Dunia hiishi vituko. Wamepata jembe. MEDEI OLE
Tafakari kabla ya kutoa hoja,huyo aliyehama chama ana nguvu gani? Chadema,mbona alivyohama Ccm haukusema!Atabaki lowassa tu,mwisho nae ataandika barua kuomba kurudi ccm
MBOWE wanalilia kuandamana na kufanya maigizo kwenye majukwaa,HAPA KAZI TUCheyo anajenga CHAMA chake.
Kada wa CHADEMA na mbunge wa zamani wa Arumeru Magharibi, Goodluck Ole Medeye leo ametangaza kuhamia UDP.
Amesema inasimamia haki na demokrasia. Anasema anataka demokrasia ya kweli na jukwaa la haki ktk kuleta haki na maendeleo kwa Watanzania.
Ameyasema haya akiongea na waandishi wa habari muda mfupi uliopita.
Medeye amezungumza kwa kujipambanua kuwa yeye anasimamia haki na demokrasia, na kwamba amekerwa sana na tabia ya vyama vya Upinzani kutomheshimu Naibu Spika.
DISCLAIMER: Bango linaloonekana nyuma yake halina uhusiano na habari, lipo ofisi za UDP
Ujinga tu!kakimbia ''democrash'' huyo iliyopatikana kwa ''democash'' na mtanyumbuka sana
....ndo natoka kuangalia taarifa ya habari ITV na habari kuhusu Bw. Goodluck Ole Medeye kuhamia UDP ya Bwana Mahela John Cheyo ikarushwaEti amehama kwa sababu wabunge wa UKAWA wametoka nje ya bunge, na CHEYO ametumia fursa hiyo kuwaambia wabunge wa UKAWA warudi bungeni. CCM wana vituko sana, hizi drama zao hazitaturudisha nyuma katika kudai demokrasia.
Its true, naona kama hajielewi hiviWanasiasa wetu hawa bwana. Pasua kichwa kweli