaa zake ccm walimchanganya tu,yeye mwenyewe alishasema na akamtolea mfano mwanawe kadet amezaliwa yeye yupo ccm sasa akihama si atakua anachekesha?na Lowasa ni mtu wa kunyoosha maneno kwa maana analosema anamaanisha, hivyo mzee wa nywele nyeupe amewamiss sana jamaa zake wa magamba sema ndo basi anakufa na tai yake.
"Havina", CCM na UDP ndio vina demokrasia! Ndio maana KIKWETE analazimishwa kumkabidhi MAGUFULI uenyekiti wa CCM kwa lazima, Simply because MAGUFULI is "their" President!Juz ukawa walikua na maandamano walioyaita "Linda demokrasia" leo nashangaa katika Hivyo vyama Kuna mwanachama amehama sababu, anataka demokrasia ya kweli "nawaza kwa sauti je Hivyo vyama havina demokrasia ya kweli
Mke wake alimpinga sana Lowassa kuhamia CHADEMA lakini kama unavyofahamu, Wanamme wa Kimeru au Kimasai hawana ujasiri wa kusikiliza na kukubali maamuzi ya wanawake tofauti na walivyoamua.nasikia mke wake regina anamshinikiza mzee arudi ccm...toka amehamia chadema maisha yao yanawaendea vibaya mpaka kwe wake yupo magereza mpaka leo
Alipewa!!!!!!hivi sasa ni mbunge wa jimbo la VUNJOUmesahau kuwa hata James Mbatia alipewa ubunge na Kikwete