HOMBOY
JF-Expert Member
- May 16, 2016
- 1,431
- 926
alikuwa kapi la ccmUmekosea hapo juu tu uliposema KADA wa cdm hayo mengine mwache aende kutafuta panapo mfaa
alikuwa kapi la ccmUmekosea hapo juu tu uliposema KADA wa cdm hayo mengine mwache aende kutafuta panapo mfaa
Mwache akatafute ridhiki mbele ya safarialikuwa kapi la ccm
Kila la kheri kwake mwisho arudi ccm yeye ni pandikizi tu!
alikuwa kapi la ccm
alikuwa kapi la ccm
alikuwa kapi la ccm
Kweli bhana[emoji2] [emoji2]Unaweza kukuta huyu ndo fred lowasa sasa baba akihama wew utabaki
Kumbe huna hakika!Unaweza kukuta huyu ndo fred lowasa sasa baba akihama wew utabaki
Maana yake waliyoyategemea hakuna pale ni uzalendo mtupu na kujitoa! Wasaliti hawataweza!! Wataweza kukamatwa kila siku na kulala jela? ZZK na Ole Medeye? Fikiria kwa kichwa sio masaburi ndugu! Heshima kwako! Upinzani ni uzalendo!!!Kila anayeondoka huko cdm ni pandikizi au msaliti.